Search results

  1. O

    Askari magereza anafanya biashara ya kuendesha taxi

    Bora anafanya shughuli hiyo baada ya masaa yake ya kazi.wala hamna shida yeyote.Sasa wewe unataka tuchangie nini hapa.Inaonesha wewe unataka ufanye biashara hiyo peke yako.Acha roho yako ya korosho.
  2. O

    Moto Mkali Soko la Mbuyuni Moshi

    Poleni sana wafanyabiashara wa mbuyuni.
  3. O

    Ni upuuzi mtupu kumpigia kura Idris na Miss World Tanzania

    Big up Idriss watanzania tupo na wewe na tutahakikisha unarud na kitita cha mshindi.ukiona hupend game kaa pemben
  4. O

    Tabia za wanaume wafupi

    Inaonyesha umetendwa na mwanaume mfupi baada ya kukufaidi
  5. O

    Msaada;

    Reginal Adminisration Secretary RAS
  6. O

    Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

    Sijui aliyetuloga watanzania ni nani? Mungu ibariki Tanzania yetu.
  7. O

    Traffic na rushwa

    Unastahili kufunguliwa mashtaka kwa kosa la kutoa rushwa na kuinyima mapato serikali
  8. O

    Nisamehe Mwigulu Nchemba

    Kwa kweli hata mimi namkubali Mwigulu . Endelea hivyo hivyo Mungu ndie atakulipa kwa kuwatetea walalahoi wa nchi hii
  9. O

    Hivi huu wimbo wa niseme niseme remix ni ya kidini?

    Mwishoni mwa huo wimbo wanajitaja toka kilimanjaro
  10. O

    Umeme Mwanza

    Utarud saa tisa mchana huu
  11. O

    Taarifa kwa mkuu jeshi la polisi IGP na RPC Dodoma

    Huu ujumbe nimeufowad kwa mmoja wa vigogo wa jeshi la polisi.hivyo taarifa za jamii forum zinafika kwa walengwa
  12. O

    Siku ya kunawa mikono afya kitaifa morogoro

    Itabidi muyachemshe kabla ya kunawa
  13. O

    Taharuki: Mduara wajitokeza angani kwenye Sayari ya Dunia

    Ndio though huwez ona kwa macho ni kali sana
  14. O

    Taharuki: Mduara wajitokeza angani kwenye Sayari ya Dunia

    Yap na mimi nipo Moshi niona jua la leo majanga na joto kali sana
  15. O

    Msaada njia gani za Kuasili mtoto (adopt a child)

    Tafuta wakili akuandikie adoption order mahakama kuu.
  16. O

    Vipi jamani wkend ikoje kwako?

    Kwangu mm wkend safiiii till now
Back
Top Bottom