Mnyalu wa Kweli
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 233
- 55
Jamani,kwa wale tunaofuatilia Brexit,House of Commons is in session.Tune to BBC.
Hivi Great Britain na United Kingdom vinautofauti? Au ndo maisha ya baada ya kupata elimu ya Voda fastaTunakoelekea UK itasambaratika, visiwa vitagawana mbao na malkia bakie na Great Britain.
Je uhai wa Jumuiya ya Madola utaendelea kuwepo?
The UK is short for The United Kingdom of Great Britain and Northern IrelandTunakoelekea UK itasambaratika, visiwa vitagawana mbao na malkia bakie na Great Britain.
Je uhai wa Jumuiya ya Madola utaendelea kuwepo?
Thats how a liberal democracy works asilimia kubwa ya wanasiasa matokeo awajayafurahia lakini kila wakiponda hoja zilizotabiliwa na waziri mkuu kabla ya kupiga kura kwamba tutapoteza abc yeye mwenyewe anazizima kazi yake yeye kwa sasa ni kuunganisha nchi sio kulazimisha perspective zao ata kama anaziunga mkono.Ila Jana nilifurahia sana jinsi walivyokuwa wanajenga hoja na kuvumiliana hata pale walipotofautiana hupati shida kumuangalia spika na waziri mkuu au kiongozi wa upinzani kifupi nilijifunza vema sana
Mkuu unachanganya na kautz ndani#yote kwa yote mi nilipenda walivyokuwa wazi na kila mtu kusema kile anachoamini na alipewa uhuru wa kuzungumza angalau Brussels wenyewe nimeona wamepanic na kuzomeana Leo asubuhi ila bado speaker alikuwa wise sanaThats how a liberal democracy works asilimia kubwa ya wanasiasa matokeo awajayafurahia lakini kila wakiponda hoja zilizotabiliwa na waziri mkuu kabla ya kupiga kura kwamba tutapoteza abc yeye mwenyewe anazizima kazi yake yeye kwa sasa ni kuunganisha nchi sio kulazimisha perspective zao ata kama anaziunga mkono.
These people are well advanced kwakweli in responsible politics, social cohesion ndio agenda iliyo mbele yake ingawa anajua ana support ya kuweza kulazimisha marudio ya kura ya maoni petition ikifika laki moja bunge linauwezo wa kujadili hoja na watu millioni mbili wametaka marudio ya kura ya maoni, bado ana support ya wanasiasa wakiamua kutotimiza matakwa ya wananchi wanasiasa wa pande zote mbili largely wangeweza leta vurugu za kubaki EU bungeni.
Mwisho wa siku kwa mzungu kanuni ni kanuni uwezi kuzivunja au kusafiria upepo wawashabiki kila pande ina washabiki; sio maalim Seif mmbishi kama nini akubali kushindwa yule mzee mara amlaumu Jecha, aimize fujo kha.
Kwa wenzetu the worst has happened the next chapter ni kuweka timu ya wataalamu waliobobea in negotiation kuhakikisha ata kama wanatoka wanabakiza mambo yenye faida kwao as much as possible bila ya kuathiri nchi yao PM mwenyewe anasema yeye atakama atokuwa PM lakini atabaki kwenye timu ya kupigania maslahi ya taifa; Mbowe angesusa.
Mkuu ndio maana kuna leaders and followers; ata mataifa ni hivyo hivyo. The first reaction ya baadhi ya viongozi wa EU ilikuwa UK kutoka haraka wasilete fujo.Mkuu yote kwa yote mi nilipenda walivyokuwa wazi na kila mtu kusema kile anachoamini na alipewa uhuru wa kuzungumza angalau Brussels wenyewe nimeona wamepanic na kuzomeana Leo asubuhi ila bado speaker alikuwa wise sana
Ni kweli kabisa yule mama anajua kuvuta pumzi na hana mihemko kifupi Brussels ilikuwa haitaki UK aondoke lakini ilidhani hata ondoka na matokeo yake kaondoka(mzarau mwiba)Mkuu ndio maana kuna leaders and followers; ata mataifa ni hivyo hivyo. The first reaction ya baadhi ya viongozi wa EU ilikuwa UK kutoka haraka wasilete fujo.
Kilichofuata over the wknd Angela Markel akaongea na David Cameron and on Monday akawaita viongozi wa Spain and France to discuss the matter (this are the other big players in the union) by the end of the day announcement ya Merkel ni kwamba UK wapewe muda wakujipanga and as long as they wish.
Kwanini UK brings one of the largest economy in the union and trading of over 1tr in the EU that is no mean feat kama kuna maslahi wanataka yabaki lazima uwasikilize hao wengine wenye makelele kwanza social services zao zilikuwa zinategemea hela kutoka UK, biashara zao and expatriates wa UK, inaongeza GDP ya EU, ina mchango mkubwa wa ulinzi, advanced in intelligence na mbinu.
Kwa mtu kama Markel mwenye akili zake timamu awezi kuwa swayed na viongozi wengine wapuuzi wasioweza fikiria impact ya kujitoa kwa UK considering its not the will of many politicians. Ndio maana anataka a sensible approach and pretty she is the leader kwenye EU in terms of direction yeye akisema wengine wanafuata.
Hiyo paragraph ya mwisho ndio kila kitu kwenye siasa za uingereza until recently the leadership philosophy kwa waingereza ilikuwa asilimia kubwa ya wananchi awawezi kuwa na maamuzi sahihi kwa hivyo political parties vinachagua the people with reasonable minds and the best minds to be in politics.Ni kweli kabisa yule mama anajua kuvuta pumzi na hana mihemko kifupi Brussels ilikuwa haitaki UK aondoke lakini ilidhani hata ondoka na matokeo yake kaondoka(mzarau mwiba)
Ila sasa ukirejea hapa nyumbani mkuu naona kama unayajua haya mambo kwa kiasi ni lini au nini kifanyike ila nasi tufike hatua ambayo sauti ya wananchi itasikilizwa
Tutakuwa na watu ambao wana akili zilizo huru kujadili mstakabali wa taifa bila kujali itikadi za vyama vyao mfano ukiwa pale kwa malikia
Kelele za Mbowe na Co mimi sizipingi kabisa kama lengo ni kuponda sera kwa mtazamo wa mipango yao, kupigania demokrasia pale inapotaka kubakwa na mambo yote ya msingi yanayoleta balance au kuiweka serikari accountable. Na siungi mkono siasa za kuwazuia wengine kufanya siasa za kutoa elimu kwanza ndio hiyo kazi yao kusema eti wanakuzuia kufanya mambo yako hiyo sio hoja ya demokrasia au kumpa mwanasiasa uhalali wa kuzuia mikutano ya wengine.OK ila huwa naona kama serikali nayo Mara nyingi inatoa nafasi kwa wapinzani kuongea kwa mfano utaangalia serikali hii ilipoingia madarakani imeibua mambo mazito sana ambayo pia wapinzani walikuwa wanayapigia kelele na ya jk pia iliibua mambo mazito sana ambayo wapinzani walikuwa wanayapigia kelele
Sasa kwanini serikali isiwafunge kabisa mdomo Hawa wapinzani kwa kutoa elimu bora huduma bora za afya miundombunu mizuri kuzuia rushwa na kuimarisha demokrasia mi naamini wakifanya hivyo kwa ukamilifu hapatakuwa na kelele za mbowe na co.