Je naweza kusoma kozi ya Health records ngazi ya cheti?

Nkwe2RG

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
231
224
Wakuu nmehemwa hapa baada ya kuona hata kusoma health records au environmental health kwa level ya cheti NACTE kupitia guidebook yao wamelazmisha biology nami skusoma biology ila nna ufaulu mzuri wa Chemistry B, Maths B, Physics A, Geography A na English C.
Kuna manoeuvre yoyote naeza fanya hapo?
 
Hamna namna fanya mambo mengine una ufaulu mzuri dogo kuna kozi nzuri tu kutokana na ufaulu wako
 
Hamna namna fanya mambo mengine una ufaulu mzuri dogo kuna kozi nzuri tu kutokana na ufaulu wako
Lakin mkuu, nmeona mwaka (up to 2015/'16 kozi za Orthopaedic technology, environmental health sciences na diagnostic radiography level ya diploma biology ilikuwa optional pale MUHAS ila too sad mwaka'uu hawatoi hizo kozi
 
Back
Top Bottom