Search results

  1. Relief

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    I don't know who is hunting who. Zitto haya ndo matokeo ya kutangaza nia mapema.
  2. Relief

    Mama Salma Kikwete na Dr Lilian Mbowe; Mlinganisho wa maswali na majibu waliyoulizwa

    Well said. Ukitaka kulinganisha mentality za watu wowote popote, waulize maswali ya kufanana, hapa natumaini muanzisha mada hii hajapata alilokusudia.
  3. Relief

    Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

    Kwahiyo unataka kusemaje? hebu kuwa direct mbona unaanzia mbali?:whistle:
  4. Relief

    Picha:Mwanaharakati wa kutetea Haki za Wanawake na Watoto akutwa amekufa Hotelini

    Tulikosea sana pale ambapo form four failures na standard seven leavers walipokuwa wanaingia chuo cha polisi, ndo imechangia tumekuwa na jeshi la polisi la kipumbavu unakuta mkuu wa kituo elimu yake ni la saba, unadhani atakuwa na maamuzi ya msingi au kukaa tuu na kupokea rushwa badala ya...
  5. Relief

    Side comments: Zitto in JF Exclusive Interview on the 22nd of November, 2012

    Kakangu Zitto, keep on keeping on champ.
  6. Relief

    Tafakuri ya Mzee Regnald Mengi Kuhusu VodaCom, $450 000,na Mbwa-mwitu.

    nahisi ipo siku Mwl. Nyerere atafufuka na ni matendo haya ya kutishia future ya Taifa yatakayomfufua. Hatari sana.
  7. Relief

    Jenerali Ulimwengu: Hata kwenye upuuzi tuko dhaifu!

    wapuuzi wataikashifu hii makala but truth be told, this is one of the many best features Jenerali wrote. Ukweli haupingiki, tunaizairesha nchi.
  8. Relief

    Kipimajoto ITV LIVE NOW: MADA: UWAJIBIKAJI

    Wadau, Mada ya Uwajibikaji kwenye Kipimajoto Live Now. Tutazame na tutoe maoni yetu. Karibuni wadau.
  9. Relief

    Tamko la Kafulila kwa Umma (kufuatia mbunge wa Bahi kukamatwa kwa Rushwa)...

    Bunge hili hili ndo matumaini yetu yamelalia hapo lakini ndo Bunge hilo hilo la wala rushwa. Hivi wananchi hatuna power ya kuvote for NO CONFIDENCE to every leader? Hapa tulipofikia sasa, RAIS + W/MKUU + MAWAZIRI + WABUNGE = 0 Nani anabisha?
  10. Relief

    Wabunge wa CCM waitwa na kuonywa kuhusu saini 70

    Kuwa upinzani haimaanishi kukubaliana na mawazo au maazimio ya wapinzani wenzio mara zote, nao wabunge wa upinzani they are entitled to their own reasoning. Wapo wano muappreciate PInda na wapo wasio muappreciate, kadhalika kwa CCM, so tusihoji hapa kwanini wapinzani wote hawajaunga mkono hilo...
  11. Relief

    Uko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5?naomba ushauri.

    Kwa kufanya hivyo ibilisi atakuwa ameshinda kwani hiyo ndio nia yake, tumepewa utashi na tumeumbiwa msamaha ili tumshinde shetani. Ushauri wangu: Mume amuombe msamaha mkewe Mke amuombe msamaha mumewe Wote wawili watubu dhambi hiyo kwa Mwenyezi Mungu Mume atambulishe watoto wa nje ya ndoa kwenye...
  12. Relief

    MJADALA MAALUM: Kila Halmashauri/Manispaa itakiwe kuwa na EMS na Fire Brigade yake?

    I agree with you Mzee, its about time the government divide responsibilities.:focus:
  13. Relief

    Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

    kazi ipo haswaaaaaaaaaaaaaaaaa
  14. Relief

    Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

    then what?..
  15. Relief

    Tume ya mabadiliko ya katiba

    kwanini hamhoji representation ya wanawake kwenye hiyo tume? Totally a bluff.
  16. Relief

    NCCR wahaha kumvua Ubunge Kafulila

    Kufuatia kumvua uanachama Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila, chama cha NCCR Mageuzi sasa kinahaha kumwondoa kwenye ubunge baada ya kumshinikiza Spika Anna Makinda amwengua katika uwakilishi wa jimbo hilo. Taarifa zilizopatikana mwishoni mwa wiki, zilisema NCCR Mageuzi imemwandikia barua...
  17. Relief

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    Kwa demokrasia he is number one.
  18. Relief

    Zitto:Ni bora tukakosa mbunge Arumeru kuliko kukosa Diwani!

    Sasa hapa mi naona ni heri Zitto akaja mwenyewe kuthibitisha kauli hii. Mheshimiwa hebu pita hapa mara moja.:wink2:
Back
Top Bottom