Search results

  1. S

    CCM wawatikisa CHADEMA Houston wajikuta wapo wawili tu mkutanoni

    Hebu tujuze ndugu kaingia lini huko? Vipi kaongelea nini?
  2. S

    Nape nchi hii ni yetu sote..!

    ikiwa imefikia kipindi watu wanauliza ni nini dalili ya mchana basi watu wawe tayari kwa lolote kutokea katika jamii hiyo..,ikiwa haya yanayoendelea kutokea igunga bado yanaonekana ni matukio ya kawaida ambayo watu hawatakiwi kushtushwa nayo eti kwa kivuli cha siasa na uchaguzi basi watu wakae...
  3. S

    Mwandishi wa Gazeti la Majira ajiapiza ailaani CHADEMA

    kuna wakati lazima watanzania tujitambue sisi ni watu wa aina gani.,ikiwa inafikia kipindi watu waache yale yaliyofanya wajitambue na watambulike kama watanzania, kipindi hiko ni cha kuchukua hadhari kubwa na kutafakari kwa umakini.,kuna wakati hua watu wanafanya mambo ambayo yako nje kabisa ya...
  4. S

    Natamani nikifa niiache CCM kwa viongozi kama Nape - Malecela

    Source.. Mwananchi gazeti. Tarehe 03/09/2011
  5. S

    Hili la Igunga ni doa...!

    Katika kuelekea uchaguzi mdogo wa jimbo la igunga unaotegemea kufanyika hivi karibuni, kumepelekea kuwepo mikakati mbalimbali inayofanywa na vyama mbalimbali vya siasa katika kuhakikisha kuwa jimbo hili linachukuliwa na kuwa chini ya chama husika. Kutokana na hulka hiyo CCM imejikuta ikipanga...
  6. S

    Chadema Wanalipwa posho ya 30,000 Igunga!

    katika mazingira ya kawaida posho si mshahara bali ni incentive ya kumfanya mtu afanye kazi kwa kujituma zaidi na kwa moyo mkunjufu. Lakini mara myingi kiwango cha posho kinatakiwa kifanane na mazingira na hali halisi ya kiuchumi wa eneo husika na hali ya kiuchumi wa chama kinachotoa posho hiyo...
  7. S

    Tamko la Kamati Kuu ya CCM; Muda waongezwa kujivua gamba

    NI HAPA HAPA. Wadau walisema hatoki hata mmoja sass RA Katoka mmeanza mara ooh hamuwawezi mara pooh wamekwama,,,lipi Jena KWENU? Mnakuwa Kama hula mnapata perio....ikifika LAZIMA kuziba ikiisha eehee
  8. S

    Hotuba ya Nape yaliza watu mkutanoni, Mbunge wa CUF na wafuasi wake wamshangilia

    Nape ana vituko kweli ndo kaibukia Lindi. Sasa mimi najiuliza siku zote hivi CCM haikuwa na makatibu wa enezi? yaani CCM tunaisikia kila siku hata katibu wao mkuu hazunguki kama yeye. Wapi mapuri, mwanri na chiligati kipindi mlipokuwa na nafasi hiyo? Au Nape ana agenda yake ya siri na si ya CCM...
  9. S

    Nape: Bajeti Mbadala ya Kambi ya Upinzani inadhihirisha uongo wa CHADEMA

    Zitto kwa kuwa Mwenyekiti wa kamati ya mashirika ya umma aliweza kuiona bajeti ya mkulo mapema ndo akaja na chakachua yake. Hebu oneni haya aliyoyasema mkulo : Bajeti hii ni ya kubana matumizi ya Serikali. Hatua za Kibajeti: 1. Kupunguza malipo ya posho zisizo za lazima;2. Kupunguza...
  10. S

    CCM yafunika Mpanda

  11. S

    Dk Slaa Mbumbumbu - Kamala

    Nitamuheshimu yule aliyekaa kimya mbele ya mbumbumbu kuliko yule aliyejishughulisha kujibishana nae....!
  12. S

    Raia Mwema na JamiiForums wanapotosha?

    kuna kila sababu ya kuendelea kuamini kuwa elimu ya GreTa thINKERS tulionao hapa haitufikishi popote katika safari yetu ya kujiletea maendeleo. Utaligundua hili ukiangalia yale wanayoyasema na kuchangia humu.....!
  13. S

    Raia Mwema na JamiiForums wanapotosha?

    Nimekuwa nikifuatilia huu mjadala tangu mwanzo lakini kwa kifupi ni kuwa kilichoandikwa na mchambuzi aliyetuma thread hii ni wazi kuwa kinauhalisia na kimethibitishwa kwa mifano halisi aliyoitoa katika thread yake lakini pia upotopoto wa majibu na hoja zilizofuata katika kujaribu kuipinga na...
  14. S

    Raia Mwema na JamiiForums wanapotosha?

    Nimekuwa nikifuatilia huu mjadala tangu mwanzo lakini kwa kifupi ni kuwa kilichoandikwa na mchambuzi aliyetuma thread hii ni wazi kuwa kinauhalisia na kimethibitishwa kwa mifano halisi aliyoitoa katika thread yake lakini pia upotopoto wa majibu na hoja zilizofuata katika kujaribu kuipinga na...
  15. S

    Elections 2010 JF's Maxence LIVE on EATV "Uchaguzi Express Live"

    kuna ground zimeundwa ili kujustify vitu fulani kwa maslahi ya watu wa kundi fulani..,kuna topic ambazo kiuhalisia hazijawa moved bali zimekuwa deleted and banned completely just the matter iz it claims negatively about slaa and chadema..,thats all....! ushahuri wangu ni kuwa tujaribu kuwa na...
  16. S

    Elections 2010 JF's Maxence LIVE on EATV "Uchaguzi Express Live"

    kuna wakati watu hudhani kuwa wao wameumbwa ili wengine wawafuate wao.,ni kwa mtazamo huu huona kuwa wanachowaza wao siku zote kiko sahihi na wengine hawana uwezo wala vipawa vya kuwaza kama wao, hivyo kudhani kuwa kukosoa ni kazi pekee waliyoumbiwa na pia hudhani wengine hawana nafasi ya...
  17. S

    Elections 2010 JF's Maxence LIVE on EATV "Uchaguzi Express Live"

    huruma yako nimeanza kuihisi....!
  18. S

    Elections 2010 JF's Maxence LIVE on EATV "Uchaguzi Express Live"

    Ni wazi kuwa post ambayo ilitumwa ililenga ku-stress suala zima la maadili yanayoendana na uongozi. Tofauti na pale kwenye thread inapoelezewa kuwa ilipelekwa. hata hivyo thread ikiwa innapelekwa mahala fulani ambapo tayari ilishajadiliwa inaoneshwa kuwa iko moved lakini hilo alikufanyika pindi...
  19. S

    Elections 2010 JF's Maxence LIVE on EATV "Uchaguzi Express Live"

    kama huna hoja ya msingi kaa kimya..,nimesema kimya..,alaa..,eboo....!
Back
Top Bottom