Search results

  1. M

    Watanganyika ndio Wazenji halisi

    Kutumia bendera ya "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" na kuiita bendera ya"Jamhuri ya Watu wa Tanzania" huo ni UHAINI na adhabu yake ni moja tu!
  2. M

    Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Na wewe pia umefanya counter political attack! Ahahahahaha!!!
  3. M

    Je, wajua utofauti wa England, Great Britain na United Kingdom (UK)?

    Kwenye Great Britain maelezo hayapo sawa.
  4. M

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    Ni kweli. Ni ngumu sana kupambana na adui anayetumia 'human shields". Hata Osama Bin Laden na magaidi wengi wa pande hizo wanapenda sana kunitumia na ndio maana inakuwa hida sana kupambana nao. Lakini, ingekuwa ni battle ya askari kwa askari katika Uwanja wa vita, mbona mapema tu!
  5. M

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    Iran haijawahi kupigana na yeyote zaidi Vita vya Miaka Minane na Iraq. Israel ameishawahi kupigana vita na nchi za Kiarabu zaidi ya Sita kwa wakati mmoja na akazishinda. Hapo tia akili mkichwa nani zaidi.
  6. M

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano ina umuhimu gani Zanzibar?

    Ahahahahaha! Kwani hulijui hilo? Acha kufuata mkumbo Dogo! Ahahahahaha!!!
  7. M

    Muungano: Simba atakuwa Bingwa kwa kucheza mechi 2 tu, hii nchi vituko haviishi

    Simba LAZIMA isemwe la sivyo mpira Tanzania haunogi.
  8. M

    Kwanini Paul Makonda anautafuta wokovu sasa kwani ametenda dhambi gani inayomtafuna?

    Yataje kwa faida yangu na wasio jua. Pia itasaidia kukuondoa kwenye kundi la wafuata mkumbo tu!
  9. M

    Waziri Bashungwa: Wanafunzi Wapewe Elimu ya Matukio ya Dharura

    Kiwango cha Serikali ni bweni kulaza watoto 80 tu.
  10. M

    Kwanini Paul Makonda anautafuta wokovu sasa kwani ametenda dhambi gani inayomtafuna?

    Wewe ukiambiwa uyataje hayo madhambi unaweza? Au unafuata mkumbo tu.
  11. M

    Kuidai Tanganyika siyo kuuvunja Muungano. Ni mpango wa Mungu (video)

    Tanganyika ipi unayoililia?
  12. M

    Tulia Ackson na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Waendesha Kampeni Chafu za Ubunge Mbeya Mjini

    Unaambiwa huko chama hakijawahi kupata mtu mwenye uwezo wa kuwa Mwenyekiti zaidi ya huyu.
  13. M

    Hivi kuna njia yoyote ya kuacha kubet?

    Hata pombe inaharibu vijana kwenye jamii, lakini haijaacha kunywewa na watu wenye busara!
  14. M

    Simba ni Bora sana kiasi kwamba ikikosa ubingwa MNASIKITIKA

    Maana yake hata hao wanaoifunga Simba na kuchukua ubingwa huwa hawaamini kama wamefanya hivyo mbele ya Simba kwani wanaujua ubora wa Simba!
  15. M

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano ina umuhimu gani Zanzibar?

    Lini umeenda Zanzibar kwa passport?
  16. M

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano ina umuhimu gani Zanzibar?

    Wananchi wa nchi zilizotengeneza United States of America wananufaika vipi na Muungano wao?
  17. M

    Kwanini Diamond platnumz anajitenga sana na wasanii wenzie

    Gardner akiwa hai uliishawahi kumsikia anapiga nyimbo za Wasafi? Kama yeye Gardner aliwachukia na kuwatenga Wasafi akiwa hai, kwanini Wasafi wampende akiwa mfu?
Back
Top Bottom