Search results

  1. Lenana

    Bunge lamjibu Mbowe, ladai pesa wametuma hospitalini tarehe 20 Sept sababu hawakuwa na akaunti ya hospitali

    Kwa siasa za hovyo za kugeuza shughuli ya Wanajeshi kuwa jukwaa la kisiasa sishangai hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya. Wasiojulikana Wanajulikana!
  2. Lenana

    Rais Magufuli amteua Charles Kichere kuwa Kamishina Mkuu TRA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo March 25 2017 amemteua Charles Edward Kichere kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Kabla ya Uteuzi huo Charles Edward Kichere alikuwa Naibu Kamishna Mkuu wa TRA. Charles Edward Kichere anachukua nafasi ya...
  3. Lenana

    Ripoti ya uvamizi Clouds hadharani: Makonda alitishia kuwaingiza kwenye skendo ya dawa za kulevya

    Ndio staili ya kutokea kama Bwana Kitwanga sio au fikra zangu ni za mwendo kasi !!?? kra
  4. Lenana

    Uchaguzi TLS: Tundu Lissu Amshukia Mwakyembe, Aahidi Kufungua Kesi Mahakamani

    Kwako Onesmo Mpinzile Nikupe pole kwani umeamua kutumika kama Kondomu au Karatasi ya Chooni na Waajiri wako hivi Ulivyositiriwa na Law Associates wakati ule ukiwa na vimeo vyakutosha pale Law School baada yakuvimaliza ukaenda kwa wanaokutumia? pole sana ndugu ila kumbuka tumbo liliponza tako.
  5. Lenana

    Majibu Mujarabu Kutoka Kwa Wakili Lawrence Kego Masha kwa Waziri wa Sheria Ndugu Mwakyembe

    Katika kile kinachoonekana muendelezo wa Mawakili kutetea tasnia yao ya Sheria Wakili Lau Kego Masha amemtaka Waziri wa Sheria na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kumshauri Rais vyema kuhusu maswala mazima ya sheria na kuitaka serikali kutoingilia mchakato wa uchaguzi wa Chama Cha Wanasheria...
  6. Lenana

    Wakili Kibatala ahoji mamlaka ya Waziri Mwakyembe kuifuta Tanganyika Law Society(TLS)

    Iko hivi ujanja ujanja wa kuweka mapandikizi TLS upo hadharani baada ya incumbent kumdhibiti na Past Presidents walio pewa nafasi kama asante kwa kufuata maagizo wakiwa katika nyadhifa zao sasa mnaona ile loop hole inazibwa mnahangaika hakuna jipya siasa zenu nyepesi fanyeni huko wanaojitambua...
  7. Lenana

    Tundu Lissu aianza rasmi safari yake kuelekea urais wa TLS

    Are you an Advocate ? If the above question is answered in affirmative then attend the Annual General Meeting of TLS scheduled to take place in Arusha on 17th and 18th March 2017 and vote for you favorite candidate.
  8. Lenana

    Tanzanian Drug Lord, Ayubu Mfaume Kiboko, from inmate in a Hong Kong prison

    Kamishna Jenerali aliokoa Jahazi kwani Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alishaanza kutaja pale kama ulikuwa unafuatilia matangazo mpaka mwisho !
  9. Lenana

    Tundu Lissu abaini mbinu chafu kwa chama fulani kuweka mgombea urais TLS

    How about Godwin Mwapongo CCM cadre candidature !?
  10. Lenana

    Muongoza Watalii na Mkalimani feki wa mtalii anaswa

    Mtazamo wangu uchunguzi wa kina ungalifanyika kabla ya kukamatwa mtuhumiwa yawezekana kabisa huyu bwana alikuwa anafanya maigizo sasa unaposhughulikia maigizo kunakuwa na tatizo vilevile tujiulize kama ninayoyafikiria ndivyo yalivyo kwa maana ya maigizo badala ya kutatua tatizo unakua umeongeza...
  11. Lenana

    Kwa CV hii ya Waziri wa Fedha- Tutegemee Kuporomoka zaidi kwa Uchumi Wetu

    Acha mawazo mepesi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikua msomi aliyebobea PHD holder alipenda salutation ya Mwalimu hakuwa arrogant kujiita Daktari kama walivyo wengi leo hii hata kama ni honorary PHD !!!
  12. Lenana

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Chadema as an Institute failed !!! There was a better means to deal with this issue !! The way they have dealt with this issue made them "too small" !!!!
  13. Lenana

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Ofisi za TCRA zipo Mawasiliano Towers Sam Nujoma Road !!!!
  14. Lenana

    Taarifa kwa vyombo vya habari

    Siasa za vyama zimepitwa na wakati wajameni mpo dunia ya ngapi!? Pamoja na Mtikila kuwatetea hadi mahakama ya haki za binadamu Afrika! Siasa za vyama zilikuwa enzi hizo mgombea binafsi haikuwa inaruhusiwa! Watanganyika tunapenda kuishi uzamani!!!
  15. Lenana

    Yaliyojiri: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari - Nov 26, 2013

    Siasa za vyama vya siasa hivi karibuni itakuwa historia! Mgombea binafsi itatuepusha na huu ----- unaowasha!!!
  16. Lenana

    Yanayoitwa maandamano ya Zitto Mwandiga: Hayakuwa na BARAKA za wanachama

    Opposition democracy at trial!!!???
  17. Lenana

    Unlimited internet Inauzwa kwa mwezi mzima sh 10,000 tu

    Mkuu nakubaliana nawe ila bei yako iko juu kimtindo 15 mwenzako anafanya 10 the same Chanel I.e pd proxy inakuwaje? Negotiations ipo au fixed price!
  18. Lenana

    William Ruto na dhihaka kwa ujio wa Obama!

    Tanzania can survive without Kenya,Uganda and Rwanda! Museveni ni ndumila kuwili yetu macho lets wait and see!
  19. Lenana

    Kenyan Professor releases a book on Tanzania, ahead of Barack Obama visit

    Prof Otiso amefanya kile ambacho wasomi wetu wengi hawataki kukifanya. Waweza kujiita mtanzania ilihali historia ya nchi yako hauijui vilivyo hivyo basi wanaojifanya kuijua historia ya Tanzania simply because of their citizenship with due respect to them that is narrow thinking!!
  20. Lenana

    Anne Makinda: Sijapata taarifa kutoka kambi ya upinzani kuwa hawatahudhuria bungeni

    Swala la Mtwara liliripotiwa kwa document !!!???
Back
Top Bottom