Search results

  1. M

    Siri yafichuka! CCM mwaka 2020 jiandaeni kupambana na huyu

    Opposition will never win presidential elections unless the national electoral body is independent...full stop!
  2. M

    Lowassa : Tutashinda uchaguzi 2020

    Kwa Tume ipi ya uchaguzi?Labda na yeye atengeneze yake.
  3. M

    Wahariri wa aina hii wanaweza kutuvusha watanzania?

    Some comments here are disgusting to read!If you don't want to read local newspapers you can go to hell.No wonder ninyi ndio mliokuwa mnafaidika na mfumo wa ovyo wa utawala uliopita.Mlikuwa hamkai maofisini,kila siku safari zisizo na tija yoyote na kuongeza nyumba ndogo mitaani.Heshima...
  4. M

    TUSHIRIKISHANE TABORA: Timu ya JamiiForums yapata ajali maeneo ya Mbaoni - Urambo

    Poleni sana ndugu zetu.Mungu awape nguvu haraka.
  5. M

    Hii kauli ya Rais kuhusu Wahehe inanikera sana

    Ni kweli inakwaza lakini tambua kuwa Wahehe na Wasukuma ni watani.Inawezekana kabisa JPM analijua hilo.
  6. M

    Kundi gani linafurahia utawala wa Rais Magufuli mpaka sasa?

    Nakuunga mkono Mkuu.Kila MTU sasa aishi kwa kipato halali.Kuna vijana hapa mtaani kwetu walikuwa na vi-deals vya kuwatolea makontena watu pale bandarini kwa ujanjaujanja.Kila jioni utawakuta na Heineken au Windhoek.Huwezi amino sasa hivi hawaonekani.Tumebaki sisi wapiga Kili tena na zenyewe...
  7. M

    Haya ndio majina ya wakuu wa wilaya wa Kikwete waliotemwa na Magufuli

    JPM umetushika pabaya maana tunalalama hata mwaka hujamaliza Ikulu.Sijui hali ya mambo itakuwaje hadi kufikia mwaka wa tano!
  8. M

    Television zote zimepuuza maneno ya Tundu Lissu

    Tambueni jambo moja watanzania.Rais wetu hata siku moja hafagilii watu wanaojipendekeza kwake na kumsifu au kumfagilia.He is a man of his own character.
  9. M

    Wanaofuatilia Brexit, House of Commons is in session

    Jamani,kwa wale tunaofuatilia Brexit,House of Commons is in session.Tune to BBC.
  10. M

    Exim bank tayari imeanza kutekeleza ongezeko la kodi ya thamani vat mwezi ujao

    Jamani Mimi nimesomea ungwini lakini kwa hili angalau nina ka-idea kidogo.Hapa tunazungumzia gharama unayotozwa unapofanya miamala ya kibenki,mfano unatoa Pesa kwenye ATM ile service charge inayotozwa na bank husika ndiyo ambayo serikali itatoza 18% VAT.Mfano,Kama ukitoa Sh 10,00,000 unakatwa...
  11. M

    Hata kama umesoma namna gani na hujui hivi vitu, bado wewe ni Primitive!

    Ndugu wanabodi,hivi ili mtu aonekane amefanikiwa ktk maisha anatakiwa awe ana vitu gani au awe anamiliki mali zipi au awe amekamilisha mambo gani ktk umri gani?
  12. M

    Tunaweza kukusanya kodi trilioni 8 kwa mwaka kutoka kampuni za simu tu

    Kila siku tuna-discourage serikali kukimbilia maeneo ya kodi yanayobebesha mwananchi wa kawaida mzigo.Sisemi makampuni ya simu yakwepe kodi,la hasha.Hoja yangu ni kuwa tuweke viwango vya kodi vya kodi ambavyo havitamuumiza mwananchi wa kawaida kwasababu mwisho wa siku telephone operators...
  13. M

    Rais Magufuli na Punguzo la (PAYE): Je Kuna unafuu kwa mfanyakazi wa kima cha chini?

    Mkuu,hebu nielimishe.Kuna claims kuwa Paye hukatwa baada ya kuondoa makato ya michango ya pension.Yaani kiwango kinachokokotolewa kodi ni kile kinachobaki baada ya deduction ya mchango wa pension kufanyika.Is there any truth in this?
  14. M

    Rais Magufuli anavyozungumzwa maofisini

    Umenifurahisha kwa hili jibu.
  15. M

    Rais Magufuli anavyozungumzwa maofisini

    Hao ndo wale waliokuwa wamezoea kuishi kwa kupiga deal,kila siku safari,seminars,workshop n.k.Kaja JPM mnalalama.Sisi wenzenu huku private sector tulishajizoelea kuishi kwa mishahara.Ni kweli kabisa mzunguko wa hela unapokuwa mdogo tunaathirika wote lakini tujifunze kuishi kwa mapato yetu...
  16. M

    Kwanini Rais na Serikali wanawahadaa wafanyakazi kuhusu punguzo la kodi?

    Tume ya Katiba,nakuunga mkono kwa hoja hii.Watu wameshangilia sana utadhani wameokota kipande cha dhahabu.Ukweli ni kwamba kama una idea ya hesabu za magazijuto hilo punguzo ni meaningless kwa watu wa madaraja fulani (Threshold).
  17. M

    Baba wa Obama sio yule Obama mkenya

    ANAYEMJUA BABA WA OBAMA NI MAMA YAKE.USELESS TOPIC.
  18. M

    Bunge kuonyeshwa Live

    Umenikumbusha enzi hizo nachunga ng'ombe na mbuzi miaka ile ulipotumia neno PONGO.Kule kwetu Pongo maana yake ni Dume la Mbuzi au Beberu japo inawezekana hapa ulipolitumia halina maana hiyo.
  19. M

    Wafanyakazi hewa sasa wako 8,236

    Hoja hii huenda si ya kuipuuza.Anyway,kila kitu kitajulikana mahakamani.
Back
Top Bottom