Wana CCM wakongwe kuahidi mabadiliko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana CCM wakongwe kuahidi mabadiliko

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by ratzinger, Sep 9, 2010.

 1. r

  ratzinger Member

  #1
  Sep 9, 2010
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mimi na familia yangu ni wanachama hai wa CCM,tumekiri na kuamini ilani ya chama, lakini kwa haya niyaonayo Ndg kikwete si chaguo letu na kura zote Dr slaa atapewa. Chama kilifanya maamuzi mabovu kumsimamisha huyu mtu dhaifu. Makamba mpiga debe anakipeleka wapi chama chetu, na fisadi kinana ambeye meli yake imehusika kuiba nyara za serikali (pembe za ndovu) ndiye kinara wa kampeini ili afanye nini baadae?
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  akuna badiliko lolote kutoka ccm. kazi kutishia watu kuwa amani , amani , itatoweka. alipokufa mwalimu tuliambiwa hivyo lakini wala amani ilibaki palepale. jamani hebu tumjaribu huyu slaa ni silaha ya watanzania atatetea amana za vizazi vyetu. Jamani nafasi ni hii tuitumie kuleta mabadiliko ya kweli. CCM sasa uongo umefika mwisho

  The only time you run out of chances is when you stop taking them.
   
Loading...