Search results

  1. mwengeso

    FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

    Kufungika HAPANA ila suluhu ya 0-0 wakipaki yawezekana
  2. mwengeso

    Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

    Je, hotuba yake ikiwasilishwa na kiongozi mwingine!!!!
  3. mwengeso

    Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

    Tuamini ni kweli, je, kumtendea huyo kijana hivyo kulikuwa na matarajio gani? Kwamba ni kitendo ambacho hakikufanyika hadharani, labda kwa nia ya kumdharilisha. Lakini kama ilikuwa kutaka kujua ukweli kuhusu kutuhumiwa kufanya uchawi, kwa kitendo hicho, mh! Isitoshe mwajiri wake wa awali amedai...
  4. mwengeso

    Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

    Kwa kuwa sheria imechukua mkondo wake, tufanye subira kujua ukweli. Kinachojulikana kwa sasa ni madai tu ya huyo kijana ya kufanyiwa ukatili huo. Kwangu mimi kuna harufu ya kisiasa kama ilivyotokea kwa Sabaya. Jimbo la Babati linagombewa kama la Hai, kwa kutumia siasa za kuchafuana, kupitia...
  5. mwengeso

    Maoni yangu ya kisomi kuhusu mabango ya Yanga

    Kuondokana na sintofahamu hii iliyoketwa na mabango, uongozi wa Simba uijenge timu isipate kipigo kama hicho tena. Ikumbukwe msemaji wao Simba, kila mara amekuwa akitumia maneno na lugha ya kuidhihaki Young katika mikutano yake na wana habari. Wakereke tu hadi akili iwarudie. MKUKI KWA NGURUWE
  6. mwengeso

    Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Je, "dini" na "uumbaji" ni dhana moja?
  7. mwengeso

    Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Je, kuna uthibitisho wa Mungu wa miujiza katika Biblia au Kuran? Baadhi ya miujiza iliyohadithiwa kwenye hivyo vitabu imethibitishwa kisayansi na mingine inabaki ni simulizi tu.
  8. mwengeso

    Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Uchambuzi wako ni sahihi kabisa. Ni kweli waumini wa dini ni watu wenye akili ndogo (small minds) ambao hujadili watu (discuss people) na biblia ni hadithi za watu kuanzia Adam na Hawa hadi maisha ya Yesu. Kuran ni maisha ya Muhammad. Viongozi wa dini hutumia ufukara wa fikra za waumini kama...
  9. mwengeso

    Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Kuna uthibitisho gani, hata katika biblia, kuwa kuna maisha baada ya kifo?
  10. mwengeso

    Eddo kumwembe: kinachowatesa Simba ni hiki hapa

    Ushabiki wa timu za mpira wa miguu una raha na karaha zake. Raha ni pale shabiki timu yake inaposhinda. Karaha ni pale shabiki anapojifanya yeye ndiye kocha. Mpira ni dk 90 ambapo matokeo yako miguuni mwa wachezaji 11. Kocha uwa amemaliza kazi yake ya kuandaa timu na kupanga kikosi cha...
  11. mwengeso

    Kwa hili jini ilikuwa halali Mayele akimbie nchi

    Usilolijua ni kama usiku wa giza. Ukubali usikubali hakuna mfungaji bora, hatari na mahiri kama Konkon wa Yanga. Kwa sasa anaandaliwa kwa mechi za kombe la vilabu Afrika. Muda utaamua atakapoanza kushiriki kikamilifu.
  12. mwengeso

    PICHA: Huenda Rais Samia akawa ndio Rais anayevuta watu wengi zaidi kwenye mikutano yake kuliko marais wote waliomtangulia

    Tujadili masuala ya Kitaifa na siyo MTU. Hivyo basi, ungetoa mema na mazuri aliyofanya tangu amrithi Mtangulizi wake ambaye katika miaka 5 yake ameacha alama inayonekana, km miradi ya kimkakati (SGR na Bwawa la Nyerere), huduma za jamii (elimu na afya), miundo mbinu (daraja la Tanzanite...
  13. mwengeso

    Makamba na Maharage hawapo, sasa tuone kama matatizo ndani ya TANESCO yatafika mwisho

    Suala la Nishati ni mtambuka likihusisha Wizara kadhaa km Kilimo Ardhi, TAMISEMI, Mazingira nk. Hivyo nafasi ya Naibu Waziri Mkuu kama Waziri wa Nishati ni kubwa sana katika kusimamia uendeshaji wa Wizara hizo zichangie katika ufanisi wa upatikanaji wa nishati
  14. mwengeso

    Makamba Tanesco Promo!,Mtwara Tumbuzi Za Ghadhabu!

    Kwa kiasi nakubalina na hoja yako hiyo, LAKINI: Tatizo la uendeshaji mashirika ya Umma na Taasisi za Serikali ni ugonjwa wa siku nyingi ambao mamlaka za uteuzi zimeupuuza, kuulea na kuubariki. Ila utawala wa sasa umezidisha kiasi cha kuamini kuwa suluhisho ni kukabidhi uendeshaji wake kwa...
  15. mwengeso

    Kampuni ya AGL Yaingia Mkataba wa Kuendesha Bandari ya Malindi Zanzibar Kwa Miaka 5. Serikali na DP World Mnatufundisha Nini?

    La msingi ni yaliyomo kwenye mkataba. Isitoshe kuna ucgambuzi unaothibitisha kuwa IGA ni feki. Msikilize mchambuzi https://youtu.be/ePOf1OFpYws?si=RZET06hDveiyRylg
  16. mwengeso

    TANESCO: Tuna upungufu, siyo mgao wa umeme. Wananchi endeleeni kuvumilia

    Tatizo ni viongozi tuliowaweka madarakani, kwa kura zetu, kuteua washikaji kuendesha mashirika nyeti. Serikali ndio inapaswa kubinafsishwa iendeshwe na DP World ili waweze kusimamia uendeshwaji wa mashirika ya Umma: TRC, TANAPA, TPA, TIRDO, na baadhi ya Wizara km TAMISEMI
  17. mwengeso

    Namungo ni dhaifu au sio dhaifu?

    Mbadala wa Mayele! Du, hujui soka. Konkon ni zaidi ya Mayele. Ubora waje utaonekana kwenye mechi ngumu zenye mabeki visiki
  18. mwengeso

    Namungo ni dhaifu au sio dhaifu?

    Wajua lakini hawajui kuwa Yanga ya sasa ina uwezo wa kucheza dhidi ya "club" yoyote duniani. Kwa za ndani zote zitaonekana dhaifu. Ushahidi ni Simba kufungwa magoli 2, ngao ya jamii, yaliyokataliwa, wakati ndio kwanza inajengwa na timu mpya ya ufundi.
Back
Top Bottom