Search results

  1. balibabambonahi

    Je, ni kweli Dr. Karl Peters aliruhusiwa kuingia Tanganyika na Sultan wa Oman aliyeishi Zanzibar? Je, Karl Peters alisali KKKT Azania Front?

    Google inatamka wazi Peters alikuwa mtoto wa mchungaji wa kiluteri.Alipopelekwa Kilimanjaro ni kweli aliua sana akina mangi na kuna jamaa lilingia bomani likachakata mmoja wa mademu zake,Dk alimnyonga jamaa hadharani.Alimnyonga pia mmoja wa mademu zake aliyemhisi kuwa spy.
  2. balibabambonahi

    Je, ni kweli Dr. Karl Peters aliruhusiwa kuingia Tanganyika na Sultan wa Oman aliyeishi Zanzibar? Je, Karl Peters alisali KKKT Azania Front?

    Carl Peters aliondolewa kwenye utawala wa Afrika Mashariki ya ujeruman 1888 baada ya vita vya Abushir.Alipelekwa Zanzibar na akapewa kazi ya kuweka mpaka kati ya GEA na BEA,baadaye alisababisha maafa kule Kilimnjro wajeruman wakaja kuchapwa na mangi Meli.Ikabidi arudishwe kwao alipata kashfa...
  3. balibabambonahi

    Mipango ya kumzika mfalme Charles ineaendelea.Hali yake si nzuri.

    Kwani Mabeyo wa UK anasemaje?
  4. balibabambonahi

    Tujikumbushe kidogo Dkt. Karl Peters na Mikataba ya Kilaghai

    Carl Peters tuko naye pamoja na Mwamba Bismarck tuko nao hapa Hamburg
  5. balibabambonahi

    Je, ni kweli Dr. Karl Peters aliruhusiwa kuingia Tanganyika na Sultan wa Oman aliyeishi Zanzibar? Je, Karl Peters alisali KKKT Azania Front?

    Hata ukristo ulianzia Zanzibar,enzi hizo mamlaka pekee iliyokuwa rasmi inatambulika kwa wakubwa wa Ulayana hata America ilikuwa ni usultan wa Zanzibar na Oman na baada ya 1856 ni usultan wa Zanzibar.Kila akiyetaka kuingia mriama lazima apite Zanzibar.Unapewa ruksa,ulinzi na wasaidizi ndo...
  6. balibabambonahi

    Je, ni kweli Dr. Karl Peters aliruhusiwa kuingia Tanganyika na Sultan wa Oman aliyeishi Zanzibar? Je, Karl Peters alisali KKKT Azania Front?

    Kama dk Karl peters alikuwa mluteri na alikuwepo Dar Es Salaam hadi 1902 ambako kanisa lilianza kutumika basi Dk alisali hapo.
  7. balibabambonahi

    Je, ni kweli Dr. Karl Peters aliruhusiwa kuingia Tanganyika na Sultan wa Oman aliyeishi Zanzibar? Je, Karl Peters alisali KKKT Azania Front?

    Sultan wa Oman na Zanzibar alikuwa Seyyid Said alifariki 1856 na himaya yake ikagawqnyika mwanae mmoja Majid akarithi ZanZibar na Afrika mashariki.Mwingine Thuwain akarithi Oman.Kuanzia hapo wakawa maadui.Sultan Majid alirithiwa na Barghash na huyo ndo alikutana Karl Peters.
  8. balibabambonahi

    Tujikumbushe kidogo Dkt. Karl Peters na Mikataba ya Kilaghai

    Chief Chief analaumiwa bure tu,wakati ulikiwa umefika hakukuwa na namna Hata Meneliki ii aliyekomaa na kudindda 1935 Ethiopia alikaliwa na Mussolini hadi 1941.Na leo wote tunaburuzwa na wazungu..There was nothing else Mangungo shuold have done.
  9. balibabambonahi

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Mbona Imeandikwa kwamba Yesu ni njia ya pekee kufika Mbingu? Kwa hyo treni ndo njia ya kweli ya kuifika mbingu ya huko?
  10. balibabambonahi

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Njia ya mbingu ni nyembamba sana.
  11. balibabambonahi

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Mh ndo utafika mbingu?
  12. balibabambonahi

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Mbingu kufika ngumu sana,hiyo ya Morogoro mafuriko yatakubeba na hii ya kidini huwez enda bila kufa uu
  13. balibabambonahi

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Vipi maeneo ya Ruaha,kidatu na soko la mbuzi
  14. balibabambonahi

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Kufika Mbingu lazima udanje kwanza
  15. balibabambonahi

    Heri ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania

    Waliopaza sauti na kuhanikiza ,Asurubiwe,asurubiwe ni wale waliokuwa wanafaidika na mfumo wa utawala uliokuwepo wakati ule.Wengine ni wale machawa na wasiojitambua.Hizi ni sherehe zenu nyie mnaokula matunda ya mifumo yenu.Sherekeeni.
  16. balibabambonahi

    Wajuzi wa location, Huu ni mtaa wa wapi?

    Makunduchi Zanzibar
Back
Top Bottom