Search results

  1. C

    EXCHANGE DEAL--IPHONE 5S VS IPHONE 6 PLUS

    Mwenye IPhone 6 Plus nahitaji nimpe 5s NA kuongeza pesa kiasi...aliye tayar ani-PM tayar kwa makubaliano/negotiation
  2. C

    Photocopy mashine inauzwa

    photocopy machine inauzwa ipo katika hali nzuri sana aliye serious ani pm ..,naambatanisha na picha
  3. C

    Anahitajika binti wa kusimamia stationery

    Habari ya Jumapili wana jukwaa... Anahitajika binti kwa ajili ya kusimamia stationery iliyopo Dar es salaam, maeneo ya Riverside. Anayeweza kazi hizo ani PM
  4. C

    Arsenal vs liverpool

    Adhabu wanayoipata ndugu zangu wa liverpool leo...utawaonea huruma...arsenal wanawatesa sana wenzao HT tu ni 3-0
  5. C

    Ushauri kwa mmiliki wa mabasi haya (first class) ya usafiri wa kwenda arusha

    siku kadhaa zimepita tangu nisafiri kutokea Arusha kuelekea Dar es salaam kwa gari nililoamini ni First Class likihakikishiwa na gharama zake za Tsh 33,000....Lakini huduma niliyoiona ni tofauti na matarajio yangu...Gari haikuwa na AC na ilikuwa ni mateso kwa abiria wengi...nilijaribu kuhoji...
Back
Top Bottom