Search results

  1. Chipsi yaipembeni

    CUF wakanusha taarifa za kifo cha Maalim Seif

    Chama cha Wananchi CUF kimekanusha taarifa za kifo cha Maalim Seif ambazo zilianza kusambaa tangu jana jioni kwamba kiongozi huo amefariki dunia Jussa Ismail Jussa, amesema taarifa hizo sio za kweli. Pia amezungumzia hali ya kisiasa mjini Zanzibar kwamba kwa sasa hali si shwari.
  2. Chipsi yaipembeni

    Siku ya UHURU wa Tanzania bara (9/12): Yaliyojiri maeneo mbalimbali kuhusu kufanya usafi

    Na Godrich Izack,Arusha. Leo tarehe 9/12/2015 nimeiona Tanzania kwa namna tofauti sana na nimepata wasiwasi mkubwa sana. Ni baadhi ya vitu ambavyo binafsi nilichagua kupambana navyo katika maisha yangu binafsi na jamii yangu kwa ujumla.USAFI!.Usafi akili,mwili na roho.Namaanisha usafi kuanzia...
  3. Chipsi yaipembeni

    Polisi yatangaza kiama watakaoongeza bei za nauli Krismasi na Mwaka Mpya

    Nimekuwa mfuatiliaji wa mada zinazochapishwa na hii tovuti ya FikraPevu.com, leo wameweka habari inayohusu Jeshi la Polisi kutahadharisha Ongezeko la bei za nauli Krismasi na Mwaka Mpya.
  4. Chipsi yaipembeni

    Serikali imetoa mikopo kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu waliotuma maombi 2015

    Serikali imefanikiwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa vyuo vikuu waliotuma maombi mwaka huu ikiwa ni utekelezaji wa sehemu ya maelekezo ya Mh rais John Pombe Magufuli ya kuondoa kero na malalamiko ya muda mrefu ya wananchi katika sekta ya elimu. Akizungumza na viongozi na wanafunzi wa chuo...
  5. Chipsi yaipembeni

    Uchunguzi wabaini Uwepo wa Maandalizi makubwa ya Tohara kwa Wanafunzi Msimu huu

    UCHUNGUZI umebaini kuwa kipindi hiki cha mwisho wa mwaka kumekuwepo na maandalizi makubwa ya msimu wa tohara kwa watoto wa kiume unaofanyika sanjari na ukeketaji kwa watoto wa kike katika maeneo mablimbali nchini, ambapo umeanza kuathiri mahudhurio ya wanafunzi shuleni. Taarifa zaidi zinaeleza...
  6. Chipsi yaipembeni

    Madhara ya kuchelewesha sana Baraza la Mawaziri

    Nchi imemaliza mwezi bila kuwa na baraza dogo lakini mambo yanaenda.... hakuna haja ya kuwa na baraza coz wanakula hela za walipa kodi bila huruma
  7. Chipsi yaipembeni

    Njia gani nafuu kutuma mzigo kwenda Mwanza, Arusha?

    Tafuta mtu akupelekee au dereva/kondakta wa basi la mizigo/abiria
  8. Chipsi yaipembeni

    China kuongeza Uwekezaji Barani Afrika, Tanzania imejipangaje?

    Kwa upande wangu, ili uwekezaji ulete tija kwa nchi zetu za kiafrika Tanzania ikiwemo, kunahitajika kuwepo na viongozi ambao ni wazalendo bila hivyo Taifa letu litabaki kuwa lile lile kutokana na wengi wa viongozi kujali maslahi binafsi. Nimeshuhudia katika midahalo mbalimbali iliyokuwa...
  9. Chipsi yaipembeni

    AG awasilisha waraka Mahakamani wa kutaka kushikiliwa kwa Mfanyabiashara wa dawa za kulevya

    Taarifa zinasema Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amewasilisha waraka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam akitaka kushikiliwa na kuzuiwa kwa mali zote za mtuhumiwa wa madawa ya kulevya, aliyejulikana kwa jina la Muharami Abdallah, maarufu kwa jina la Chonji na mkewe...
  10. Chipsi yaipembeni

    Mkuu wa Wilaya awasweka rumande Maofisa Ardhi na Mipango Miji Kinondoni

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Paul Makonda jana alikuwa amewataka Maofisa Aridhi na Mipango Miji kufika eneo la Nakasangwe Kata ya Wazo leo asubuhi kutoa ufafanuzi wa mgogoro wa ardhi lakini wao wakafika saa 5. Sasa kaweka mahabusu katika Kituo cha Polisi Wazo Polisi na...
  11. Chipsi yaipembeni

    Raia wa China waliokamatwa na Pembe za Faru waburuzwa Mahakamani Mbeya

    Wale Rais wa China wanne waliokuwa wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya wamefikishwa Mahakamani wakikabiliwa na mashtaka matatu. Pembe hizo 11 zinazodhaniwa kuwa ni za Faru zinakadiriwa kuwa na thamani ya takribani milioni 900. Aiyenipa taarifa hizi hajaweza kuelewa kwa haraka kuwa...
  12. Chipsi yaipembeni

    Wapata wakati mgumu kutetea Sera za vyama vyao kuhusu Sekta za Afya na Elimu

    Walipata wakati mgumu kutetea ilani za vyama vyao lakini lakini wamefanikiwa kuchukua nchi.
  13. Chipsi yaipembeni

    JamiiForums na FikraPevu, walaani nguvu inayotumika kuzuia uhuru wa maoni

    KAMPUNI ya Jamii Media, ambao ni wamiliki wa mitandao maarufu ya mijadala kwa jamii kupitia mitandao ya jamii,JamiiForums na FikraPevu nchini Tanzania, imelaani kitendo cha baadhi ya kundi/watu walioishambulia miundombinu ya kampuni hiyo na kuzuia kupatikana kwa huduma zake kwa siku kadhaa. Kwa...
  14. Chipsi yaipembeni

    Wananchi waandaliwe Kisaikolojia kuyapokea Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015

    SERIKALI na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), wana jukumu kubwa la kuwaandaa wananchi kisaikolojia ili wawe tayari kuyapokea matokeo ya uchaguzi mkuu wasiyoyatarajia. Huu ni wakati wa vyombo vya dola pamoja na vyama vya siasa kuheshimu maamuzi ya wananchi baada ya matokeo ya uchaguzi Mkuu...
  15. Chipsi yaipembeni

    Barabaraba ya Bagamoyo Dar na magari yaliyobeba Askari

    Wakuu, Asubuhi majira ya saa mbili nilienda hadi Posta Mpya kufanya shughuli zangu za kila siku, lakini nilipokuwa njiani kuelekea huko nilikutana na magari ya kawaida ya Polisi yakiwa yamejaza Askari, kuna wanaotoka Mjini kuelekea Morocco na kuna mengine yanaelekea Posta. Nimepata dharura...
Back
Top Bottom