Search results

  1. A

    Polisi wavamia hotel ya Blue Pearl na kumkamata Mkurugenzi wa (THRDC) Onesmo Olengurumwa

    Hakuna sababu muhimu kwa Polisi za Africa Mashariki wanapotaka kufanya jambo kwani wao wapo juu ya sheria na wakikusudia kukuadhibu huwa wanaishinda hata Mahakama kwani utamuona mtu anachukuliwa kwa full guard lkn ukiuliza utaambiwa eti anadaiwa sh.20000 na mfanyabiashara fulani na kama haitoshi...
  2. A

    Kibali cha Kimataifa cha Kuendesha Gari, Tanzania

    Na kama mimi ni mtanzania ambae nilichukua leseni tokea muda ambao certificate of compatence hazijaanza kutumika kama ni kielelezo cha uhalali wa udereva nitawezaje kupata hiyo international driving permit? Naombeni msaada wa kuelewa hilo wadau wezangu
  3. A

    Moyo sasa abanwa z’bar kauli yake ya muungano

    Enyi watu acheni kuyafanya mawazo ya hao munaowaona nyinyi kama wazee wa CCm na UVCCMZ kama maandiko matakatifu !!!!! Kuna mengi wameyafanya hao wanaogopa kufahamika na pia wanahisi watakuja kudaiwa maelezo ya vp watu wa Zanzibar walipotea kutoka ndani ya nchi yao na hadi leo hawaonekani. Ama...
  4. A

    Haya ndio yanayotufanya wazanzibar tuuchukie muungano

    S0165 URU SEMINARY DIV-I = 16 DIV-II = 21 DIV-III = 7 DIV-IV = 0 FLD = 0 hiyo ni kweli kabisa na kama wataendelea kulazimisha kuwa kama hivi basi baada ya Somalia inafuata Zanzibar na kama hawaamini waache wajidangaye na kufikiria kuitawala Zanzibar ki Uchumi.Maendeleo na hata ki Elimu na...
  5. A

    bettery za laptop

    Watu wengi hawaelewi ni nini maana ya laptop wanafikiri ni kama dvd player au media instrument Maana halisi ya battery ya laptop ni kukusaidia kuitumia wakati upo sehemu ambayo haina umeme au kuwahi kuhifadhi data zako bila kupoteza pale unapokatika umeme na unapoitumia kwa umeme inajuwa na...
  6. A

    Msaada: Nahitaji laptop mother board!

    hiyo laptop ina tatizo gani kubwa hadi untaka kubadilisha mainboard? naomba nicontact via +255777413151 /+255788413734 nitakusaidia
  7. A

    Assume: Muungano umevunjika

    Mm naungana mtoa mada kwamba bado watanganyika mnakuwa wazito kuelewa ni kwamba ili amani ya muungano ipatikane bac kuwe na serikali3 na gharama zitapungua kwani wizara ni zilezile ila tu ambazo zìnashughulikia mambo ya muungano zitakuwa za muungano na za Tanganyika zitabakia kuwa za tanganyika...
Back
Top Bottom