Search results

  1. R

    Msaada: Frame ya biashara ya nguo Arusha

    kuna moja nzuri hapa florida bei ni laki mbili kuna ndugu yangu anaiachia december kama upo interested ni pm
  2. R

    VIDEO: Prof. Lipumba akiri kumsaidia Rais Kikwete katika Uchaguzi 2010

    a ccm imeshindwa kuwaridhisha waislam.. jamani nimeshindwa kuifungua
  3. R

    VIDEO: Prof. Lipumba akiri kumsaidia Rais Kikwete katika Uchaguzi 2010

    wakuu mbona video yenyewe haipo. najaribu kufungua naona blank page
  4. R

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    hawa magaidi hawajabahatika kuwa na misingi mizuri ya elimu hivo siku zote silaha yao ni kujitoa mhanga
  5. R

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    dunia nzima inatambua kua uislam unahusishwa na ugaidi kutokana na itikadi yao ya kuamini ukiua kafiri unapewa thawabu. mimi niwaombe hawa ndugu zetu wajiepushe na dhana hiyo kwa hapa tanzania maana tukiamua kuwakatia line hawataenda shule wala kutibiwa mahali pazur
  6. R

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    nimetoka mt meru mochwari wakati naingia gari land cruser la hospital ya st elizabeth kwa father babu likaleta mwili wa marehemu aliyeyekufa baada ya mlipuko huo wa olasti. sasa hizi taarifa kwamba ni watu wamejeruhiwa tu si za ukweli. nimeshuhudia ni mama mtu mzima wa kimasai. hali ni tete...
  7. R

    Kauli mbiu ya CHADEMA nguvu ya Umma na wabunge 23

    wabunge wa cdm walikua zaidi ya mia wale waliolinda kura ndio waliotangazwa. Muelewesheni huyo nungunungu.
  8. R

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    jamani huyu si yule dotto tahira ndugu yake kibonde au nimemchanganya?
  9. R

    Mjengwa atishia kujidhuru sababu ya JF

    mjengwa anasubuliwa na elimu ndogo hata akijiua ni mke wake tu atasikitika lakini ni faraja kwa wana mageuzi
  10. R

    Elections 2010 Mrembo na Kampeni kwa JK...!!

    sisi mtaani ukitaja kikwete unweza temewa mate
  11. R

    Elections 2010 Wizi wa Kura unafanyika hivi...

    Mzee big up una data za kutosha. mimi biharamulo ni maskani na huyo mbunge unayemsema ni Oscar mukasa, yeye ni mganda kwa uraia lakini ndiye anayebebwa na ccm kwa sababu ni shemeji yake Makamba. Inauma lakini ni kweli, wananchi wameapa akipita asikanyage jimboni labada aje na walinzi.
  12. R

    Elections 2010 Wana CCM wakongwe kuahidi mabadiliko

    Mimi na familia yangu ni wanachama hai wa CCM,tumekiri na kuamini ilani ya chama, lakini kwa haya niyaonayo Ndg kikwete si chaguo letu na kura zote Dr slaa atapewa. Chama kilifanya maamuzi mabovu kumsimamisha huyu mtu dhaifu. Makamba mpiga debe anakipeleka wapi chama chetu, na fisadi kinana...
  13. R

    Elections 2010 Gazeti la RAI linatia kichefuchefu

    Hatudanganyiki, hawa mafisadi tupo nao na huu ni mwaka wao wa mwisho
Back
Top Bottom