Search results

  1. ng'ombo

    Mafuta ya kupikia bei juu

    Bei ya mafuta ya kupikia iko juu na inazidi kupanda Dumu la lita 20 kwasasa ni tshs 70,000. Vipi uko kwenu bei iko vipi?
  2. ng'ombo

    Ethiopian Airlines

    Ethiopian Airlines imetangaza faida ya $ 44 million kwa nusu ya mwaka.
  3. ng'ombo

    Mkazi wa Isamilo Mwanza atuhumiwa kuwabaka na kuwalawiti watoto watano

    Isamilo ni mitaa ya kisure Mwanza. Poleni wazazi ambao watoto wao wamefanyiwa unyama huo.
  4. ng'ombo

    Matengenezo ya barabara kwenye makutano ya Ubungo: Ajali nyingi zitatokea pasipowekwa sheria za kueleweka au Trafki kusimama pale muda wote

    Hii round about maarufu sana iko Paris inaitwa Arc de Triomphe hakuna traffic na haijawahi kutokea ajali Sent using Jamii Forums mobile app
  5. ng'ombo

    Flyover bila hesabu ni hatari, hapo ni TAZARA leo hii

    Kwa muda mrefu eneo ili maji yanajaa kipindi cha mvua kabla AZAM hawajanunua kinu cha NMC kulikwa na njia ya kutoa maji sasa AZAM walichofanya baada ya kununua wamejenga ukuta ndo chanzo cha maji kujaa eneo ilo lote maji yanakuwa hayana sehemu ya kutoka Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ng'ombo

    Maandamano ya kumpongeza, kumkongole, kumsifu, kumpigia makofi/vigelegele Mh Magufuli kufanyika tarehe 7 January Jijini Dodoma.

    Tukiondoa tofauti zetu za kiitikadi wakupongezwa alikuwa ni Esther Bulaya. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ng'ombo

    Telsa Model 3

    Mo Dewji anatarajia kununua gari mpya aina ya Telsa model 3, ambalo linasifika kuwa ni la kiusalama zaidi kuliko mengine yote duniani, linauzwa dola 46,000 (TAS 106,000 Milioni ) Inatumia gesi na umeme tu. Sifa kubwa ya gari hii ni halina muungurumo linatembea kimya kimya, lina camera za...
  8. ng'ombo

    Bernard Membe amfungulia Kesi Cyprian Musiba na Gazeti lake

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe (pichani)amefungua Shauri Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Cyprian Musiba mhariri na wachapaji wa gazeti la Tanzanite kwa kuchafuliwa na gazeti hilo. Taarifa zisizo rasmi zinadai kuwa Membe anataka kulipwa fidia ya TZS Bilion 10.
  9. ng'ombo

    Rais wa zamani wa Marekani

    Rais wa 44 wa Marekani Barack Obama leo imethibitika bado anapendwa na raia wengi wa Marekani baada kufanya ziara kushtukiza na kupokewa kwa shangwe na furaha katika hospital moja katika jiji la Washington DC alipokwenda kutoa zawadi za Christmas na kuwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika...
  10. ng'ombo

    Gazeti la Tanzania Daima limepigwa pini?

    Asante kwa taarifa hii ni sheria kandamizi ya vyombo vya habari lakini wafahamu CCM haitatawala milele
  11. ng'ombo

    Eti Shirika letu la ndege ATCL linahujumiwa

    Hii sio habari nzuri, ndo maana wanakimbilia kulalamika wanahujumiwa. Biashara ni ushindani.
  12. ng'ombo

    Msafara wa Waziri Mkuu wa Uingereza

    Huu ndo msafara wa Waziri Mkuu wa Uingereza. Nchi ya tano kwa uchumi mkubwa duniani, bila shaka kuna jambo la kujifunza kwa viongozi wetu wa nchi changa za kiafrika especially sisi Tanzania.
  13. ng'ombo

    Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Baada ya kufeli katika korosho wameanza kutafutana uchawi
  14. ng'ombo

    Hili lililowatokea Wakenya na Ndege yao wala hatulijadili na tunajifanya hatujalisikia ila kuna Fundisho kubwa sana Kwetu

    Mkuu hakuna biashara ngumu kama biashara ya ndege wewe ukiona biashara mhindi haifanyi ujue hiyo sio biashara, biashara ndege wanaiweza wazungu tu.
  15. ng'ombo

    Wabunge washangaa sheria ya mafao, wasema kipengele cha mstaafu kulipwa 25% na 75% kwa miaka 12 kilifichwa

    Lakini sisi pia tunamakosa pamoja na makosa wanayofanya wabunge walio wengi (CCM) kutokuwa makini katika kupisha miswada mbalimbali bado tunawapingia kura kurudi bungeni matokeo yake ndio haya.
  16. ng'ombo

    Clouds Media Group watangaza kusitisha tamasha la Fiesta Dar

    Hili nalo litapita cha msingi ni Clouds kujipanga upya hii ni vita ya biashara.
  17. ng'ombo

    WAITARA ATEULIWA UNAIBU WAZIRI TAMISEMI.

    Tafakuri ya Masoud Kipanya
  18. ng'ombo

    Hatimaye Saudi Arabia yathibitisha kifo cha mwandishi wa habari Jamal Khashoggi

    Hatimaye imedhibitika ni kweli mwandishi aliyekuwa mkosoaji mkubwa wa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia Jamal Khashoggi aliyepotea kwa zaidi ya wiki mbili zilizopita aliuwawa ndani ya ubalozi mdogo wa Saudi Arabia jijini Istanbul nchini Uturuki mwili wake umepatikana ukiwa umekatwa katwa...
  19. ng'ombo

    TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

    Nnakumbuka kipindi Marehemu anafanya kazi Radio One ilikuwa ni kipindi cha chaguo la msikilizaji kama nitakuwa sijakosea ulitokea msiba nnadhani wa mama yake mzazi kwao Dodoma ndugu zake ilikuwa wakimpigia simu yake haipatikani ili wamjulishe habari za msiba, ndugu yake alimpigia simu live kama...
Back
Top Bottom