na hivi ndivyo litakavyochukuliwa, kama mbereko ya kukamata mioyo iliyozizima juu ya sakata hili la Lulu. Alichofanya ni kuweka yale yaliyo nyuma ya pazia (kama yapo) wazi. Ndio maana vitabu vya dini viko wazi, kwa wakristo kuna kifungu kinatoka Yeremia 17:9 "Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu...
Nadhani hili bandiko la Paskali hujalisoma katikati ya mistari, ungefanya hivyo ungelielewa vizuri sana. I like his style of writing and critical analysis that is so concealed, needs a third eye to understand.
nice observation, rais wetu anatarajia makubwa kutoka kwa wale aliowateua, awape nafasi ya kufanya kazi, vivyo hivyo atambue vidole kuwa havilingani. Hivi kama maua yangekuwa yote mekundu, wapenda maua ya pinki au ya njano wangeishije, vivyo hivyo tofauti zetu katika hali zote ndizo...
Tunapoelekea kwenye matengenezo ya Tanzania mpya, wale tuliowapa dhamana ya kutuongoza wawe tayari kukoselewa na hata kutukanwa. Uongozi ni changamoto, ndio maana wahenga walisema "ukubwa jalaa". Kiongozi hana budi kujiweka mbali na visasi au malipizi ya kukomoa. Uongozi, unapokuwa unachagizwa...
Napendezwa na uandishi wako wa kimafumbofumbo. Rejea ulichoandika zaidi ya lisaa lililopita katika thread ulioanzisha januari "Je Aachwe aseme tuu "By taking Bitter with Sweet" au atumie busara".
Kuna mfalme mmoja vitabu vya dini (km niko sahihi ukristo) kwa jina la Sulemani, kumbukumbu katika...
TUMAINI LANGU NI KUONA HII VIDEO IMEFIKA MASIKIONI MWA WOTE WANAONA WAKO SAHIHI KATIKA YOTE WANAYOFANYA, HAWASTAILI KUKOSOLEWA WALA KUULIZWA. HALI HII YA KUJIONA HUKO SAHIHI INATENGENEZA KIZAZI CHA WAPINGAJI & WATAKAO MABADILIKO PASIPO KUANGALIA NI MABADILIKO GANI. TAFADHALI VIONGOZI TULIOWAPA...
Hongera kwa kujenga hoja, pamoja na kuwa hakuna mashiko, kwa kuwa umeshindwa kuonyesha shida yako ni nini? Inaonekana ulikuwa na haraka mno ya kuandika kabla ya kujiweka sawa namna ya kutiririsha hoja zako. Katika uandishi wako huu wa ukanjanja, umekufanya kuleta hoja ambayo hujafanyia uchunguzi...
Katika hili la UKUTA serikali haina budi kukaa chini na chama kikuu cha upinzani, ili kuangalia namna wanaweza kutatua tofauti zao. Rais ni baba yetu wote, kwa hiyo hana budi kurudisha moyo pasipo kuangalia yale aliyoyasema ili kuendelea kudumisha mazingira ya amani na upendo, kisasi siku zote...
Hakika hii ni aibu iliyopitiliza kwa serikali, kukubali kuchezeshwa mziki ambao mpigaji wake ni UKAWA. Hii ndio hasara ya kukamata madaraka makubwa ukiwa bado ujafanya maandalizi ya kusimamia na kudhibiti vyema nguvu ya madaraka yako. Maandalizi hafifu siku zote yanazalisha mtazamo hafifu ambao...
Jamani hivi kwa nini tusimlinganishe Messi na wakina Zidane, Pele, Maradona ili kumtendea haki kwa kweli. Kumlinganisha na Ronaldo ni kumchafulia uwezo wake, Ronaldo apambanishwe na akina Suarez, Bale, Beckhamp, n.k...
Mkuu tambua Brazil & Argentina are rival enemies, so kwa Ronaldinho kusema aliyosema kuhusu kumlinganisha Pele na Messi sio ajabu. Isipokuwa kwa Scholes na wachezaji wengine ambao sio wa Argentina wala Brazil waliocheza nao kushare opinions zao juu ya Messi na Ronaldo zina uzito.
Mbona ndo nilichoandika hapo, huo mwendelezo mwingine ni kunogesha baraza, kipande cha maafisa habari ndicho sahaulika. Ili game haliitaji hasira mkuuu, just read btn lines to understd [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] peace & one love [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Utatokwa na mapovu Bure Messi ni bora si kwa Mashabiki wake pekee Bali ni kwa Beki wa Time za mataifa yote yaliyo wanachama wa FIFA na Makocha wote nchi hizi. Yaani ndio maana tunasema Ronaldo ni bora kwa mashabiki wake, kwa kuwa hata kura zingepigwa Leo duniani, ni kuwa Ronaldo tupia kuleeee...
Akibeba na hiki cha sita, forget and smile, Rinaldo atabaki kuwa bora kwa mashabiki wake tuu. Coz ubora wa mchezaji haupimwi kwenye msururu wa rekodi zake tuu, ingekuwa hivyo beki wa Italy Cannavaro asingekuwa mchezaji bora wa FIFA 2006.
Wenye mahaba na Ronaldo anayekimbizana na kivuli cha The King of nerve racking football Lionel Messi (asiye kuwa na misifa, mbinafsi, asiye itaji kujitengenezea midocumentary ya flash life na kujitangaza bora), ni kuwa kamwe atafikia rekodi ya uchezaji bora wa dunia wa huyu dwarf.
Kulipa Kodi sio kigezo cha kuvunja taratibu za mipango miji zilizokubalika. Nakushauri usitumie masaburi unapojibu hoja, tafakari kwanza juu ya jibu unalotaka kutoa. Nje ya hapo utambulia dharau, na kutukanwa. Acha mambo ya uchama, mburura mkubwa
Msaada wa Ndugu, katika hatua tuliyofikia
NAENDELEA KUSOMA:Ibara ya 42 ya Katiba ya JMT, 1977 kama ilivyofanyika marekebisho mara kwa mara inasema Rais akishatangazwa ataassume office mara moja au ndani ya kipindi kisichozidi siku 7.Ibara ya 51 (2) inasema Waziri mkuu akishateuliwa lazima awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.