Search results

  1. D

    Kwanini Lowasa sio Rais wa JMT? Labda hata 2020 hatakuwa kwa sababu...

    Rais wa JMT ni Magufuli kwa sasa. Najiuliza maswali mengi kwanini sio Lowasa? Najiuliza kwa sababu tangu uchaguzi upite hadi sasa Lowasa amepita sehemu nyingi au hata baadhi ya wana CHADEMA wamesema kuwa uchaguzi uliopita tulishinda. Swali ni kwanini hawako madarakani? Labda jibu rahisi ni...
  2. D

    Just thinking aloud

    Naona tunakoelekea siko kabisa, - Haiwezekani mtu kwa sababu ya mamlaka aliyo na labda mabaunsa alionao akataze wengine eti wasiongee - Haiwezekani mtu huyo huyo akaanza kuongea tena wakati mwingine kejeli na lugha chokozi na matisho kwa jirani yake huyo, jirani aendelee tu kukaa kimya bila...
  3. D

    CHADEMA kinapotea rasmi chini ya Katibu Mkuu "mchina"

    Ni maoni yangu tu wanaJF, Kama ambavyo BAVICHA ilififia na kuzikwa alipotoka tu John Heche kama mwenye kiti wake, na kuchaguliwa chaguo la mwenyekiti, Protas. Sasa tunashuhudia tena taratibu chama kikuu cha upinzani kikielekea shimoni baada ya chaguo la mwenye chama na mamvi kwa maslahi...
  4. D

    Dr. JPMagufuli amkuna Rais Paul Kagame

    Rais Paul Kagame amefurahishwa na uamuzi wa Rais wetu JPMagufuli wa kufuta safari za nje za viongozi wa serikali zisizo na tija kwa Taifa. Amesema shughuli hizo zitafanywa na mabalozi wanaowakilisha nchi hiyo. Source kipindi cha Nipashe cha Radio One FM.
  5. D

    Hata kama CHADEMA isingeshinda, isingisambaratika, lakini sasa...

    Ni maoni yangu tu, kutokana na hiyo gia iliyobadilishwa angani. Hatari yake imeshaanza kuonekana, ni kudondokea baharini na kuangamia. Nasema tu kwa kifupi kuwa CHADEMA asili, kabla haijauzwa na kutekwa na mafisadi, ingeweza kushinda uchaguzi mwaka huu 2015. Hata kama isingeshinda, kupitia...
  6. D

    CCM itaondolewa lakini...

    CCM itaondolewa madarakani lakini sio mwaka huu, wala sio na UKAWA kupitia Lowasa wala Sumaye. Itaondelewa tu muda ukifika, wapinzani wa kweli wakijipanga upya, na kudhamiria kuiondoa CCM kweli kweli. Wapinzani wa kweli wanaweza toka ndani ya CHADEMA, au CUF au chama kingine imara. UKAWA kwa...
  7. D

    Mageuzi ya kweli hayawezi kuletwa kwa kukurupushwa.

    Binafsi naunga mkono kwa asilimia zote kuiondoa CCM madarakani mwaka huu. Mwanzoni niliamini kuwa ndoto hii itatimia mwaka huu, lakini sasa naamini kuwa itabakia ndoto tu, kwani baada ya maandalizi ya muda mrefu, tumeanza kukurupushana. Naamini kuwa CCM itaondolewa madarakana na upinzani imara...
  8. D

    Lowasa amezika upinzani asilia (original)

    Ni swali tu, Kwanza tunafahamu kuwa Lowasa hana mapenzi ya dhati na chama chochote cha upinzani, na ni kwasababu hiyo upinzani ulikuwepo miaka zaidi ya ishirini lakini hajawahi hata kuufikiria. Aliipenda CCM ambayo leo anaitukana. Alikuwa FISADI, leo msafi. Hana na hakuwahi kutaka kuleta...
  9. D

    Ni kweli Chadema hakuna personel? Ni kweli kuwa hakuna aliyefaa kuwa Rais wa JMT ndani ya CHADEMA?

    Nianze tu kusema kuwa tangu awali nilitegemea mabadiliko mwaka huu, nilitegemea ukombozi wa kweli wa wananchi wa Tanzania, walioogelea miaka nenda miaka rudi katika dimbi la umaskini na ahadi hewa za CCM, mara maisha bora kwa kila mtanzania, mara ari, nguvu na na kasi. Daima nimewapongeza...
  10. D

    Lowassa ni Fisadi na atabaki kuwa fisadi

    Lowassa anajifanya kujitetea eti yeye alitekeleza amri ya bosi wake. Kama ni kweli kama anavyotaka kutuaminisha kwanini kwa miaka yote minane hakuweka ukweli huu hadharani. Je, asingekatwa jina huko CCM ina maana hadi leo asingesema nani ni mhusika mkuu katika tuhuma anayokabiliwa ya Richmond...
  11. D

    Serikali ya Kikwete impeleke Lowassa mahakamani

    Kwa kuwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania alijiuzulu kwa tuhuma za Richmond hakuwahi kufikishwa mahakamani, na kwa kuwa inasemekana alikatwa jina kwa ajili ya tuhuma hiyo alipotaka kurusha kete kunia Urais wa JMT, napendekeza Serikali ya Kikwete imfungulie mashitaka na kumpeleka mahakamani mara...
  12. D

    CDM kura za maoni Dar

    Kama kuna mwenye taarifa za kura ya maoni, ubunge CHADEMA dar: Ubungo, Kawe, Kimbamba?
  13. D

    Ngoja ngoja itavuruga UKAWA

    Ni wazi UKAWA wana busara zao, na subira zao kutokumtangaza hadi leo mgombea urais. Subira ni jambo jema lakini wabaya wa UKAWA wanatumia mwanya huu kueneza hadithi nyingi za uwongo. Sio rahisi kwa wananchi wengine kuchambua kwa kina kila kinachosemwa. Kwa mfano taarifa za kuwa mgombea wa...
  14. D

    Asiyefanya kazi na ....wasipewe chakula.

    Ni jambo jema na la furaha mtu mzima, anapofanya kazi na anapokula matunda ya jasho lake. Inawezekana wapo wengi katika idara mbalimbali za serikali wanaozururazurura bila kufanya kazi ya maana lakini mwisho wa siku wanahitaji walipwe haki sawa na waliofanya kazi. Huu kwa lugha nyepesi ni...
  15. D

    Tahadhari kwa wanaohamia CDM kutoka CCM

    Wakati wimbi la wanaohamia chama kipenzi cha watanzania, Chadema, hasa wanaotoka CCM, inafaa wachukue tahadhari ya pekee kwa usalama wao. Nasema hivi kwa sababu mlikuwa ndani ya chungu, na siri ya chungu ajuaye... sasa viongozi mnaporudisha kati za CCM, na kuchukua za chama za upinzani, hasa ya...
  16. D

    Wilson Mukama yuko wapi?

    Hivi yule aliyekuwa Katibu wa CCM Wilson Mukama amepotelea wapi? Maana tangu abadilishwe hasikiki tena.
  17. D

    Katiba mpya na mikataba ya gesi- doa kwa CCM

    Pamoja na kwamba mambo yanaonekana kutulia, baada ya kupatikana kwa mgombea wa CCM, anayeonekana kwa haraka haraka kuwa atakubalika kwa wengi, kutokana na utendaji wake, lakini kwa maoni yangu CCM wana kazi pevu mbele yao ili wabaki Ikulu. Yapo mambo mengi. Lakini niseme mawili tu. 1. Katiba...
  18. D

    Kilichomponza Lowasa ni hiki

    Tangu alipojiuzulu uwaziri mkuu, Lowasa alibaki passive katika duru ya siasa ya Tanzania. Kukaa kwake kimya kwa miaka takriban minane kumemgharimu kwa namna mbalimbali: 1. imebidi atumie nguvu nyingi kuitafuta ikulu, hasa nguvu ya pesa, 2. ameonesha waziwazi kuwa na hasira ya kujiuzulu, hadi...
  19. D

    Lowasa amefanya nini kwa wanaMonduli?

    Sipingani na nia yake ya kutaka kuingia Ikulu kwani ni haki yake ya kikatiba, lakini najiuliza tu kwa muda wote alipokuwa mbunge wa Monduli, kwa nafasi zote alizotumikia serikalini kuna cha pekee ambacho wananchi wa Monduli wanaweza kujivunia nayo? Umaskini anaotaka kuumaliza Tanzania...
  20. D

    Tanzania haihami... ugomvi wa nini?

    Tanzania ni moja, mwaka huu tunataka kumpata Rais moja. Kunaweza kukawa na watangaza nia hata 100 kutoka vyama mbalimbali, lakini la msingi ni kujua kuwa Nchi yetu ni moja, na tunataka kumpata Rais mmoja. Kila moja anafahamu hilo, swali ni kwanini tutoane macho? Ugomvi wa nini? Wewe kama...
Back
Top Bottom