Search results

  1. kijoti

    Dr Slaa jaribu UKWELI na UUNGWANA utakusaidia

    DENYO YOU ARE VERY RIGHT, PEOPLE LIKE KAMARADE HAWATUFAI. KAMARADE JARIBU KUJIFAFANUA ZAIDI WATU WAKUELEWE.ULICHOKIANZISHA MBONA UNASHINDWA HATA KUKIFAFANUA KWA MAPANA YAKE ?????:teeth::teeth:
  2. kijoti

    CHADEMA wakiri Lema hakupigwa ila..

    uwongo uongo bila kuwa na facts wana JF watu hawa hattuwataki :teeth::embarrassed:
  3. kijoti

    Tibaijuka ‘ang’ata’ usiku

    viongozi wetu bwana wanaanza vizuri sana lakini utashangaa baada ya mwaka si yule tena, sijui wanakuwa wamelishwa nini jamani inakera sana. sasa huyu mama tumwangalieni kwa karibu sana. kama hicho kiwanja ni huyo riz moja...basi na shughuli kubwa sana keep it though mama TIba!!!
  4. kijoti

    Elections 2010 CONFIRMED: Lema atangazwa rasmi kuwa mbunge wa Arusha mjini

    ha haahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. njama zao zimeshindwa CHADEMA oyeeeeeeeeeeeeeeeee, People's Power:smile-big::smile-big: honger akaka LEMA katuwakilishe vyema baba tunakuamini huko mjengoni kakakamue
  5. kijoti

    Elections 2010 Watanzania tuungane kuing'oa ccm,tutaandamana pande zote mpaka kieleweke

    wewe kishongo unachooogopa ni kitu gani, kwani kumwagika damu ina maana gani kwako???? acha woga.tunataka mabadiliko sasa.SHame iwe kwako wewe. nyinyi ndio mlionyweshwa maji ya kijani kila kitu kwenu ni sawa na jana ya mbele hamtaki hata kuyajua. big up TUMAINIELI tumechoshwa kuibiwa kila...
  6. kijoti

    Elections 2010 Tandika kwazizima kwa vurugu!!!

    tudai haki lakini si kwa vita. style hiyo haijawahi kusaidia popote duniani, kama ilitokea ni kwa kiasi kidogo sana:yield:
  7. kijoti

    MIss Botswana awa wa pili Miss World.

    jamani tumezidi kuwa ni watu wa longolongo tu hakuna vitendo.siku hizi nchi hii viongozi walio serious ni wa kuhesabu.masuala ya urembo ni muhimu sana na wala si ya kihuni. yangepewa kipaumbele sana ili tuuze nchi yetu huko ulaya. sasa tunashindwa hata mbio... aibuuuuuuu tanzania:A S angry::A S...
  8. kijoti

    Elections 2010 Jamani vipi arushaaaa

    hembu wanajamii niambie nini kinaendelea huko Arusha??? nasikia Buriani naye kagoma kusaini tabu la matokeoooo?? TUPASHANE
  9. kijoti

    "toxic AIDS drug on way out" -- daily news - 01 10 2010

    should we always go for inexpensive products! hata kwa masuala ambayo ni sensitive jamani. tutafika!!!:A S 13::A S 13::A S 13:
  10. kijoti

    Wanaume wa Tanzania na romance

    masuala ya kushikana sijui kubusiana au kukumbatiana hadharani si masula ya ajabu.unless uniambie huyo uliyenaye umemwiba,yaani wewe mwanaume au mwanamke ni mwizi. lakini hata ukiwa mwizi siku wala hatuogopi tena tumeshajihalalishia wenyewe. so mimi nadhani we mkumbatie tu au shikaneneni. aftre...
  11. kijoti

    Rules To Help You Cheat On Your Spouse....

    ~ hiyo yako kaliiiii, it applies kwa jinsia zote si wanaume wenyewe If you marry a man who cheats on his wife, you'll be married to a man who cheats on his wife.
  12. kijoti

    Ukimdate mtu ni laziama mka...

    yaani wewe ndio unajidai kutuingiza mjini. sisi pia tushaishi mjini vilevile. upewe lunch, dinner na kilauri juuu wapi na wapi? in maana mlikuwa mnaangaliana tu muda wooote acha kutuzugu wewe:confused2::confused2::confused2::confused2: sikuelewi kabisa!!
  13. kijoti

    Akina mama mpo? Somen hii

    haya mambo yapo kabisa I support you SMILES. sasa kama huyo bibie kashindwa ngoja wengine wampende huyo mume na wa karibu zaidi ni rafiki yake.sometimes sisi wanawake tunakosea wenyewe. tunadhani tunayo tiketi ya milele kwa waume zetu tukishaolewa, hell NOOO!! UNTIL DEATH DO US APART...
  14. kijoti

    Raha ya Ubazazi/Cheating!... (?)

    my ndu hii imekaa vibaya ni ngumu kusema but normally watu wanajitahidi kusamehe ingawa ngumu sana
Back
Top Bottom