Search results

  1. A

    Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

    Ee mungu tunaomba utulinde na hawa wafuasi wa shetani kwa matendo yao, uwaangamize kabisa hata masalia yao tusiyaone. Watesi na watekaji wakuu.
  2. A

    Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

    Mungu ibariki Tanzania, chadema. Tunaomba hawa mafedhuli uwaumbue zaidi na kuwanyang'anya dola. kwa kuwa wanatenda yasiyokupendeza. Tunaomba uelekeze hasira yako juu yao ili wasilisahau pigo lako kuu.
  3. A

    Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

    nimekubali chadema wako makini kuliko usalama wa taifa. sikuwaelewa na sasa nimewaelewa
  4. A

    Kongamano la Uzinduzi wa Kanda ya Dar es Salaam: Live Updates

    mtanke, leo umefanya kazi kubwa sana.binafsi nakushukuru sana kaka, kwa kuwa kwa kiasifulani ni kama nilikuwa kwenye mkutano huo wa uzinduzibig up. naomba usichoke kesho tena tupe updates M4C forever
  5. A

    Bungeni: Tundu Lissu awavaa Kikwete, Mwigulu

    kweli ccm ni wahuni sana. tutatumia huo huo uhuni wao kuking'oa chama hicho kwa tuko makini kuliko wao kwa kiwangoo kikubwa sana
  6. A

    Kongamano la Uzinduzi wa Kanda ya Dar es Salaam: Live Updates

    Cdm iangushwe 2015 na ccm kwa sera gani mlizonazo au kwa mgombea yupi mliyenaye? hakuna kinachouzika ccm. Ziandaeni fedha tutawandisha wananchi jinsi ya kuzila ili mufilisike. kwa kuwa nyie ni masikini wa sera mumebaki na fedha tu.
  7. A

    Sakata la kutekwa, kuteswa Kibanda: Maggid Mjengwa ahojiwa na Polisi!

    Ni kweli lakini kwao kufedheheka si kitu muhimu kwa kuwa wamezoea kuwa hivyo, wanaendeshwa hovyo na mabwana zao ccm. Natamani cdm ikishika inji isafishe hizi takataka kuanzia TISS mpaka MAGEREZA
  8. A

    Dr Slaa: Tupo Makini kuliko CCM, Usalama wa Taifa....

    kaka asante sana kwa kutuletea sauti ya dr. well done chadema.
  9. A

    Kongamano la Uzinduzi wa Kanda ya Dar es Salaam: Live Updates

    Pamoja sana mkuu, ingekuwa vyema ukafanyika utaratibu mzuri na wa uhakika wa kuchangia kwa sisi tulio mbali na tukio kwa sasa. najua harakati hizi zinahitaji fedha sana na rasilimali watu + muda.
  10. A

    Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    Nakushauri kaka Mwigu... jitahidi kwa muda wako urudie kusoma tena kwa utulivu maoni ya Mvaa Tai, halafu umkumbuke muumba wa mbingu na dunia. Kama utaendelea kusambaza uongo na watu wasio na hatia wakateseka kwa ajili yako kama ilivyo sasa. Kifo chako na washirika wako kitakuwa cha aibu zaidi ya...
  11. A

    Pendekezo: Wanaomuombea Rais afe wakamatwe kwa kupanga Ugaidi

    inawezekana wako buzy na CD series za lwakatare
  12. A

    Pendekezo: Wanaomuombea Rais afe wakamatwe kwa kupanga Ugaidi

    kweli hao ni wauaji. cha ajabu rais anawajua lkn kwa kuwa ni waislamu wenzake wao si shida na haimsumbui. lakini sipati picha lingeffanya hivyo kanisa katoliki? JK usipo fanya mambo yakawa sawia yataendelea kukusumbua. ww ndo amiri jeshi mkuu sasa unamlalamikia nani? au rashid othmani yuko...
  13. A

    Dr. Batilda Amsalimia Mhe. Ruto "Shikamoo"

    na ww ni great thinker?
  14. A

    Zitto Kabwe ndani ya Iramba kumvuruga Mwigulu Nchemba

    mpeni ushirikiano, awafundishe siasa. hicho ni kifaa cha kuaminika katika kazi
  15. A

    Mh. Steven Wassira afunika Mwanza

    nini cha kilichofunikwa? huna hoja kaa chini wewe.
  16. A

    CHADEMA, kumbe hii ni vita sasa

    kweli mkuu ya kazi ya ukombozi ni ngumu sana. mpaka sometime huwa naona kama chadema peke yake haiwez
  17. A

    DOUBLE STANDARDS ZA CHADEMA, Lwakatare angekuwa kiongozi wa CCM wangeandamana kushinikiza ajiuzuru

    huyu Lukosi inawezekana ana uwezo mdogo wa kufikiri kutokana na hoja zake au amechagua kufikiri vibaya kwa muda. ingawa athari yake anaweza kuzoea na kuathirika moja kwa moja. pole sana natamani hali hiyo isiendelee kwa muda mrefu kwa utakimbiwa na mambo mengi sana
  18. A

    Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

    Zitto nakukubali sana kaka kwa jinsi unavyoendesha siasa zako na chadema kwa ujumla. lakini mkuu nakusihi kuwa mwangalifu sana na maCCM. haya majamaa yatakutumia sana kuisambatisha chadema kwa kuwa kwa sasa ni wewe tu unayeweza kutumika kuisambaratisha chadema. Jitahidi sana kuwa Straight...
  19. A

    Pichani: NAPE ATINGA MOSHI

    waacheni waendelee kuweweseka, siku zinakuja hawatapata nafasi ya kuitukana chadema
Back
Top Bottom