Search results

  1. B

    Naombeni msaada nimetapeliwa

    Wanajf kwa kifupi nimetapeliwa na hawa watu hapo chini, wameniuzia gari hewa kwa yeyote anaewafahamu wahusika hapo chini naomba anifahamishe.
  2. B

    Niko Kenya nataka kuongeza muda wa passport

    Jamani wana jf niko nairobi kenya nilikuja kimatibabu sasa passport yangu ya muda imeisha na sifahamu nianzie wapi ubalozini penyewe nimegoole nimeona mtaa ulipo ila sipafahamu na Weekend hawafanyi kazi swali langu sasa wadau ni kwamba tofauti na ubalozini sehemu gani nyingine naweza kuongezewa...
  3. B

    Msaada:je dawa ya mzizimkavu ya upungufu wa mbegu za kiume inatibu tatizo?

    Jamani wana jamiiforum wenzangu nauliza kwamba kuna mtu ameishawahi kusaidika na dawa ya mzizimkavu ya low sperm count,imenichukua muda mrefu kupata kababy ka pili inabidi twende kupima na tumepima takribani mara mbili majibu yakawa yaleyale dokta amesema huenda ni pombe Kali ninazopiga kwa...
Back
Top Bottom