Search results

  1. Nkwe2RG

    Nikumbushwe Mnyama ana viporo vingapi, tafadhali

    Hhahah maana si kwa mpovu huu
  2. Nkwe2RG

    Sintofaham ya usajili 2018/2019

    Wakuu, salaam! Mimi ni layman kwenye masuala ya kanun za kabumbu. Hivi, inakuwaje kipindi hiki baada ya kumalizika kwa msim wa ligi kuu vpl 2017/2018 dirisha kuu la usajili bado halijafunguliwa lakin tunashuhudia clubs za Chamazi, Unyamani, wakamua alizeti wakiendelea na usajili na kuwatangaza...
  3. Nkwe2RG

    Kiepe kimeisha, faida 10! Nakosea wapi?

    Nimejaribu kuwekeza kwenye matumbo ya wapenda chips na kwa bahati 'goli' liko eneo poa kabisa. Sasa kali ya mwezi Mei ni pale kijana wangu na kwa ufuatiliaji wangu wa karibu, mauzo ya siku 6 yalipofikia elf 80 tu na huku nikibakiwa na elfu 10 tu kama faida baada ya kutoa elfu 55 ya viazi na...
  4. Nkwe2RG

    Div III ya 13 mwaka 2009 nataka kuthubutu tena

    Nimetemwa MU na Udom ila sjakoma nataka apply tena [emoji30]
  5. Nkwe2RG

    Je naweza kusoma kozi ya Health records ngazi ya cheti?

    Wakuu nmehemwa hapa baada ya kuona hata kusoma health records au environmental health kwa level ya cheti NACTE kupitia guidebook yao wamelazmisha biology nami skusoma biology ila nna ufaulu mzuri wa Chemistry B, Maths B, Physics A, Geography A na English C. Kuna manoeuvre yoyote naeza fanya hapo?
Back
Top Bottom