NADHANI NI WAKATI MHESHIMIWA RAISI AINGILIE KATI.......HAWA WATU WA NIDA NI PASUA KICHWA..... SASA WANADAI MTAMBO UMEKUFA HII NI WIKI YA NNE WANASHINDWA NA HATA KUWAKWAMISHA UHAMIAJI KUFANYA KAZI KWA WATEJA KUKOSA NAMBA ZA VITAMBULISHO VYA URAIA.......MHESHIMIWA RAIS TUSAIDIE HAWA WATU WA...
Una uwezo wa kujua alipokosea ila huna uwezo wa kusahihisha....kazi kweli kweli. Nakukumbusha tu kwamba .... Kuna shule ya vitabu na shule ile ambayo ni real life
KUNA VITU VITATU KAMISHINA KICHERE UNAPASWA KUVIANGALIA LIKELY DAILY......
1. WATU WAKO TRA WANAJUA BIASHARA WANAZOZITOZA KODI...WANAZIJUA BIASHARA KAMA BIASHARA AU WANAJUA TU KUKOKOTOA MAHESABU YA KODI. Hili Halikwepeki. Ni lazima uwe na waru wanaojua biashara zinaendeshwaje. Sio watu...
Angalizo watu wasidhani kuwa Katibu mkuu mtu atakuwa na uelewa wa anachofanya/simamia....arogance alioonesha ilikuwa makusudi kwa lengo la kuficha level yake ya weledi.
Tatizo kubwa ni kwamba mtoa mada hafahamu kwamba hakuna uhusiano wowote kati ya biadhara na elimu (formal). Hakuna period. Kwa hoja husika ni mufilisi.
Wajua hizi nchi zetu unafiki unatuponza sana kutoka kwa viongozi mpaka wanaongozwa......kajifunze maana ya public figure. Kuna RC #1 wa Simiyu abaitwa Mtaka. Huyo Mh anafahamika kwa utendaji wake na anaowaongoza period. Eti MaDC hawataki kuwa ranked in public kama wachapa kazi au eti iwe siri ya...
MADC wanaofanya vizuri wapo, vigezo vipo...kama kuna hoja ya msingi DC Kasesera angeshauri vitumike vigezo vya TAMISEMI sio kusitisha. Eti aliowateu ndio anajua.....nikumbushe tu aliowateu pia anapata feedback kutoka kwa wananchi wanaosimamiwa na hao ma DC.
Inashauriwa kuwa na serikali ndogo yenye kufanya kazi kwa weledi na tija.....haya yote ni kutokana na ukubwa wa serikali. Watu wanafanya kazi kinafiki/rushwa kwa sana ili kumchafulia JPM.
Sijuii ni kwanini umejiweka kundi la wasomi. Kama ungekuwa kundi la wasomi ungejua elimu inakusaidia kutawala mazingira yako. Ikiwa ni pamojabna kujua fursa zilizopo mtaani for that matter.
Kwa kweli ni kero tupu. Usumbufu wa makusudi wakati kwa teknologia ya sasa unapashwa na ni zaidi rahisi kujua gari zilizolipiwa zilizoko barabarani, zinazodaiwa leseni zilizokwisha muda wake, gari ambazo hazijakaguliwa nk. Kuna misuse ya resource kwa kwa hali ya juu tu. Kodi kwa maana ya...
Kwa kweli juhudi zinafanyika nyingi sana ambazo kwa ujumla malengo yake ni kuogeza pato la serikali na hatimaye kuwekeza sehemu ya mapato hayo ktk utoaji huduma za kijamii husani public goods (miundombinu, afya, elimu nk).
Nia ni njema ingawaje njia za kuhakikisha mapato ya serikali...
HAPA KAZI TU......IKIBIDI ZIFUTWE TU....ILA NIMEOTA NDOTO YA KUTISHA KWAMBA KUNA SIKU KUTAKUWA NA KODI YA KODI YA REDIO, KODI YA TV....KODI YA.....MAENEO.....NK
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.