atakuwa rais na nyumba hazirudi, kwan tumenunua kihalali kama watumish wa serikali na kama unaona alifanya makosa mbona mpaka leo hujaenda mahakamani? serikali imeamua kuuza nyumba zake tena kwa watumishi wake wew unawashwa na nin? au ndo la mkosaj? lete hoja acha vioja! kwan wew ulishawah...
Hbr za kupeluz wana jf! Najtokeza kwa mara ya kwanza ktk jukwaa hili nikitafuta mwanamke wa kumuoa. nina miaka 33, nina diploma ya marketing, muajiriwa, mkrito,mtulivu, mcha Mungu.
Sifa za mwanamke nimtakae, mcha Mungu, mwenye mapenz ya dhati, mkristo, elimu yyte. kwa mwenye nia ya dhat anipm plz.
tatzo raia wanajichukulia sheria mkononi na polisi wanaingilia kaz ya mahakama, kwahyo wote n wakosaj kisheria. tafakarini chukue hatua... hakka hakuna damu itakayomwagika iwe ya raia au polisi ambayo haitalia ardhini.
kama Lowasa hakuhusika moja kwa moja na kashfa ya richmond atuambie hadharan ninan aliyehusika, naamin kwakuwa yeye ndiye aliyekuwa waziri mkuu lazima atakuwa anamfahamu, aache kumung'unya maneno atutajie muhusika. mwambie nafasi ya urais inahtaj mtu jasiri mwenye kuthubutu, kama akishndwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.