SaidSabke, Kwa mtazamo huo waweke kipengele kwenye katiba kuelekeza mambo yote yenye kugusa mstakabali wa nchi yaamuliwe kwa kura za wazi ( mf. uchaguzi wa Rais na wabunge) ili wananchi waone wazi kinachoendelea.
Hapa ndo tatizo linapoanzia, kama freq. ikizidi ( i.e. kila mkikutana unataka ya Pedi ?? etc ) kwa nini asianze ku sense tatizo ... Hayo ni mawazo yangu
Kakalende, Matapeli wakati wote huwa wanaangalia upepo unavyoenda nakuhakikisha wamejiweka usawa wa kutopoteza walicho ki target , hii ni pamoja na kutumia vifungu vya sheria kuweka sawa mambo ili yawe kisheria zaidi kuliko kitapeli.
Anashughulikia matatizo ya somalia ili meli za mafuta zipite salama kwenye gulf ya Aden . Haya madogo madogo ametuma watendaji wake wayashughulikie taarifa ya utekelezaji atapelekewa
Livinga, heri mi TZ iteseke lakini midege iruke maana isiporuka ratiba za ziara ya mwenye nyumba zitaharibika ambazo zina faidi kubwa kwa nchi ( am not sure kama ni kwa walala hoi)
Madcheda, Hujui kama maandamano yanayoitishwa na chadema yalisababisha viongozi waseme cdm wanataka nchi isitawalike na kwa sasa nia ya kurekebisha sheria ya maandamano imewekwa wazi kwa mwanvuli wa kuwasaidia wanachi waeze kufanya shughuli zao bila bughudha.
However, hiyo nia ya watawala...
Soko huria la afuta TZ haliwezi kufanya kazi maana upande mmoja bei zikpanda kwenye soko wanakonunulia wauzaji wetu wanapandisha siku hiyo hiyo bila kujali hayo wanayouza kama yalikuja kwa bei ya kabla ya kupanda . Upand mwingine bei ya huko sokoni ikianguka wafanyabiashara wetu hushikiria...
Hisa za NMB ziliuzwa kwenye IPO na wananchi walichukua kulingana na kilichopatikana kwa mtindo wa wazi . Hizo za nicol na tccia zilikuwa kabla ya IPO ya NMB ambapo makada kadhaa wa chama walitumika kupiga debe wananchi wachukue hisa hizo kwa mategemeo ya kuwekezwa kwenye NMB mara ubnafsishaji...
Nionavyo mimi kutokana na analysis yake ni kuwa chama kimeshika hatamu hivyo maamuzi ya NEC yakiwa kinyume cha matakwa ya EL atakuwa amemalizika kisiasa ndani ya sisem labda atafute route mpya tha's NEC ina mamlaka ya kumvua mpaka uanachama .
MR, kweli huyu ndugu ni wazi hili alikuwa amelidhamiria siku nyingi ila alishindwa jinsi ya kulianzisha akayatwika ili ionekane si yeye bali ni kile kinywaji alichokunywa kwa kuzidisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.