Search results

  1. Bianca joseph

    Hello! I am new member

    Hello! I am new member of this site and I am very interested.
  2. Bianca joseph

    Siku ambayo sitaisahau

    Ilikuwa ni siku ya Alhamisi, mpenzi wangu alinipia simu kwamba anahitaji tuonane. Kwa kweli alinishtua sana, nilijua labda amepatwa na tatizo. Nilipofika kwake aliniambia kwamba anahitaji kutoka na mimi kwenye sikukuu ya pasaka. Kwasababu ya upendo wangu kwake nilimkubalia ombi lake. Ilipofika...
  3. Bianca joseph

    Hello

    Naitwa Bianca, ni mgeni humu naomba unipokee. Naomba msaada jinsi ya kuweka picha ya wasifu.
Back
Top Bottom