Search results

  1. namwakalima

    Salaam za Sikukuu

    Chama Cha Mapinduzi "CCM" kinawatakia wananchi wote bila ya kujali itikadi zao wala dini zao Kheri na fanaka katika msimu huu sikukuu za Christmas na Mwaka mpya 2017. Umoja ni Ushindi.
  2. namwakalima

    EWURA imetangaza bei mpya ya Mafuta kwa June, 2015

    Wakuu habari za mchana huu, Kama ilivyo kawaida ya serikali kupitia mamlaka ya nishati na maji "EWURA" wana utaratibu wa kutoa bei elekezi mpya za nishati ya mafuta kila ifikapo Jumatano ya kwanza ya mwezi husika. Sasa kwa mwezi huu Jumatano ya kwanza ni kesho tar 3-6-215. Mwenye taarifa ya...
  3. namwakalima

    Operesheni Okoa/tafuta Bategereza

    Wakuu habarini za wakati huu, Nimeona ni vema na haki kulileta hili jambo kwenu, personally it has been long time tangu nimuone huyu jamaa humu jukwaani kwa mara ya mwisho. Bategereza alikuwa au ni maarufu sana kwa uandishi wake na hasa akitumia lugha ya queen Eliza, huwa ni full vituko aina...
Back
Top Bottom