Search results

  1. molwe

    Ulitumiaje nafasi yako ya ku-revenge kwa Ex aliyekufanyia Makusudi?

    Kisasi mwachie Mungu!! Karma is really!! Samehe kwa ajili ya amani na afya Yako, then move on!! Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  2. molwe

    Mwanamke simama imara usaidiane na mume kuendesha familia, ikitokea kesho amepata tatizo usitetereke

    Wanaume wanapenda wanawake wa kukaa nyumbani na kupika!! Hao wakomavu wengi wanaishia kuchakaa na hakuna anaewashukuru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  3. molwe

    Binafsi siwezi kuishi na mtu anayeenda kwa Waganga wa kienyeji na Mchawi

    Mchawi hapanaaa!! Ataroga wengineee, ipo siku atakugeukia wewee!!! Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  4. molwe

    Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

    Hizi simu tuwe makini!! Kuna jamaa yangu alikuwa jirani, Nina uhakika yumo humu, alivunja ndoa yake kwa kutuma msg ya mchepuko kwa mkewe kuwa wakutane sehemu wa se.. Hadi asubuhi na mapicha ya huyo mwanamke yaliyopambwa kibao, wakati kamuaga mkewe kuwa hatarudi nyumbani ana safiri kikazi...
  5. molwe

    Ninajivunia wewe uliyeweza kusimama imara baada ya kupewa mimba na kutelekezwa na mtu uliyempenda

    Mkuu!! Usihukumu upande mmoja!! Mungu hapendi!! Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  6. molwe

    Hivi nyie wanaume mnawezaje kulea na kusomesha watoto wa wanaume wenzenu kwenye shule za private

    Hakikisha unasomesha na WA kwako!! Hao wa mwanaume mwenzio wakikua watakuchukia, kwa kuwa wataona ulimnyanyasa Baba Yao kwa kuwa ulikuwa na hela!! Take care! Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  7. molwe

    Nataka niingie kwenye kilimo, kwa anaye uza eneo/ shamba

    Nimekuelewa sana kiongozi!! Shamba Eka 2 zenye maji mm mwenyewe nauza milioni 4, ni karibu sana na barabara kuu ni mita 500 toka Barabara iendayo Dodoma, eneo ni Dumila mjinmdogo , na ni jirani sana na centre ya kuuzia mazao!! Nahitaji pesa ninunue shamba huku niliko kwa sasa...
  8. molwe

    Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Yaani pointi moja kubwa sana! Ukiona ndugu wa upande mmoja hawakubaliana na ndoa yenu, hiyo ndoa haitadumu!! Kutakuwa na vita na uchonganishi sio wa nchi hii! Watahakikisha hiyo ndoa inakufa!! Take care!! Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  9. molwe

    Nataka niingie kwenye kilimo, kwa anaye uza eneo/ shamba

    Wahuni wapo maeneo mengi!! Ila Hilo ni eneo langu binafsi (Mimi ni mwenyeji wa eneo hilo)Lina miwa ya kutosha nimeshaanza kuvuna. Nashindwa usimamizi kwa kuwa Niko mbali na hapo kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa. Nahitaji fedha ili ninunue shamba lingine huku niliko. Bei maelewano kwa...
  10. molwe

    Wakazi wa Kirando nisaidieni

    Ukiona huelewi kabisa nenda polisi!! Watakusaidia kumpata kama ni mkazi wa huko. Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  11. molwe

    Nataka niingie kwenye kilimo, kwa anaye uza eneo/ shamba

    Kwa anaetaka shamba la Bustani, lipo karibu na High Way ya kuelekea Dodoma eneo la Dumila- Kwa wanaolifahamu eneo Hilo ni maarufu sana Kwa mazao ya bustani. Lina kisima cha umwagiliaji hakikauki mwaka mzima. Zipo Eka 2, unaweza kulima mazao yote ya bustani unayoyafahamu. Karibuni sana. Sent...
  12. molwe

    Wazazi tuache kutesa watoto wetu kwa kuwakumbatia ndugu

    Tena wengine watahakikisha na ndoa inavunjika na usihudumie kabisaa watoto wako, ili uendelee kuwahudumia wao!! Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  13. molwe

    Biashara: vifaa vipya vya studio ya kurekodi muziki vinauzwalaki 2 tu

    Vipi vifaa vimeshauzwa? Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  14. molwe

    Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

    Unajidanganga saanaa!! Huwajui vizuri hao unaosema waaminifu!! Hao ni hatari kuliko unavyowaza!! Unatoka tuu asbh, dume linaingia!! Linapikiwa chai nzito linakula na zawadi juu!! Hadi uje urudi toka huko kazini kwako, kashaingiza wanaume Hadi watatuu!! Chezea wanawake...
  15. molwe

    Makabila haya yanaongoza kwa kuwekana wao kwa wao kwenye nafasi za Umma

    Na wasukuma ni hatariii!! Wanawekana bila aibu na wanaongea ofcn bila aibu kuteta wenzao[emoji3525][emoji3525][emoji3525] Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  16. molwe

    Wamama kutembea na vijana ni uungwana?

    Aaah!! Msemage na vibabu vinavyotembea na vitoto!!
  17. molwe

    Majukumu ya Mwalimu

    Mwalimu anafanya kazi masaa24!! Undani huu, mtu wa kada nyingine hawezi kuufahamu!! Kwanza mwalimu hawezi kuingia darasani kama hajajiandaa!! Kujiandaa kunaanzia kusoma ili upate cha kufundisha, kuandaa notsi, kusoma ili kuwa na mpangilio madhubuti wa uwasilishaji somo husika! Tofauti na kada...
  18. molwe

    Kwanini vijana wengi walioharibika waliolelewa na mzazi moja hutokea upande wa single mama?

    Ungeandika single parents, ingependeza zaidi!! Tusiwe gender blind society!!
  19. molwe

    Tumjadili huyu Mstaafu hapa wakuu tuone ana akili timamu au sio mzima

    Haaaahaaa!! Ndugu hujawahi kuona wazee baadhi Yao wakipata pesa[emoji23][emoji23][emoji23] Sisi Bimkubwa wetu alipopata pesa akawa hapokei simu zetu na Wala hajatushirikisha chochote ! Aliunga urafiki na mdogo wetu wa kiume mtu mzima pia. Tulikuja kushangaa alishanunua Alphad na kanunua Boma...
  20. molwe

    Wanawake hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? 🤔🤔

    Wengi wanakubali na kumshawishi single Baba amtelekeze mtoto [emoji3525][emoji3525][emoji3525]
Back
Top Bottom