Search results

  1. chapangombe

    Rais Samia: Dereva aliyeamua kuliingiza lorry kwenye korongo kwa kukwepa utelezi

    Udokta wa siasa bwana mkubwa hata wewe tàfuta tu nafasi ya kisiasa utaitwa dokta
  2. chapangombe

    Mdude Nyagali kuongoza maandamano ya Vijana kupinga Mkataba wa Bandari

    Kwani boss mkataba sio makubaliano?
  3. chapangombe

    Bibi yangu alikuwa hanipendi nilivyokuwa mdogo, sasa hivi haishi kunipigia simu

    Sio kila mtu best unapaswa kumjibu ,utapoteza ATP zako bure massage send and derived ,hongera kwa ujasiri, humu jamii foram kuna wengine sio watu bali ni mashetani waache wapite
  4. chapangombe

    Mbunge Mariam Ditopile: Wakili Mwabukusi akemewe, ataleta machafuko katika nchi yetu

    Kwanza huyo dada alikvyokuwa anaongea yeye mwenyewe anajistukia ,hana locus stand ya kujibishana na wakili
  5. chapangombe

    Vituko Mahakamani

    Kisheria hakimu akiuliza kweli au si kweli? Mshitakiwa akisema kweli ,anatakiwa amsomee mala tatu ili ahakikishe kuwa anajua anachojibu
  6. chapangombe

    Sakata la Bandari: Hayati Magufuli apewe maua yake

    Boss mbona wewe hakukuuwa
  7. chapangombe

    Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

    Notisi bosi ni taarifa swali je ni muda wa kutosha ? Sio lazima miezi mitatu
  8. chapangombe

    Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

    Lakini sio bure analipia
  9. chapangombe

    Njombe: Kijana awafungia wanawake 3 ndani na kuwabaka kwa zamu, mmoja kambaka kwa saa 11

    Boss hapo anatokaje kwa mfano which kind of legal defance anaweza kutumia probably hiyo kesi ya moto
  10. chapangombe

    Nahitaji Wakili/Mwanasheria aliyepo Mbeya Jiji kwa ajili ya kusimamia kesi yangu

    Kuna changamoto moto mkuu kwenye maelezo yako kesi za ardhi hazisikilizwi mahakama ya mwanzo bali migogoro ya ardhi huwa inaanza kwenye mabaraza ya ardhi ya kata ikitoka hapo inaenda mabaraza ya wilaya ,sasa je wewe kesi yako ilikuwa baraza la wilaya au?
  11. chapangombe

    Nahitaji Wakili/Mwanasheria aliyepo Mbeya Jiji kwa ajili ya kusimamia kesi yangu

    Yupo sahihi siku zinahesabiwa pale ambapo judgement imesainiwa na hakimu
  12. chapangombe

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    I'm waiting for that story
  13. chapangombe

    Wakristo, Hivi andiko gani limesema maiti azikwe akiwa kwenye Jeneza?

    Na wewe naomba unijibu mbona Mohamad alikuwa na wanawake tisa lakini leo mnaoa mwisho wanne? Ukinijibu ni takupa jibu lako
  14. chapangombe

    Vita anayopigana Rais Samia ni kubwa sana katika ujenzi wa Taifa letu, tukeshe tukimuombea

    Chaguo la wapi acheni uchawa ,huyo ni constitutional president hajachaguliwa na watu tusubiri 2025 ,huyo yupo kikatiba tu
  15. chapangombe

    Ajira elfu 13 mpaka Sasa maombi ni laki nne

    Hicho kisiwe kichaka cha kujificha serikali inawajibu wa kutengeneza nafasi za ajira kwa watu wake kwa hilo jpm pamoja na mazuri mengi alichemka mfumo wa elimu na ajira zetu umelenga kuajiri watu sio kujiajiri
Back
Top Bottom