Search results

  1. M

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mawazo mazuri ndio yanayoweza kujengenga sio blaa blaa kama za Nape.
  2. M

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mawazo mazuri ndio yanayoweza kujengenga sio blaa blaa kama za Nape.
  3. M

    Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

    Siasa inaua hatare,Mungu amponje namkubali sana yule mama
  4. M

    Jaman ivi nitafanyaje ili niache kupiga master ushauri plz

    Kuna watu wanaleta utani ila mi nimemwelewa sana mtoa mada.Huyu jamaa anatatizo kubwa,ninavyomwelewa ni kwamba huyu jamaa anamwenza ila huyu mwenza wake hamridhishi hivyo anaamua kujichua ili kupoza hamu huu ndio msingi wa tatizo lake. Mimi nakushauri kwamba tafuta kujua kwanini mwenzi wako...
  5. M

    Vijana wa Songea wakienda kuizika UKAWA

    Hata Yesu alitenda wema kuwaponya wagonjwa na kuwasaidia watu wenye matatizo mbalimbali lakini walimtesa na kumtundika msalabani,ila alipopaa mbinguni ndio walijua kuwa yule alikuwa ni masihi
  6. M

    Yanayojiri Jijini Mwanza: Mkutano wa kuhitimisha kampeni za mgombea Urais wa CCM, Magufuli

    Yaani nakuonea huruma sana pamoja na kupoteza muda wako kutengeneza hotuba yoote hii lakini watu tumeshaamua kuwa rais wetu ni EDWARD NGOYAI LOWASSA. Labda ujairibu tena mwaka 2025
  7. M

    Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Lowassa ndio rais hilo liko wazi kabisaa
  8. M

    Magufuli akacha Mahojiano ya BBC

    HA HA HA HA....Kwani unadhani yeye haogopi?
  9. M

    Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Unabii huwa haubadilishwi kijinga wadanganyeni wapagani wasiojua unabii
  10. M

    My CCM, NEVER do that again!

    Hizi sio nyakati za ccm tena msijidanganye
  11. M

    Lowassa azomewa na vijana wazalendo Morogoro

    Lowasa anatisha wewe acha kuzusha sasa hivi yupo hapa ruaha kilombero hadi walimu wameamua kufunga shule maana kila mtu anaacha shughuli zake anaelekea kwa lowasa na bendera za ukawa,kazomewa waaapi?
  12. M

    Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    Aaaah.!! Kwa bahati mbaya amenusurika
  13. M

    System aliyoitegemea Lowassa ilivurugwa na Kikwete!

    We ngoja tu utaelewa kwamba lowasa ni nani anapoahapishwa kuwa prezidaah
  14. M

    Hapa tulikuwa tunalinda Kura? Ni amani ipi tunahubiriwa?

    Wanasema sheria inafuata mkondo wake sasa sijui ni sheria gani hyo iliyofuatwa!? Hakuna namna hawa ccm wapigwe tu
  15. M

    PICHA: Mama Regina Lowassa Atua Kwa Kishindo Jijini Mbeya

    First lady ndio huyu watake wasitake na watashangaa watakapoona mama magufuli kawa member wa bawacha
  16. M

    Kulala kwa Lowassa Msibani kuwe Funzo kwa Wapiga kura Tanzania

    Walikuwa wanasali ----- we acha kutuaminisha propaganda zako za kikuda,hata kama angekuwa kalala bado huyo huyo ndiye raisi tunaemtaka
  17. M

    Lowassa akosa sifa za kuwa rais wa Tanzania

    Sie twamtaka huyu huya ambaye kwa mujibu wako hana sifa ili kwetu anasifa kibao.
  18. M

    Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Ujio huo utaahirishwa hadi uchaguzi upite ndio tutajua ukweli
Back
Top Bottom