Search results

  1. Mungi

    Political Temperature ahead of General Election is high as for now

    Guys, The Political fever in Kenya is high. Kenyans are waiting and hear where; 1. Uhuru addresses the nation from state house, 2. The opposition leader for NASA Raila addresses at Uhuru Park 3. Chairman of the electoral commission will address the press live from bomas 4. Judge Chacha...
  2. Mungi

    Baraza la Madiwani Siha labaini Wizi na Ufisadi wa Tsh 250 wa Watumishi wa serikali ya CCM

    -Waiagiza Takukuru kuchunguza -Takukuru yacharuka ya ahidi kuwakamata watumishi waliohujumu Halmashauri Katika Kikao cha Baraza la Madiwani lililoketi kwa siku mbili Madiwani wa Chadema halmashauri ya wilaya ya Siha wameibua ufisadi wa zaidi Milioni 250. Hivi ninavyowasilisha habari hizi...
  3. Mungi

    Operesheni UKUTA: Lema amjibu Waziri Mwigulu. Asema yupo tayari kufa akipigania haki...

    Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini amemjibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba kuwa Arusha tumejiandaa vyema kwa ajili ya Operesheni UKUTA, na kwamba Mwigulu siyo wa kwanza duniani kutoa lugha za vitisho duniani. Lema amesema kuwa tumejiandaa kufa...
  4. Mungi

    Godbless Lema: Gambo karibu Arusha, tutakudhibiti kama uarabuni wanavyodhibiti Mashoga

    Akili kumkichwa! Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini amemkaribisha Mkuu mpya wa Mkoa Arusha katika kuitumikia nafasi yake mpya. Mh Lema amefurahishwa na kitendo cha Rais Magufuli kucheza mchezo wake alioupanga na kuucheza vizuri hadi kumteua mtu dhaifu kabisa kuwa RC wa Mkoa wa Arusha. Mh Lema...
  5. Mungi

    Meya Jiji la Arusha ni Kalist Lazaro, Naibu Viola Likindikoki

    Hatimaye kitendawili kimeteguliwa, Mh Kalist Lazaro amechaguliwa kuwa Meya Jiji la Arusa na naibu wake akiwa Viola Lazaro Limindikoki. Wote wana uzoefu na mambo ya utawala, naamini wataijenga Arusha yetu, tuwape ushirikiano wafanye kazi kama punda kujenga heshima Arusha kiuchumi, kijamii na...
  6. Mungi

    Ujumbe wangu kwa madiwani kuhusu Uchaguzi wa Meya Jiji la Arusha

    Wakuu, Leo chadema jimbo la Arusha mjini wanakwenda kufanya uchaguzi wa Meya na Naibu wake watakaokwenda kupeperusha bendera ya CHADEMA na Halmashauri ya jiji letu kwa miaka mitano ijayo. Kwa kujikumbusha tu ni kwamba yeyote atakayepitishwa na CHADEMA ndiye mshindi kwakuwa madiwani karibu wote...
  7. Mungi

    Kwa hesabu hizi, Ushindi wa Lema Arusha ni 79%+. Uchaguzi ni Mchezo wa hesabu

    Wakati wa zoezi la uandikishaji wa wapiga kura, Lema alifanya kazi kubwa kuhamasisha wananchi wote wenye sifa ya kupiga kura wanajiandikisha. Tume ilipoleta BVR chache Arusha mjini Mh Lema kama mdau wa siasa za Arusha alifanya kila liwezekanalo BVR zinaongezwa Arusha ili kukidhi matarajio ya...
  8. Mungi

    Operation toroka Uje: Lema akabidhiwa chopa kushambulia Kigoma

    Peopleeeeeeesssss! Kama ndiyo kazi inaanza vile huku tukihesabu zimebaki siku 16 kufunga kampeni, wakati Maccm yakiishiwa pumzi CHADEMA wakishirikiana na vyama wenza wa UKAWA wanazidi kupata kasi ya ajabu kufanya mikutano mingi na za nguvu kuwaeleza Watanzania nia yao na dhamira yao ya...
  9. Mungi

    Matokeo ya Utafiti wa kisomi vs Utafiti wa wapiga kura....

    Twaweza walikuja na utafiti wao waliouita wa kisomi japo ukweli waliuweka kapuni, sasa tuulinganishe na utafiti wa wapiga kura halisi tuone ukweli uko wapi. TWAWEZA: CCM 65: CHADEMA: 26 - Utafiti huu ni dhahiri umefanyikia lumumba, japo uliwaumbua lakini ndiyo hivyo wamepotosha.
  10. Mungi

    CCM waanza kupepesuka Arusha, wakusanya vijana wao kuandamana Arusha kuipinga CHADEMA

    Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHAMA CHA MAPINDUZI kimeanza mbinu ovu za kisiasa hapa mjini ili kujipatia umaarufu ambao umekwisha toweka. Ni kwamba hivi sasa Mgombea ubunge wa ccm Arusha mjini Monaban amewakusanya vijana wa CCM ili ionekane ni vijana wa CHADEMA, wamepangwa kuandamana...
  11. Mungi

    Kweli uwongo hujitenga na uwongo! Mungu huwaumbua wanafiki, hapa anakula mihogo?

    Slaa akila mihogo na wala mihogo wenzake
  12. Mungi

    Godbless Lema na Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha wakamatwa na Polisi kwa kuandamana bila Kibali

    Wakuu, Kama ilivyodaiwa kuwa jeshi la polisi ni kitengo ndani ya chama cha mapinduzi hasa katika kipindi hiki ambacho ccm wanasaka mbinu ya kufunga goli la mkono, baada ya kukosa mbinu zote za ushawishi mkoani Arusha, wameamua kujitangaza kwa mbinu zilizozoeleka za kuwakamata viongozi wa...
  13. Mungi

    RATIBA ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA na mgombea mwenza

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) RATIBA YA MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 2015 tarehe mkoa wilaya muda maelezo 29/8/2015 dar es salaam wilaya zote saa 1.00 asubuhi hadi 12.00 jioni uzinduzi wa kampeni kitaifa iringa 30/08/2015 mufindi saa 3.00...
  14. Mungi

    Dr. Slaa alituokoa katika nchi ya utumwani, Lowassa anatupeleka katika nchi ya Ahadi

    Wakuu, Hii ni combination nzuri iliyojaa manukato, iliyojaa matamanio na matarajio ya watanzania milioni 45. Harakati za kuikomboa Tanzania ilianza miaka mingi nyuma, kuanzia Mrema wa NCCR Mageuzi enzi hizo, CUF mwaka 2000 na sasa CHADEMA kuanzia mwanzo kabisa wakiwa washirika wa CUF baada ya...
  15. Mungi

    Josephine Mushumbusi: Mwanamke aliyeota kuwa na asiye na hadhi ya kuwa First Lady

    Wakuu, Ninajua kuna wengine nitawakwaza kutokana na andishi hili, hasa makamanda wenzangu wa chadema kuhusu maoni yangu dhidi ya Josephine Mushumbusi. Kama mnavyojua ni kwamba CC ya chadema ilikuwa na vikao vizito hivi karibuni kwa ajili ya uchaguzi mkuu. Moja ya agenda ilikuwa kumpata mgombea...
  16. Mungi

    Aliyekuwa mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli apigilia msumari kwenye jeneza la CCM

    Wakati ikiwa hivyo kwa Bulaya, hali bado si shwari ndani ya CCM Wilaya ya Monduli baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli, Edward Sapunyo, Kupigilia msumari wa mwisho na kubariki hatua ya madiwani wake 20 kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo...
  17. Mungi

    Kwa unyama huu unaofanyika Loliondo, itashangaza kama wananchi wanaweza kuiamini tena CCM

    Kaka yangu Manyerere Jackton, you have the case to answer, ukiwa kama mwandishi maalum wa kampuni ya OBC kwa kushiriki kuwadhalilisha wananchi wa Loliondo, kwamba wanyama na wageni ndiyo wenye haki ya kuishi vizuri loliondo, na kwamba wenyeji ni wakimbizi kwenye ardhi yao. Hii hapa chini ni...
  18. Mungi

    Kamati ya Ulinzi Arusha mjini yakutana kuikabili CHADEMA

    Wakuu, Wakati CHADEMA ikijipanga kukabiliana na uhuni wa tume ya uchaguzi, ambapo CHADEMA kupitia mbunge wa jimbo la Arusha mjini ilitoa tamko leo asubuhi kuwa kama tume haitaongeza mashine za bvr Arusha, CHADEMA watahamasisha wananchi kuingia barabarani kupinga uhuni huu unaofanywa makusudi na...
  19. Mungi

    Hongera Mbunge Nassari, Umefanya kazi iliyoshindwa na CCM kwa miaka zaidi ya 53

    Siasa ni ubunifu, siasa ni uzalendo, siasa ni kujitolea kwa moyo. Kwa miaka zaidi ya 50 ccm hawakuwahi kufikiri kwamba Wilaya ya Arumeru inahitaji magari ya wagonjwa yaani Ambulance, wilaya ya Arumeru hawakuwahi kufikiri kuwa Arumeru inahitaji maji, hawakuwahi kufikiri watu wa Arumeru...
  20. Mungi

    Kesi ya Uchaguzi Longido - Nguvu ya Umma kutinga mahakamani kupinga dhuluma za ccm

    CHADEMA - VEMA!!! CHADEMA - MABADILIKO YA KWELI UHURU WA KWELI!!! Uongozi wa CHADEMA Mkoa wa Arusha unawaomba wakazi wa Jiji la Arusha na Viyunga vyake kesho kufurika katika Mahakama ya Wilaya ya Longido ili kuzuia wadhalimu wasitekeleza uporaji wa haki ya Wananchi wa Kijiji cha Longido...
Back
Top Bottom