Search results

  1. M

    Zitto: Idadi ya wabunge wa upinzani kwa sasa tunatosha kumg'oa Rais Magufuli

    Ila ndoto kweli naamini ni kitu hatari sana!!!!! HIVI ZITTO HUYUHUYU AMBAYE ALIPIGWA BAN NA MWANAMKE TULIA ACKSON...NA AKASHINDWA KUFANYA LOLOTE...LEO HII UTHUBUTU HUO WA KUMUONDOA RAIS AMEUPATA WAPI??????? Unajua hiyo maana yake nini???? ALISHAGUNDUA UPINZAN UNATAKA MANENO MATAMUMATAMU KAMA...
  2. M

    Tundu Lissu aeleza kwanini walimchagua Lowassa kugombea Urais

    Twaweza wanafahamika...findings zao ukiingia kwny net unazipata..hata kama hukubaliani nazo but they are there to stay! !!! SWALI NI KWAMBA...NI KAMPUNI GANI YA WAZUNGUNGU IKIYOWAAMINISHA CHAGADEMA KUWA HUYO FISADI ANA 18% ZAIDI? ??? FINDINGS ZAO ZIKOJE BA TUNAZIPATA WAPI????? Kwa taarifa yako...
  3. M

    Mgombea wa CCM Dimani jitoe, hiyo ni laana

    Nilipoona umemtaja Mwl nyerere nikawa na hamu ya kusoma ili kujua...MAKONGORO ALIPATA LAANA GANI ALIPOGOMBEA ARUSHA KUPITIA UPINZANI KINYUME NA MATAKWA YA BABA YAKE!!!!!!! Lkn sishangai..ninyi kula matapishi yenu ni kawaida...ni sehemu ya maisha...Maana muda ule mlisema MAKONGORO ni mtu mzima...
  4. M

     Mbunge kahoji mbele Waziri Nchemba kwanini hapigiwi saluti na polisi?

    Sasa angekuwa ni mbunge wa CCM hapo ndo ungeona mtiririko wa thread jinsi ungekwenda Hadi sasa kurasa zaidi ya 20 zingekuwa zimefika...matusi juu ya utu na nafsi ingekuwa balaa Hapo wa upande uleeeee wanaupita hivi........Aibu hiyo Nawaza kwa sauti tu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  5. M

    HAPA KAZI TU: Ghala la Taifa lina hifadhi ya chakula kinachotosha siku 8 tu ikitokea dharura yoyote

    Mkubwa!!!! Shida inakuja hapa....Mtu anadai data za kupinga hoja iliyotolewa WAKATI YEYE HAKUTOA DATA ZA KUTHIBITISHA NA PIA SOURCE YA TAARIFA YAKE MTOA MADA!!!!! Nilitegemea aseme kuwa amecopy na kupaste kutoka kwa ZITTO (ambaye kimsingi kwa Chama chetu huwa HAAMINIKI..NI YUDA) LKN PIA BAADA YA...
  6. M

    John Mnyika: Napinga ongezeko la bei ya umeme 8.5% kwa kuwa ni mzigo kwa wananchi

    Afadhali Nimemuona mbunge wangu Mnyika AMEJITOKEZA CHINI YA MASAA 24 BAADA YA TANGAZO LA KUONGEZA GHARAMA ZA UMEME Lakini nawaza kwa sauti tu......ZIMEPITA SIKU NGAPI BILA HUYU MBUNGE WANGU KUJITOKEZA KUKEMEA WATU WALIOMTEKA MSAIDIZI WA MWENYEKITI WETU MBOWE... (Ben)???? NASHAWISHIKA KUAMINI...
  7. M

    Chadema na media Tanzania wanamaliza mwaka 2016 kwa aibu ya upotoshaji

    Mhhhhhh[emoji33] [emoji33] [emoji33] Mkuu mbona umesema no employment. ....kumbe unajua kabisa ukilima Matikiti..nyanya...tayari unapata pesa???? Hiyo siyo ajira????? NI KIASI CHAKO WW KUACHA KULIMIWA AU KULETEWA KAMA MWANZO ILI UJIARI NA UACHE KULIALIA..Njia unaijua kumbe CHUKUA HATUA JPM...
  8. M

    Jaji Kaijage, NEC huandiki hukumu

    Ingawa najua maana yako lkn huna tofauti na mtu atakayesema MBOWE KAMUULIZE LIPUMBA AKUPE ELIMU...Umejiona ulipo????? Btw hivi kwa nn Tanzania watu wengi wako negatively minded???? Umesahau nini muda huu mfupi kuwa Lubuva ndiye alikuwa mwenyekiti NEC???? Mbona hujamwambia amuulize huyo???? Au...
  9. M

    CCM hakika haitakwepa adhabu ya Mungu.

    Hivi mwanzo had mwisho wa HADITHI YAKO KIPI KIPYA HAPO???? Mbona hayo ndo kila siku mnaimba???? Tatizo mlilonalo ninyi...YOU DON'T WALK YOUR TALK MY TAKE:- ISSUE MPYA LEO NI JINSI GANI MLISEMA JK ALIKUWA NA MAJINA YAKE MFUKONI KUMKATA LOWASSA...JINSI GANI MNAIMBA UDIKTETA....WAKATI HUOHUO MBOWE...
  10. M

    Tetesi: Kuna Fununu kuwa Serikali inadoctor Taarifa za makusanyo ya kodi

    Kina fununu kuwa MOKILI FUMULAUHI anafanya mapenzi na mke wa jirani yake tena rafiki yake sanaaa...pia kwa sasa ana mpango wa kumuua huyo rafiki yake ili amiliki moja kwa moja mke huyo pamoja na mali zote za huyo best wake Hebu tumuombe huyu Mokili aje akanushe taarifa hizi la sivyo tutaendelea...
  11. M

    Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

    Nimesoma hapa nikakumbuka ule msemo.....NYANI HAONI KUNDULE! !!!! Hivi ni nani mnafiki?????? MLIMUITA JK NI DHAIFU....HAKAI NYUMBANI MUDA WOTE NI ANGANI....ANACHEKACHEKA TU NCHI INALIWA....NI FISADI...... Maajabu sasa baada ya KUMCHUKUA BABY BOY...MKAMPITISHA KWENYE PIPA LA MAJI NA KUOMBEWA NA...
  12. M

    Rais Magufuli ateua Wakuu wa wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri kujaza nafasi wazi

    UVCCM wanakesha mitandaoni kwa sababu WAPO WA KUSOMA NA KUSHIBA YALE WANAYOYATUMA Hope wewe ni mmoja wao wanaofaidika na kukesha kwao...la sivyo usingejua kuwa wanakesha....KUMBE WANA FAIDA SANA KWAKO UKIZINGATIA MNAKESHA NAO!!!!!! Wao wakipost na wewe ukisoma!!!!! Sorry:-Nawaza kwa sauti...
  13. M

    Ukweli unaonyesha CCM haiwezi kabisa kushinda uchaguzi mwaka 2020

    Unaonaje kama ikiendelea kuwa siri yako na ukiwashirikisha na wabadili gia angani waanze kuunda baraza la mawaziri kabisa!!!!! Maana tayari wameshinda!!!!!! ILA AMBACHO HUPASWI KUSAHAU WEWE UMEPIGA MAHESABU NDANI YA MIAKA MITANO NA TAYARI UMEONA YAMEKUBALI....WENZAKO WALIPIGA MAHESABU HAYOHAYO...
  14. M

    Hakika Rais Magufuli ni mwenye huruma sana.

    Brother! ! Vip ikiwa vice versa. ..kwamba na ninyi kutokuwa na kazi maalumu za kufanya kunakowafanya mlale na kuamkia JF KUPINGA KILA KITU kunawafanya mmeze KILA UJINGA unaotoka Ufipa?????? Ikiwa Ukuta hewalaaaa...ikiwa kata funua hewalaaaaa...ikiwa huyu ana mashamba mengi hivyo ametumia...
  15. M

    Kumbe Kingunge alisema kweli CCM ilikata Pumzi!

    (A) Kiongozi wa dini akitumia madhabahu au misikiti kupiga kampeni kwa chama cha siasa linabaki yeye na Mungu kubadili matumizi ya Mungu kuwa kisiasa..Lakini angalau ana haki ya kutimia hiyo madhabat maana ni mhusika (B) Kuna mmoja ambaye hakuwa na HAKI YOYOTE kutumia madhabahu maana ni...
  16. M

    DK. Tulia Ackson si mwanasiasa na ndio maana anayumbisha Bunge

    Wachaga/wapare a.k.a Kaskazini Zone mnnaotafuta utawala kwa kuigawa nchi kupitia saccos zenu(CHADEMA...KIKUNDI CHA KIJO BISIMBA ETI HAKI ZA ...N.K) tangu kipindi cha Nyerere mnaelekea kushindwa hii battle!!!! Kimsingi mnaenda mnapungua!!!!! Shame on you mkabila!!!!! Badala ya kutoa hoja...
  17. M

    Ni kweli mwenyekiti wa BAVICHA Mbeya kafungwa jela miaka miwili?

    Kesi ya uchochezi kwa njia ya mtandao CC 106/2016 iliyokuwa inawakabili washtakiwa Moses Ezekiel Mwaifunga pamoja na mwezie Meshack Mgaya tayari imesikilizwa leo Trh 29/11/2016 na Mh. Hakimu mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Mh. Mteite na hukumu imetolewa. Katika kesi hiyo Mahakama imemuachia...
  18. M

    Makamu wa Rais wa chuo kikuu cha Dar es Salaam Bi Shamira Mshangama rasmi amechukua kadi ya CHADEMA

    Halafu kweli nilikuwa nimesahau!!!!!! Hii nchi SI YAKE BALI NI YAKO!!!!!!!!!! Kwa hisani ya Uzuzu!!!!!
  19. M

    ARUSHA: Mbunge Godbless Lema bado anasubiri dhamana, arudishwa Gerezani, Mawakili wake wakata Rufaa

    Da!!!!! Maskini Mahakama kuu leo pia amegonga mwamba!!!!!! Kwa sasa wanataka kukata rufaa kwa HATI YA DHARULA!!!!! MM naamini kuna kitu amejifunza...kwa sasa angeachiwa tu kwa dhamana Source:- Azam adhuhuri
  20. M

    US huko Iraq inapiga ngoma na kucheza yenyewe

    ISIS huko Iraq iliwekwa na US yenyewe eti sasa inajifanya kuisaidia Iraq kupigana nayo kutwaa mji wa Mosul,what a conspiracy this country is!! Kama wanataka kusaidia iraq ilikuwa ni kitendo cha kuita Mageneral wa ISI huko na kuwaambia watoke only that maana wao ndio wamewaweka huko na wanawapa...
Back
Top Bottom