Hello. Hatuna umeme tangu jana. Ni nyumba yetu tu. Tuko Mikocheni Karibu na Five ways. Tunatazamana na babu jaza chips. Nyumba ya pili toka ofisi ya serikali za mitaa darajani, ukitokea Five ways. Umemem ulianza kucheza cheza sasa umezimika kabisa.
Kwa hiyo kama wa NSSF walilipwa ndogo wakiongeza za NSSF watakuwa wamekosea? si wangeongeza tuili maisha yawe bomba kwa wote? wanapopunguza wanakuwa 'fair'.? kama nyumba ya pili wameibiwa, basi wanaiba huku pia ili kuweka usawa? Wanawezaje kulala usingizi jamani?
Hivi huu muungano wa nini? Ondokeni na huku bara mbaki kwenu tu. Roho ya korosho na uchoyo full stop. Tena mtu wa bara akifungua duka huko nyie hamnunui. Kwenu wasije watu kwani nyie nani? Wapemba wanalima vitunguu Singida na wamejaa kibao huku hadi nafasi zetu za shule wanachukua hadi umeme...
Bila mita kusoma hivyo? leakage kabla ya mita? Maana last reading mita ilisoma unit 811, next bill naambiwa nimetumia 49 units lakini mita inasoma 825?????? Anyway, naona baada ya kupigiwa simu wamerekebisha nimeletewa bill nyingine. Naomba mrudishe utaratibu wa kusema last meter reading...
Tangu december nimekuwa nikipata bill sizielewi elewi. Lakini kwa kawaida bill ina range 15,000 - 25/30,000 kulingana na watu ninaoishi nao ndani. Sasa nashangaa leo nimeletewa bill 79,000? tena watu wamepungua sana kwangu kwa lipi? namba ni 90071710 KAwe
Ttizo hili limerudia tena! tunaomba solution ya kudumu tafadhali. Kawe mikoroshini, nguzo iliyoko hospitali ya Usambara inatoa cheche na umeme unazima na kuwaka. Nyumba moja hauwaki kabisa. Tunaomba msaada tusije pata madhara makubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.