Search results

  1. lwa kalolo

    Je, ni muujiza gani umeusikia uliotendeka kwa maombi ya Mwamposa, ambao umekufurahisha, umekushangaza au umekutia wasiwasi?

    Akuna kitu ni kuibiwa tu dini Kwa Sasa ni biashara Tena kama huyu jamaa anayeuza udongo,maji,na mafuta
  2. lwa kalolo

    Sina roho mbaya ila huu si wakati muafaka wa pensheni za Wenza wa Marais

    Nchi hii bado tuna safari ndefu sana ukiwatizama usoni unaona maigizo tu
  3. lwa kalolo

    Sina roho mbaya ila huu si wakati muafaka wa pensheni za Wenza wa Marais

    Sio roho mbaya nchi ni ya watanzania wote Kuna mambo mengine bunge linapitasha vitu hivyo hainiingii akilini kwamba wake zao wapewe pensheni Kwa kazi Gani hasa waliofanya kuwapikia waume zao au hizo fedha c waelekezee kwenye miradi ambayo watanzania wote tutanufaika nayo
  4. lwa kalolo

    Mbowe: Rais Samia haaminiki, aweke hadharani mkataba wa bandari ili tuuone

    Wewe mwashamba rucas mbowe anachesema ni kweli tupu yaani ukitumia akili Yako hata robo tu utabaini anachoimani mbowe kuhusu mikataba ya bandari
  5. lwa kalolo

    Majungu na kukwamishana Buboka Mjini vyamliza Mbunge Byabato. Apiga magoti na kutoa machozi mbele ya wanabukoba

    Wanatafunana wenyewe na majungu wanapigina wenyewe Kwa sababu huchu wa madaraka usio na nia njema ccm[emoji24][emoji24]
  6. lwa kalolo

    Ukweli na uwazi wa serikali ya Rais Samia umeleta utulivu na Amani, Kuaminika na Kuungwa Mkono na watanzania

    Wewe bila shaka utakuwa na matatizo kichwani watu tunateseka tunaumia kisha unasifu ujinga!
  7. lwa kalolo

    KWELI Inawezekana kushiriki tendo la ndoa na mtu mwenye VVU/UKIMWI bila kinga na usipate Maambukizi hayo

    Nakubari hilo kwani kuna frend family ni miaka 5 kwenye ndoa yao mmoja ana maambukizi mwingine hana na wana watoto na wanakutana kavu
  8. lwa kalolo

    Jeshi la uokoaji mkoa Kagera hawakutimiza wajibu

    Napata mashaka sana na jeshi letu la uokozi mkoa Kagera tukili kwamba kwa ndege iliyo zama ziwani kama mgekuwa kazini siku hiyo watu zaidi ya 26 wangeokolewa ajari imetokea karibu na uwanja wa ndege jilani kuna bandari pia kabla ya kudondoka mawasilino ya hawali yalifanyika kuashilia hali si...
  9. lwa kalolo

    John Heche Muongo, eti Misri mvua hainyeshi miaka 20 lakini hakuna mgao wa maji

    Kweli kabisa mm niko mwanza tunashuudia maajabu ya mgao wa maji maeneo ya kishiri ni taabu tupu mwezi hata tone la maji akuna uongozi wa hovyo kabisa
  10. lwa kalolo

    Rais Samia: Nitasimama na wananchi

    Anasimama na cc wananchi kwa kupandisha vitu bei tofauti na hawamu ya tano sasa hivi kila kitu bei ya juu
  11. lwa kalolo

    Mbowe anaenda kubadilisha historia ya Tanzania

    Tanzania ya vituko
  12. lwa kalolo

    Hoja tano kwanini Mbowe anaonekana kubambikiwa kesi

    Au Mimi ndo sifahamu Maana ya ugaidi!
  13. lwa kalolo

    Legacy iliyoandikwa kwa vitendo haiwezi kufutwa kwa maneno ukitaka kuifuta legacy ni lazima ukubali kuyatoa maisha yako kwaajili ya wa Tanzania maskin

    tatizo ndugu yangu umendika mazuri tu mabaya yake hakuandika ok pamoja na mazuri aliyofanya Mimi nilimchukia pale aliposhindwa kuishi vizuri na vyama vingine vya siasa Na kutumia bunduki kama fimbo yake ya kuazibia wale wote alio on a ni kikwazo ktk utawala wake
  14. lwa kalolo

    Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

    Da! kweli kabisa familia zinatushinda kila siku ni makelele
  15. lwa kalolo

    Mwalimu mstaafu apata kichaa baada ya kudhulumiwa milioni 20

    Hata sehem za migodini kama geita nyamongo 'buzwagi kuna watu wanaishi kwa huo mchezo anakukopesha kaki unarudisha laki na 30000 na card anapatiwa
  16. lwa kalolo

    Kuhusu kuondoa Ukomo wa Rais John Magufuli

    Sioni sababu ya kuendelea kuvunja katiba mwisho itasambalatika yote mleta mada ningekuelewa ungesema au ungeoji lini katiba ya warioba itafanyiwa mchakato
Back
Top Bottom