Search results

  1. K

    Kama hutaki watuhumiwa watetewe, wapeleke gerezani moja kwa moja!

    Watu waliotangulia na kuweka mifumo ya haki, Sheria na Utawala bora walikuwa na akili nyingi na busara kubwa sana. Na hili halikufanyika kwa siku moja bali ni mchakato(process) iliyojengwa na kutimia kwa karne nyingi sana. Zamani ulikuwa unakuta kwenye jamii kuna Mfalme(King) ambaye anatunga...
  2. K

    Secretariat ya ajira, wekeni 'Marking scheme' yenu wazi

    Wadau, Kumeibuka biashara na wizi usiovumilika kati ya Secretariat ya ajira ya Utumishi wa umma na wadau wanaoomba kazi serikalini. Unakuta mtu kaitwa kwenye usaili wa mchujo, lakini cha ajabu wanazuia kabisa kuwa ni haramu na hairuhusiwi kwa mtahiniwa yeyote kutoka nje na karatasi ya...
  3. K

    Wabunge wa UKAWA kuweni makini katika kujadili mahakama ya kadhi

    Kwa vyovyote vile ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa ccm sasa wanatapatapa na ahadi yao ya kuwaletea waislamu mahakama ya Kadhi huku Tanganyika! Ili kuwatumia waislamu na kupata kura zao kwa wingi katika uchaguzi uliopita ccm walitoa ahadi hii huku wakijua hawakujiandaa kuitekeleza na hata...
  4. K

    Tarime wamuomba Heche kugombea ubunge

    Katika hali inayoonyesha kuzidi kung'aa kwa nyota ya John Heche Kisiasa, kwa mara nyingine tena wakazi wa jimbo la uchaguzi la Tarime mkoani Mara wamemuomba kijana wao huyo agombee Ubunge jimboni humo kwasababu ni kijana wanayemuamini sana katika kupambana na udhalimu katika kipindi hiki cha...
  5. K

    Heche aliyekuwa BAVICHA bado ni moto wa kuotea mbali

    Habari zenu ndugu wana JF wote. Leo tena namleta kwenu Kamanda mpiganaji; si mwingine bali ni John Heche yule aliyekuwa mwenyekiti wa BAVICHA akiwa katika ziara ya kuwashukuru wananchi na wapenda mabadiliko wote katika mkoa wa Mara kwa mwamko chanya wa kuchagua mabadiliko katika uchaguzi wa...
Back
Top Bottom