Search results

  1. zinyalulu

    Bunge letu kuyumba tatizo ni elimu ndogo ya wabunge, kuwa la kichama zaidi au uongozi mbovu?

    vyote vitatu, yaani kuwa na wabunge wengi wenye elimu ndogo ju ya kazi ya mbunge. 2 bunge kubeba ajenda za vyama badala ya ajenda za kitaifa. 3 bunge kuwa na viongozi waliopwaya kwenye nafasi zao
  2. zinyalulu

    Spika Ndugai ana personality disorder?

    spika alisema nyie mawaziri fanyeni kazi
  3. zinyalulu

    Spika Ndugai ana personality disorder?

    spika alisema nyie mawaziri fanyeni kazi
  4. zinyalulu

    Spika Ndugai ana personality disorder?

    spika alisema nyie mawaziri fanyeni kazio
  5. zinyalulu

    Sakata la Madini: Rais Magufuli ameagana na Nyonga?

    tuanzie tulipo jikwaa sio tulipo angukia.tukifanya hivyo nadhani tutafanikiwa.
  6. zinyalulu

    Gwajima yuko very wrong kwa hili! Extremely wrong!

    mimi nakubaliana na wewe,ila nashauri tuanze na katiba.kwa mtu yeyote mwenye mapenzi na taifa letu aiunge mkono rasimu ya katiba iliyotolewa na tume ya jaji warioba.inashangaza kundi fulani wanaipinga sana rasimu ya katiba ya warioba haohao wanakua wakwanza kuibua na kulalamikia matatizo...
  7. zinyalulu

    Sakata la Madini: Maftah Nachuma ampinga Tundu Lissu

    alichosema ni kweli kabisa,ndio maana serikali yetu iliweka watu wa kuhakiki mchakato mzima kuanzia uchimbaji,upakiaji,upimaji wa kiasi cha madini yaliyomo kwenye makenika hadi usafirishaji.na utaratibu huo utumika kwa kutumia nyaraka maalum zinzo sainiwa napande zote mbili .ushauri wangu...
  8. zinyalulu

    Mbowe agonga mwamba kortini, hata TLS watagonga mwamba!

    kwani siasa ni nini?naomba kuelimishwa.
  9. zinyalulu

    Sheria za Askari wa usalama barabarani ziangaliwe upya

    je askari anaruhusiwa kuchukua hela ya faini bila kutoa risiti?sijui kisheria limekaaje hilo.
  10. zinyalulu

    Rais Magufuli atoa msaada wa magari ya kubebea wagonjwa kwa wabunge wa Nkasi, Tabora na Shinyanga

    ilifaa iandikwe hivi serikali yakabidhi magari ya kubebea wagonjwa.maana hizo ni fedha za serikali mara nyingi misaada utolewa na wafadhili bali serikali utimiza wajibu wake kwa wananchi.
  11. zinyalulu

    Huyu Godfrey Ngoyai Lowassa ni kijana wa Edward Ngoyai Lowassa?

    mahakama ijiandae kupokea kesi nyingi za kupinga kufukuzwa kazi
  12. zinyalulu

    Hoja pekee iliyobaki kwa wapinzani ni kumsingizia Rais kuwa anavunja Katiba

    Hivi hayo yamo kwenye katiba ya nchi au kwenye ilani ya chama cha mapinduzi?samahani nataka kujua
  13. zinyalulu

    Ukipata nafasi ya kumshauri ushauri mmoja tu Mh. Rais Utamshauri nini?

    ajitahidi kuwa unganisha wananchi wa tanzania bila kujali itikadi za vyama vyao ilitusonge na kuishi pamoja kama taifa.
  14. zinyalulu

    Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

    amini usiamini urefu wa kiganja chako ndio urefu wa uume wako
  15. zinyalulu

    Kupotea kwa Roma Mkatoliki: Kibatala, Lissu na wanasheria wa TLS kufanya yao

    hongera wanasheria kwa kutetea haki za mtanzania mwenzetu
  16. zinyalulu

    CHADEMA tunalaani kauli za UDINI za Spika Ubunge EALA

    hivi spika na naibu wake ni dini gani vile,kama wanatoka dini moja ina maana wale wa dini nyingine hizo nafasi haziwafai?hivi spika na naibu wake nilazima wote watoke tanganyika?kwanini mmoja wapo asitoke zanzibar maana hili ni bunge la muungano.maswali ni mengi ngoja niishie hapo kwanza
  17. zinyalulu

    CUF kupinga ushindi wa Habib Mnyaa Mahakamani

    umeisha sema vikivurugwa,maana mahakamani sio mahali pakuvurugia vyama au mtu.
  18. zinyalulu

    Wabunge wa CCM kukiona

    hiyo ni dalili ya kutokukubalika kwa maneno na matendo yake kuanzia ndani ya chama cha mapinduzi na serikali yake hadi kwa wananchi wa kawaida.je ni kweli ataweza kufuta upinzani kablaya 2020 kama ambavyo amewahi nukuliwa?kumbuka upinzani ni fikra si bendera wala majengo.
Back
Top Bottom