Search results

  1. saidi kalindura

    TRL (SGR) wakazi wa Pugu station hatuwaelewi

    Habari wana jamvi humu.siku kadhaa sasa zimepita tangu hawa watu wa reli ya umeme sgr wapite mtaani kwetu na kutuwekea alama ya kutakiwa nyumba zetu tubomowe kwa kuwa mradi wa huu wa train ya umeme unapita kwenye maeneo yetu hapa pugu station na kwa maelezo yao hatutakiwi kufanya jambo lolote...
  2. saidi kalindura

    Wimbo wa njiwa wa Patricia Hillary

    Habari wanajamvi wenzangu, Naombeni msaada ambaye atakuwa na wimbo wa Patricia Hillary wa njiwa part two anitumie nimetafuta sana napata part one tu. Nitafurahi mkinisaidia kwa hilo whatsup namba. Thanks.
  3. saidi kalindura

    TAPELI MWINGINE HUYU HAPA.

    Ndugu wanajamvi kunatapeli mwingine huyu na staili zao ni zile zile sijuwi wanajuwa watu bado wamelala.So kuwa makini na hii kampuni mfukoni.......... Dear Applicant, I have the pleasure to inform you that the RECRUITMENT TEAM has received, reviewed and thoroughly discussed your credentials and...
  4. saidi kalindura

    Natafuta kazi ya ya udereva

    Ndg wanajamii wenzangu naleta maombi kweni yeyote mwenye taarifa sehemu kuna nafasi kazi za dereva naomba anijuze tafadhali.Nna grade ONE na Two ya driving kutoka NIT pia elimu ya computer kutoka UDSM computing centre.na elimu ya kidato cha nne.Nna uzoefu wa miaka saba bila kusababisha...
  5. saidi kalindura

    Tumechoka na askari wa pale Mataa ya Kuongozea Magari TAZARA

    Habari wanajamii, Mimi nasikitishwa sana na tabia ya hawa askari wanaokaa hapo TAZARA traffic light. Ni hawa wanaoshika bunduki hasa wapo wawili wafupi ni kero kubwa hasa kwa waendesha pikipki. Wao huwa hawajali usalama wa waendesha pikipiki maana inafikia hatua wanazikimbiza. Sasa sijajuwa...
Back
Top Bottom