Search results

  1. Desire Dizaya

    Unahitajika mkopo wa laki tano unarudishwa na riba

    Nimeshaipata na thread imefungwa.
  2. Desire Dizaya

    Tukutane hapa tuliowahi kufanya ligi ya sex na wapenzi wetu

    Watu hata tuamke na idea mpya..tunaamka na mawazo ya ngono tupu Tubadilike aisee
  3. Desire Dizaya

    Tukutane hapa tuliowahi kufanya ligi ya sex na wapenzi wetu

    My muzungu.. Video ya nini asubuhi yote hii[emoji23]
  4. Desire Dizaya

    Darasa La Kwanza B: Nini kumbu kumbu yako!?

    Mida wa hisabati ukifika kila mmoja anamwaga visoda vyake chini...wengine tulikua tunavivaa shingoni kama mkufu [emoji16][emoji16][emoji16]
  5. Desire Dizaya

    Unahitajika mkopo wa laki tano unarudishwa na riba

    Hakuna collateral... Iam faithful na najua But mtu kumuamini asiemjua ndo ngumu. Naelewa
  6. Desire Dizaya

    Unahitajika mkopo wa laki tano unarudishwa na riba

    Habari. Rejea kichwa cha habari, unahitajika Mikopo wa laki tano kwa mwenye uwezo wa kutoa. Ni urgent na unarejeshwa ndani ya wiki. Unarejeshwa na riba ya 5% You give me 500k..I give back 525,000. Kama uko interested karibu.
  7. Desire Dizaya

    Carrymastory yasemekana ameachiwa kutoka mahabusu

    Sijaelewa hapo juu..mwijaku kakamatwa na kuhojiwa ndo akawataja hao?
  8. Desire Dizaya

    Bring back our Currymastorytz!!

    Muwege mnaangalia Mara mbili mnachoandika kwenye mitandao... Kufatafata maisha ya watu hata usiowajua,kukashifu na kutukana..kutoa siri za watu msidhani wengine wanafurahia.
  9. Desire Dizaya

    Kumbe uzuri wa mwanamke akiwa na Nguo tu

    Mhh unamuongelea sanchika? Kwakweli sijajua ila mi picha zake nyingi naona hana cellulite.. Kamq anajiedit ntajuaje mkuu Siajwahi muona live
  10. Desire Dizaya

    Kumbe uzuri wa mwanamke akiwa na Nguo tu

    Hahahahaa Sawaaa
  11. Desire Dizaya

    Kumbe uzuri wa mwanamke akiwa na Nguo tu

    Uliyaona wapi😁
  12. Desire Dizaya

    Kumbe uzuri wa mwanamke akiwa na Nguo tu

    Yale ni mafuta...mlundikano was mafuta. Kama sio mafuta basi ni cellulite..haivutii kabisaa! Hutokana sana na kupenda kula vyakula vyenye mafuta mengi. Mfano sanchoka ni mnene was asili ila mbona hayuko vile,yupo soft?
  13. Desire Dizaya

    Nataka kukopa Shilingi milioni 5 nianze biashara

    Wewe mtoa mada msome huyu hapa.
  14. Desire Dizaya

    Tetesi: Picha za utupu zamponza Menina, wafadhili wamkimbia, Yupo Kwao Tanga kuaguliwa

    Hapana sijarekodi. Kuna ya shangazi yako wa vikindu nkutumie?
  15. Desire Dizaya

    Meninah afunga ndoa tena

    Zamani hiyo
  16. Desire Dizaya

    Meninah afunga ndoa tena

    ya zamani hayo..majuba na mahijabu yanasitiri wadada na kuwapa sifa njema..binti alikua anafundisha mpaka madrassa..full kupiga dua. Ndo nkawa naona hivo
Back
Top Bottom