Search results

  1. M

    Magufuli na data za uongo

    Atakua anaongea Ali mselema.....
  2. M

    Unafikiri kuna Paka Wangapi hapo?

    Wapo paka saba
  3. M

    Shilingi bilioni 800 zayeyuka bandarini

    Toka lini mwajiriwa kumwajibisha bosi wake. Hata wakiwa na taarifa wanaogopa.
  4. M

    Shilingi bilioni 800 zayeyuka bandarini

    Acha tu wafanyabiashara wakwepe tu kodi wasaidie familia zao kuliko kulipa Kofi ambayo mwisho Wa siku haziendi kwenye miradi ama kuendesha seikali badala yake watu wamekaa tu kusubiri namna na mbinu za kugawana..
  5. M

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kweli itakuweka huru
  6. M

    Kuna harufu ya ngumi hapa

    Hahahaha u made my day. Nimecheka mpaka kikohozi..
  7. M

    Mvuta bangi atolewa nduki na kundi la Mbuzi

    Vipaji kama hivi Vya wiseboy adimu sana. Alitkiwa Kuwait produser wa vitukoshow
  8. M

    Umri gani ni sahihi kumtenganisha mtoto na chumba cha wazazi?

    Mkuu hii mada ipo mahala pake. Wazazi tunakosea sana kulala na watoto. 1st born wangu 2yrs alishaanza kuleta shida. Hataki kuona hata tumekumbatiana. Anatutenganisha kwa kulala ktkt. Nikajua haifai faragha mbele ya watoto hatakama ana mwaka na nusu.
  9. M

    Kama unabisha jaribu

    Pum.bavu imenikamata kweli kwenye 3 hahaha
  10. M

    Tuache ushabiki wa vyama: Nani bora kwetu, kati ya Lema na Monaban - Arusha Mjini

    Jogi. Nimeipenda hii. Hata Lema akipewa nafasi na magamba anakula mwereka tu. Arusha chadema ipo kwenye DNA za wanaarusha..
  11. M

    Wakumbuka nini enzi za shule ya msingi?

    Sisi ni chipukizi wa ÇCM shkaaaaamooooo mwaaalim...
  12. M

    Wakumbuka nini enzi za shule ya msingi?

    Dah nimecheka sana. Mnakumbuka mambo ya kupinga? Siku nzima mkono makalioni ukitoa Tu Boonge la buti linakuhusu... Basi kutwa nzima unashikilia kalio kama unazuia mavi...
  13. M

    Mtoto achinjwa Wilayani Kondoa

    Crystal tupe story kamili. 1. Amechinjwa na nani 2. Kwa nini 3. Ni albino ama Weka nyama bhana.
  14. M

    Baada ya mahojiano, Gwajima aachiwa kwa dhamana

    Mlalamikaji no Aboubakar
  15. M

    Basi la Sharon linalofanya safari za Arusha - Dodoma, limepata ajali Arusha Airport

    Nimeambiwa ni basi la Sharon,baada ya muda nitaweka picha. Hakuna aliyekufa majeruhi wamekimbizwa Mount Meru..
  16. M

    Zitto rasmi ACT-TANZANIA

    Amebugi.
  17. M

    Kauli nyingine tata ya Kikwete hii hapa

    Kuna hadithi fulani ya mfalme juha sijui ndo inafanana na hii??.. Ebu fungukeni wanajamvi..
  18. M

    Prof. Kitila Mkumbo - Mwenyekiti UDASA

    Kitila ni jembe lililokosa mpini.. Ndo maana hakuwa na msimamo.. Ila jembe hili likipata mpini litatufaa sana... Don't count the past. Tumpe nafasi nyingine..
  19. M

    Eh Mungu muondole mtoto huyu maumivu!!

    Receive healing in Jesus name Ameen. Come back with your testimony in jamii forums. Kama Mungu aishivyo lazima apone maana hakuumbwa ateseke... Iweni na imani pamoja nami katika Mungu wa Miungu. Kama una imani type Amen
Back
Top Bottom