Search results

  1. Samawati

    Ukaguzi wa vibali vya ajira kwa wageni kuanza

    Ongezea NGOs na taasis za kimataifa wanaleta volontia baada ya muda wanawabadikisha kuwa staff na mishahara minono kwa kazi zilizo classified kama za wazawa. Maeneo hayo serikali hayayajui...yamejaa ufisadi wa kutisha. Wachunguze watabaini.
  2. Samawati

    Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Huyu Kapuya anangoja nini kujisalimisha kwa pilato? Makosa aliyo nayo ni mengi mno.... baadhi: 1. Kubaka kinyume na sheria ya kanuni ya adhabu - Jela muda usiopungua MIAKA 30 2. Kuambukiza virusi vya UKIMWI kwa makusudi - Jela 3. Kutishia kuua - Jela miaka kadhaa 4. Kutumia madaraka vibaya -...
  3. Samawati

    Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    hilo mkangafu old model...hata ungeuzika...pesa ngapi angepata?
  4. Samawati

    Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Ulishikiwa bastola utoe pesa? Ulitoa kwa raha zako
  5. Samawati

    Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    COWARDS! Somo limemfikia nani? Hivi mnajijua mlivyo? Kama ni usaliti nyie ndo vinara, uongo ni vinara..kila jambo baya mnaongoza. Wanawake nao wanawaigine mnaona dawa chungu kumesa lol
  6. Samawati

    Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Kumbe ndio maana mnaoana wenyewe kwa wenyewe siku hizi mmezidi!
  7. Samawati

    Kuolewa kuna raha zake!

    Nilikua sijakusoma hazibend.... mbona nakafaham long time?unakaonaga saa ngapi maana tuko wote muda wote?
  8. Samawati

    Majina ya Majaji wanaolinda wauza madawa ya kulevya yatajwa! Wamo Pendo Msuya na Dr Fauz Twalib

    You kidding? Majaji wengi wanalalamikiwa na upo ushahidi kabisa siyo kwa kesi hizi tu bali hata kesi zingine. Usiangalie tukio moja bali chunguza mienendo yao hao "majaji watuhumiwa" kuanzia walipoanza kazi - toka uhakimu ( Upendo Msuya) au uwakili ( Jaji Fauz) utapata jumuisho. Tanzania...
  9. Samawati

    Hakuna mwanaume asiyetamani kutoka nje ya ndoa...!

    Swadaktaa!! Hii tabia imezaa maDHARA makubwa kwa maana matamanio haya yamemekomaa hadi kuwaathiri wanaume wenyewe. Wanaume wanatamani wanawake wote - walioolewa na walio singo.Inapotokea unatamani mwanamke aliyeolewa mwenye mume mtata... pata picha. Ukizoea kula vya wenzio na vyako vitaliwa hata...
  10. Samawati

    Kumjua mpenzi au mke/mume anae kuCheat...

    Asanteee naomba niongeze kitu kimoja.....hizi ndoa hadi zikaitwa ndoana au pingu... siyo bahati mbaya. Kuishi na mtu ni kazi kubwa.Binadamu tumeumbwa na hali ya kukinai, kuchoka, kutoridhika. Viwango vya uvumilivu kwa wengi ni vidogo. Kilichobaki ni kukubali kuishi kwa matumaini na imani zaidi...
  11. Samawati

    Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    Kua uyaone . Unene ni sifa kwa mwafrika. Inatokana na hali halisi kwamba umaskini uliokithiri unafanya watu kushindwa kumudu hatab mlo mmoja kamili na hivyo kuwa vigumu kunenepa.Katizame vijijini watu walivyopandisha kenchi! Mijini ( mara nyingi)ndiko utakutana na wanene, ikiwa ni kipimo cha...
  12. Samawati

    Kumjua mpenzi au mke/mume anae kuCheat...

    UKISHAKUJUA IWEJE? Ukimchunguza sana kuku humli. Mleta uzi, unashauriwa uridhike na hali.usichokonoe sana.
  13. Samawati

    Nifanyeje nanyimwa Tunda la Mti wa Katikati?

    mnajidanganya tu. hao wengi wako tofauti? Munakuja kulalamika kila siku apa ati wanawake wanawapasua vichwa. ZAFANANA..TABIA NA KILA KITU..VARIATIONS NI KIDOGO TU. L akufanya, jiulize tatizo liko wapi katika uhusiano wako na mkeo kisha tafuta ufumbuzi.Utarukaruka wee utaishia na UKIMWI.
  14. Samawati

    vijimambo vya vyoo vya master bedroom

    Halafu aiasee kuna kale katabia kakutapanya maji chini..unakuta mtu kajitawadha na kumwaga maji chepechepe vyoo vya kukaa. Si uweke choo cha kuchuchumaa basi? khaaa!
  15. Samawati

    vijimambo vya vyoo vya master bedroom

    wenzio tulifanikiwa..siyo kila mtu kafika saa 12 kama wewe hadi huoni
  16. Samawati

    vijimambo vya vyoo vya master bedroom

    Mwanaume ukimwendekeza atakunyea kiganjani! Dawa yao hawa - mchunguze sana kabla hajakuoa.Ndivyo nnlivyofanya miye.
  17. Samawati

    Mpenzi au mke wako akibakwa...

    Huwezi mwambia MUME/MPENZI hata kidogo.Hatakuelewa.
  18. Samawati

    Kuolewa kuna raha zake!

    IVO EHHH? MHH unanifanya niangalie tena application kibao nilizozitia kapuni... kama utazama nyumba ndogo basi nami nisuuze roho yangu! uko tayari kuwa mgombea mwenza?
  19. Samawati

    Kuolewa kuna raha zake!

    Nishagonga TISA/9 naingia kumi! Nini moja na nusu?
  20. Samawati

    Kuolewa kuna raha zake!

    mHH HUBBY..Kwani nimesema uongo?
Back
Top Bottom