Natamani nikifa niiache CCM kwa viongozi kama Nape - Malecela | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani nikifa niiache CCM kwa viongozi kama Nape - Malecela

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by suley, Sep 3, 2011.

1. s

suley Member

#1
Sep 3, 2011
Joined: Aug 24, 2010
Messages: 53
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Source.. Mwananchi gazeti. Tarehe 03/09/2011

2. Ziada Mwana

Ziada Mwana JF-Expert Member

#2
Sep 3, 2011
Joined: May 20, 2011
Messages: 201
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Yupo sahiohi, Nape ni shupavu,jasiri na kama watapatikana wawili wa aina yake basi upinzani kwaheri.

3. B

Bajabiri JF-Expert Member

#3
Sep 3, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Lengo ni kuumaliza upinzani au kukisimamisha na kukiimarisha chama?????fafanua pliz

4. AirTanzania

AirTanzania JF-Expert Member

#4
Sep 3, 2011
Joined: Mar 17, 2011
Messages: 1,127
Likes Received: 678
Trophy Points: 280
sio kwa @NYC?

5. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#5
Sep 3, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,381
Likes Received: 22,244
Trophy Points: 280
Nape mbona ni mpiga kelele tu kama wale wapigadebe wa shule ya Uhuru

6. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#6
Sep 3, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,641
Likes Received: 236
Trophy Points: 160

samahani sana mkuu hili neno linamaanisha nini sahiohi..

7. Chakaza

Chakaza JF-Expert Member

#7
Sep 3, 2011
Joined: Mar 10, 2007
Messages: 23,672
Likes Received: 21,903
Trophy Points: 280
Sasa huyu mzee anaanza kudhihirisha kuwa uwezo wake wa kufikiri na maamuzi uko chini ya kiwango kama kweli kasema maneno hayo. Hajui kuwa kupitia viongozi waropokaji (wasiofikiri kabla ya kusema) na wanafiki kama Nape ndio ambao wanaweza kukipeleka kuzimu chama wanachokiongoza katika Dunia ya leo?
Style ya kuongoza ya miaka 1960/70s sio ya sasa nafikiri mama Anne anapaswa kumkumbusha hilo.

8. Angel Msoffe

Angel Msoffe JF-Expert Member

#8
Sep 3, 2011
Joined: Jun 21, 2011
Messages: 6,797
Likes Received: 74
Trophy Points: 145

<br / lengo ni kuwa na uhakika kw ataiacha ccm kwenye mikono ya kichwa maji na ccm itakufa kifo cha mende, MZEE HAIPENDI CCM NI UILE BASI TU ANAONA AIB KUITOSA

9. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#9
Sep 3, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 39,497
Likes Received: 19,908
Trophy Points: 280
ccj ? Angesema kwa @nycity ningemuelewa

10. The Son of Man

The Son of Man JF-Expert Member

#10
Sep 3, 2011
Joined: Feb 9, 2010
Messages: 12,124
Likes Received: 1,709
Trophy Points: 280
Nape? Kazi bado mnayo!

11. T

Tikerra JF-Expert Member

#11
Sep 3, 2011
Joined: Sep 3, 2008
Messages: 1,704
Likes Received: 7
Trophy Points: 0
Mzee Malecela,pole sana,kumbe hamjajifunza.Huyu Nape bendera mfuata upepo ndiye umuachie CCM,kuna kazi.

12. m

mmaroroi JF-Expert Member

#12
Sep 3, 2011
Joined: May 8, 2008
Messages: 2,536
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
CCM siipendi kwa kuwa inalea ufisadi,ila Nape,Sitta,Mwaliyembe,Membe,Mwandosya,Magufuri,Tibaijuka,Migiro,Sendeka na wengio walio against mafisadi katika CCM ni wazuri.Wanaweza wakaishikilia CCM kama chama cha upinzani baada ya Chadema kuchukua nchi 2015.

13. N

Ndinani JF-Expert Member

#13
Sep 3, 2011
Joined: Aug 29, 2010
Messages: 5,413
Likes Received: 734
Trophy Points: 280
Sitta, mwakyembe na Membe ni wachumia tumboni wala usiwaamini!!

14. T

Tikerra JF-Expert Member

#14
Sep 6, 2011
Joined: Sep 3, 2008
Messages: 1,704
Likes Received: 7
Trophy Points: 0
Hivi ninyi watu vipi,mtu siku mbili tatu akitema sukari basi anafaa. Hivi utatembea na mwongo usiwe mwongo.Kwa Nape kukubali kutumiwa na mafisadi wa CCM ameji-discredit kabisa.Inaelekea anafanana nao.Urafiki mbaya huharibu tabia njema.

15. KELVIN GASPER

KELVIN GASPER JF-Expert Member

#15
Sep 6, 2011
Joined: Nov 1, 2010
Messages: 962
Likes Received: 110
Trophy Points: 60
Uwezo wa mzee kufikiri umepungua sana. hivyo analazimika kutumia masaburi kufikiri.

Loading...