Search results

  1. Buyaka

    Video ikimuonesha bosi wa Hamas Ismael Haniyeh alipopokea kwa mara ya kwanza taarifa ya vifo vya vijana wake na vijukuu

    daaaah..... aiseee bro.... 95% ya Watanzania wenzetu wanadhani ile vita ni ya kidini.... wako ignorant kabisa kabisa kabisaaaa, upeo mdogo na hivi taarifa za dunia hatupati kwa bando zetu hizi za kuunga unga, shida tupu....
  2. Buyaka

    Dereva wa basi azuiwa kuendelea na safari baada kukutwa yupo tungi, vipimo hivi vianze kutumika rasmi kupunguza ajali

    Amekutwa na alcohol 450 kinyume na sheria. Sheria ni alcohol ngapi ??? Ingekuwa Ulaya polisi au media ingesema 450 ni mara mbili au mara kumi ya kiwango kinachokubalika. Halafu siku hizi breathalizer ni kidude kinatosha mfukoni, wao la kwao linaishi juu ya meza la chuma limechongwa SIDO...
  3. Buyaka

    Mtoto adaiwa kulawitiwa na Mwalimu na kupewa biskuti na soda. Familia yaomba msaada

    Mtoto karepiwa (jinai) akiwa shuleni (elimu), mpaka kachanwa sphincter nyuma (afya), sasa inakuwaje issue ya wizara ya Gwajima ? Hauoni Gwajima mwenyewe kaipiga cross kwenda Mambo ya Ndani ? Na kama ni issue ya Gwajima, how does she get a pass, kwa nini anapeteshwa na kupongezwa ? Eti...
  4. Buyaka

    Mtoto adaiwa kulawitiwa na Mwalimu na kupewa biskuti na soda. Familia yaomba msaada

    Na Mama Mtu akamatwe for criminal negligence and child trafficking for sexual exploitation. Kazaa zaa ovyo hajali mtoto na kamuuza kingono. Yeye na Mamaake (bibi) kwa mara ya kwanza wameoana sphincter za mtoto zimekata siku alipofunuliwa na daktari. Eti walikuwa hawajawi kumcheki. Huo ni uzembe...
  5. Buyaka

    TANZIA Sophia Leone afariki dunia

    New York Times wame cover kifo cha huyu mcheza porno ???? Naomba nionyeshe link....
  6. Buyaka

    Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, Mzee Maganda ametoweka, haijulikani aliko

    "Wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti..." Waambie angekuwa yumo stoo ya ofisi za chama au chooni angeshatoka siku ya tano sasa. Watoke nje ya ofisi za chama, waakanzie polisi na kufanya canvassing and announcing ndani na nje ya mji.
  7. Buyaka

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    Ukiringa, sio ukilinga. Kuandika kwenyewe hujui. Tunabishana na mijitu mingine imeishia la saba, hebu nisijipe avoidable stress. Umeshinda!
  8. Buyaka

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    KWA NINI mwekezaji awe na upendeleo kwa wewe Tanzania. ???? Kwa Mzungu Malawi ni sawa na Burundi, Tanzania ni sawa na Msumbij, Ghana ni sawa na Congo. With one exception: wapi kuna maslahi kwake ! Jiulizeni hivi vitu Watanzanja, tusiwe wapumbavu wakubwa kudhani kuna Mzungu anaipenda...
  9. Buyaka

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    Wao ndio maana wamelalamika, wao ndui wanabembeleza. Sisi tumekomaa. Kama kuna gesi kila mahala nendeni huko basi.... Mnasubiri nini ???
  10. Buyaka

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    Kama gesi iko kila mahala duniani kwa nini wamesubiri miaka mitano wanatubembeleza sisi, kwa nini ???? Huoni labda wanakudanganya ? Labda gesi yako iko kina kifupi, au ni safi zaidi, au ni cheaper kuliko huko kwingine, au wanaona nchi ina amani tofauti na Capo Delgado Msumbiji ???? We...
  11. Buyaka

    Waziri Pindi Chana aongoza Wana Arusha kuaga miili 11 Kati ya 25 ya waliofariki kwenye ajali, imo miili ya Watoto wadogo Watatu!

    Mkadha (clergy) ndio nilidhani anaongoza mazishi, sio waziri. Serikali inajikosha misibani ili kusiwepo na scrutinity (kuhoji) uzembe wa kiutawala, kama upo, uliosababisha ajali. Ifike mahala tukatae kuitazama serikali kama mama katika kila kitu. Tusidhani msiba unakuwa na hadhi kwa vile...
  12. Buyaka

    Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa

    Samia ametisha kwa kuendeleza Magufuli alipoishia ? Kwani Samia alitegemewa aachane na ya Magufuli azue miradi yake mipya ya umeme wa makaa ya mawe ? Unampa mtu sifa kwa kufanya jukumu lake. Amekutisha wewe labda, third world peasant citizens ambao hata hamjui kiongozi majukumu yake ni nini...
  13. Buyaka

    Mfalme Charles III wa Uingereza akutwa na saratani

    Upanuzi wa tezi dume isiyo na nguvu Wanapanua tezi dume isiyo na nguvu ya nini, kasema anataka kuzaa ??????
  14. Buyaka

    Kahama: Paul Makonda ataka Caroline apewe eneo la Serikali, Mkurugenzi asema kumiliki Ardhi ni jambo la kisheria sio siasa

    Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya, Katibu Tawala wa Wilaya.... Distinction without a difference Point is, Kahama stands out in developmental statistics strictly because of massive mining industry. Simple as. Si kwa sababu ya bureaucrats Halmashauri ya Manispaa ya Kahama.
  15. Buyaka

    Kahama: Paul Makonda ataka Caroline apewe eneo la Serikali, Mkurugenzi asema kumiliki Ardhi ni jambo la kisheria sio siasa

    WEWE ndio unasema, sio sisi tunasema, speak for your damn self. Mnyonge mnyongeni my foot! Kwa nini tumnyonge mnyonge? Na tukishamnyonga anapataje haki yake mtu keshakufa ????? Kahama ina upekee wa kitakwimu sio kwa sababu ya Mkuu wa Wilaya, bali kwa sababu ya uchimbaji. Plain and simple. Who...
  16. Buyaka

    Mdude Nyangali CHADEMA azuiwa kusafiri nje ya nchi na DCI. DCI kapata wapi mamlaka ya kuzuia mtu asisafiri?

    "Saa nane na dakika ishirini asubuhi" Sijui maana yake nini. CHADEMA na CCM wanafanana sana
  17. Buyaka

    CHADEMA yashambuliwa na kukosolewa kila kona mitaani kwa kupendekeza kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo

    Kuna mtu atakuwa kachomeka pendekezo - labda John Mnyika mwenyewe aliyebeba hayo makaratasi bungeni - halafu hakuna mwingine aliyesoma kila kurasa, yakapita. Kama mikataba na miswaada vile inavyo kuwa processed. The incorruptible think factory of the party, John Heche, Tundu Lissu, Azaveli...
  18. Buyaka

    Mapendekezo ya CHADEMA juu ya Miswada ya Sheria za Uchaguzi ambayo Kamati ya Bunge inazuia yasisomwe Bungeni

    Itasaidia vipi kupunguza "utitiri wa wabunge" kama bado unapendekeza kuongeza kundi lingine la tiketi ya wanawake kupitia mikoa ????? Nilidhani tumefika mahala wanawake hawataki tena kutamka "hatuwezi bila kuwezeshwa na mwanamme." Kumbe bado mwanamke hajiwezi bila kushikwa mkono ? Bunge...
  19. Buyaka

    Mapendekezo ya CHADEMA juu ya Miswada ya Sheria za Uchaguzi ambayo Kamati ya Bunge inazuia yasisomwe Bungeni

    Hayo mapendekezo mengine ndio the worst news in the stands. CHADEMA wamesema wanataka vyama vipeleke majina ya watu watakaokuwa wabunge automatically. Na hao wabunge watakuwa 30% ya bunge la Jamhuri. Here is the arithmetics: Kuna wabunge 264 wa majimbo. Wakiwekwa wakuliwazana, mwanamke na...
Back
Top Bottom