Search results

  1. M

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Tunaomba amani itawale na tusiwaruhusu kupata kisingizio cha kuharibu uchanguzi huu maana ndio lengo lao. Wasimamizi kuweni makini, magamba wanaweza hata kuwalewesha ili tu mkisinzia wapate nafasi ya kutupia mabox feki ya kura. Tukiwabana kina kona na kuhakikisha amani inakuwepo tutashinda kwa...
  2. M

    Yaliyojiri: Lema afikishwa Mahakamani kwa makosa ya Uchochezi, aachiwa kwa dhamana!

    Wakuu mlioko Arusha, tunasubiri updates toka kwenu, tuna shauku kubwa ya kujua nini kinaendelea huko mahakamani.
  3. M

    Karibu Prof. Mama Anna Tibaijuka ndani ya JamiiForums!

    Karibu sana Mama Tibaujuka, Tunategemea ushirikiano wako wa karibu katika kujibu hoja kwa uhalisia bila kuchakachua/kupika majibu kama ilivyo kawaida ya viongozi wengi. Ila kwa imani tulionayo kwako tunatarajia majibu yenye uzito sawa na hoja na sio majibu mepesi kwa hoja nzito na zenye maslahi...
  4. M

    Namna ya kuifanya biashara au huduma yako ifahamike zaidi kwa jamii hii hapa

    Ndugu Michael, gharama zipo ila ni kidogo. Ili huduma hii iweze kujiendesha, mtoa huduma (service provider) anapotaka kujisajili anatozwa sh 100,000/= kwa mwaka. kwa mtumiaji wa simu anapotaka kuulizia service husika kupitia simu atatozwa sh 250/= tu. kwa kampuni kubwa (corporate) na zenye...
  5. M

    Namna ya kuifanya biashara au huduma yako ifahamike zaidi kwa jamii hii hapa

    any service provider provided that the service is legally authorized. hata mafundi ujenzi, mafundi DSTV, fundi mechanics, MC, catering services, fundi bomba, fundi umeme, proffesional doctors, wanasheria etc. wote hawa tunawakaribisha kujisajili na huduma hii ili jamii iweze kuwafikia kwa...
  6. M

    Ukombozi kwa Mkulima

    Wafanyabiashara wa mazao mnaalikwa kujisajili ili kuunganishwa na wakulima. Tuma Message kwa kuanza na neno TAARIFA, jINA NA ZAO UNALONUNUA kwenda 15450. Au waweza kuwasiliana nao kwa email zifuatazo, info@brsolutionstz.com, it@brsolutionstz.com, sales@brsolutionstz.com.
  7. M

    Ukombozi kwa Mkulima

    Ndugu wana JF, Heshima Kwanza. Baada ya utafiti wa mudu mrefu, imefahamika kua tatiza kubwa la wakulima ambao ndio asilimia kubwa ya wananchi wa Tanzania, wenye kipato cha chini waishio vijijini ni ukosefu wa taarifa za masoko na wanunuzi wa bidhaa zao. Kumekuwepo na juhudi nyingi ikiwamo ya...
  8. M

    MKOMBOZI HALISI WA WAKULIMA APATIKANA - Unyonyaji kwa wakulima sasa mwisho

    mkuu nimejaribu *154*45# lakini najibiwa unknown application. Ni nini hasa kwnye hii??
  9. M

    MKOMBOZI HALISI WA WAKULIMA APATIKANA - Unyonyaji kwa wakulima sasa mwisho

    kujisajili ni rahisi, tuma message kwa kuanza na neno TAARIFA JINA, MAHALI ULIPO NA ZAO UNALONUNUA kisha tuma kwenda 15450. au wasiliana nao kupitia email info@brsolutionstz.co, it@brsolutionstz.com, sales@brsolutionstz.com. ukishatuma sms utapigiwa simu kwa maelezo zaid.
  10. M

    MKOMBOZI HALISI WA WAKULIMA APATIKANA - Unyonyaji kwa wakulima sasa mwisho

    Kampuni pia inatafuta washirika kama NGOs na taasisi za serikali wa kuifanya hii kazi ili kufanikisha ukombozi wa wakulima.
  11. M

    MKOMBOZI HALISI WA WAKULIMA APATIKANA - Unyonyaji kwa wakulima sasa mwisho

    Ndugu wana JF, Heshima Kwanza. Baada ya utafiti wa mudu mrefu, imefahamika kua tatiza kubwa la wakulima ambao ndio asilimia kubwa ya wananchi wa Tanzania, wenye kipato cha chini waishio vijijini ni ukosefu wa taarifa za masoko na wanunuzi wa bidhaa zao. Kumekuwepo na juhudi nyingi ikiwamo ya...
  12. M

    Namna ya kuifanya biashara au huduma yako ifahamike zaidi kwa jamii hii hapa

    Nadhani command sio nyingi na imeanza kutumika kwa ufanisi. Tatizo kubwa ni awareness kwa watu na pia watoa huduma waweze kusajili huduma zao ili watumiaji waweze kuzipata pindi wanapouliza. Ushauri wako wa kutumia USSD ni mzuri lakini kuna mlolongo mkubwa wa menu kwenye hii huduma. USSD...
  13. M

    Namna ya kuifanya biashara au huduma yako ifahamike zaidi kwa jamii hii hapa

    With advancement of technology, new way of marketing and exposing Business contacts and physical address has been discovered which use mobile phone as a medium. Tanzania Huduma Fasta mobile phone directory is the first product of its kind established in Tanzania by BR Solutions, for the...
  14. M

    How to market your products and Services via Mobile Phone Directory

    With advancement of technology, new way of marketing and exposing Business contacts and physical address has been discovered which use mobile phone as a medium. Tanzania Huduma Fasta mobile phone directory is the first product of its kind established in Tanzania by BR Solutions, for the...
  15. M

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    tupe updates mkuu, hukumu haijasomwa bado? tuna hamu ya kujua matokeo
  16. M

    Muheshimiwa Lema Atoa CD kuhusiana na Vurugu Na Vifo Arusha

    inapatikana wapi wadau?? natamani sana kuiona nifananishe na uongo pinda alotudanganya.
  17. M

    Migomo Chuo Kikuu cha Dodoma na Maslahi ya Wahadhiri & Wanafunzi

    wanafunzi wote wameshatawanywa na polisi lakini wamekutana tena eneo flan mjini panaitwa nyerere square wanajipanga wafanyeje. baadhi yao wamekamatwa wako polisi kwa mahojiano. nitaendelea kuwafahamisha maana nipo udom na nafuatilia kwa ukaribu suala hili
  18. M

    We Condemn: Calling for A National Day of Mourning

    they are true heroes
  19. M

    Polisi wazuia mikutano ya Chadema nchi nzima; Chadema wamekubali?

    toeni tssrifa zenye uhakika pls? hiyo kauli ni kweli imetolewa? ni sababu zipi zimepelekea kutolewa kwa kauli kama hiyo?
Back
Top Bottom