Search results

  1. breki sifungi

    Wanachama UN wapiga kura mzozo wa Urusi - Ukraine

    Acha watwangane hao wazungu wamezoea kutugombanisha africa
  2. breki sifungi

    Mbowe kukutwa na kesi ya kujibu: Lissu awapiga dongo Samia na Magufuli

    hivi wewe unaelewa kinacho endelea kweli au unaropoka tu, Mbowe kakutwa na kesi ya kujibu maana yake anatakiwa kuanza kujitetea apunguziwe adhabu
  3. breki sifungi

    Kesi ya Mbowe imetufanya kuparaganyika. Lissu amebakia kulalama Twitter, Bavicha wanazurura kwenye vijiwe vya kahawa. Hakuna dira kabisa

    nani anae mfatilia huko mtandaoni? hapa ndipo chadema inapoferi kila siku, mambo ya msingi mnatolea ufafanuzi mtandaoni...mtaishia kulalamika tu
  4. breki sifungi

    Wananchi kukabidhiwa maghorofa ya Magomeni kota, wamlilia Magufuli

    We ndio ndezi kweli, kuna kiongozi anafanya jambo kwa pesa yamfukoni? mbona wengine wanashindwa kufanya kitu kama hicho? kubali tu kua magufuli alikua na maamuzi mengi magum na yenye tija kwa nchi kama huo ujenzi wa hizo kota
  5. breki sifungi

    Mabango yenye picha ya Samia Suluhu yalifuata nini kwenye mechi ya Simba na Yanga Uwanja wa Mkapa?

    binafsi nakukubali sana mkuu, ila unaonaje kwa leo tukitofautiana kwenye hili? wale walikua wanaonesha mapenzi kwa rais wao na sio kwa mwenyekiti wa chama
  6. breki sifungi

    Jengo la TANESCO Chato, kubwa kuliko la Wilaya Temeke lenye wateja milioni na nusu

    andika vizuri bac hio figure sijakuelewa
  7. breki sifungi

    Jengo la TANESCO Chato, kubwa kuliko la Wilaya Temeke lenye wateja milioni na nusu

    chato ina wakazi elfu 28, angalia kwamakini hio takwimu yako mkuu
  8. breki sifungi

    Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    uje na counterbook nikufundishe siasa na jinsi wanasiasa walivyo vinyonga labda unaweza kuacha mbowe akipate alicho kitafuta, naona unabwabwaja tu hapa
  9. breki sifungi

    Waziri Bashungwa akamatwe kwa kuchezea Fedha za walipa kodi

    hebu acha akili ya kimasikini bhana...milioni 10 ni fedha ya kawaida sana kupewa timu ya taifa tena iliyo shinda mchezo, sio kila kitu cha kulalamika vingine potezea mkuu
  10. breki sifungi

    Imagine huyu ni Polisi na huyu ni Raia

    acha uongo bhana, huyo mtu hapo hajakanyagwa shingoni, huo mguu upo chini ya shingo huyo muharifu kaulalia huo mguu
  11. breki sifungi

    Majibu ya John Mnyika kwa Rais Samia, Mwendelezo wa IQ ndogo ndani ya CHADEMA

    wewe ni chadema tena mwenye kadi kabisa, acha kutuzuga hapa likubali tu chama lako chakavu
  12. breki sifungi

    Uzinduzi rasmi wa kampeni ya Wananchi na Katiba ‘WAKA’ kufanyika tarehe 28/8/2021 jijini Dar es Salaam

    kwann hua mnabwabwaja tu harafu hamuandamani?!!! jitahidini basi hio tar 28 fanyeni kweli afu mtuletee mrejesho hapa jf
  13. breki sifungi

    Kama akikutwa na hatia chairman Mbowe kufungwa miaka 15-20

    niamin mm mkuu nakuhakikishia...hamuwezi kufanya chochote, acha kuumiza kichwa na siasa za upinzani mkuu utapotea utaanza watoto, mke/mume nna ndugu zako
  14. breki sifungi

    Kama akikutwa na hatia chairman Mbowe kufungwa miaka 15-20

    acha mikwara mbuzi, anaweza fungwa na msifanye chochote. niambie mission ya chadema iliyowahi fanikiwa ktk nchi hii
  15. breki sifungi

    Mbeya: Polisi wadaiwa kuwakamata wanachama wa CHADEMA zaidi ya 30

    tumesha zoea kauli kama hizi, acha vitisho
  16. breki sifungi

    Kakonko, Kigoma: Maafisa usalama wamkamata Mwenezi wa CHADEMA Itumbiko kwa kugoma kushusha bendera ya chama nyumbani kwake

    hapo kwenye 'my take' ndio ulipo feli kabisa...badala ya kueleza hatua mlizo au mnazotarajia kuzichukua kumsaidia huyo ndugu aliekamatwa wewe unakomaa na katiba mpya, ina maana bado tu hamjashtukia kua hamuwezi pewa katiba mpya? eleza namna ya kumuokoa huyo ndugu sio katiba?
  17. breki sifungi

    Hoja ya waziri Mwigulu Nchemba serikali kuachia Trilion 5 ni absolutely Zero-sum game

    tume inaingiaje kwenye makusanyo ya kodi? kweli nyie mme changanyikiwa
  18. breki sifungi

    CCM wameshapanic, hii nguvu makamanda tuendelee nayo tunakaribia kufika

    hakuna mission ya chadema iliyowahi kufanikiwa ktk nchi hii, subiri utaona hii movement yenu itakapoishia...mtakua disappointed sana tu
Back
Top Bottom