Search results

  1. pocha2

    Mitihani ndiyo njia muafaka ya kuhakikisha usalama wa wagonjwa, wizara ishikilie hapa

    Kwanza naipongeza Wizara na Serikali kwa ujumla kwa kuanzisha mitihani ya Baraza la Madaktari Tanganyika, na pili nalipongeza Baraza kwa kutunga na kuisimamia mitihani ya kabla na baada utaraji (pre and post internship examination, Na zaidi kwa kutoa matokeo kwa wakati. Kwa haraka haraka kazi...
  2. pocha2

    Ni kosa kubwa daktari kuwa Mkurugenzi wa Hospitali

    Na vipi kuhusu engineers, politicians, bwana mifugo etc
  3. pocha2

    Ni kosa kubwa daktari kuwa Mkurugenzi wa Hospitali

    Kwa hiyo Daktari siasa asifanye, appointment za kisiasa asipewe, na ukurugenzi wa hospital isipewe ? Kwani madaktari wanashida gani? Akili au ujuzi
  4. pocha2

    Mahakama yaamuru mwili wa aliyefia Polisi ufukuliwe, uchunguzwe

    Anakufa x 2. Tapeli wa kike aliyekuwa amekubuhu. Mungu amhurumie kwa kufanya kazi za kudhurumu na utapeli. Devil
  5. pocha2

    Ahsante TANROADS Dodoma

    Kwa dhati kabisa nasema ahsante kwa TANROADS Dodoma kwa kuboresha barabara ya Dodoma Singida. Tunawashukuru hasa kwa kutoweka kibao chochote cha tahadhari ya matuta na ujenzi. Mungu awabariki kwa weledi huu, na Waziri awaongezee baraka mkae madarakani muda mrefu kwa kusababisha damages kwa...
  6. pocha2

    Mkoa wa Songwe jina lilitoka wapi?

    Mito mikubwa ipo mingi, uwepo wa mto songwe pekee haikidhi kigezo cha kuleta jina la mkoa
  7. pocha2

    Mkoa wa Songwe jina lilitoka wapi?

    Nimebaki najiuliza for years, hili jina limetoka wapi ? Je si nguvu za kisiasa tuu za watu wa Mbeya, ambao wametupa jina tuu na kichukua vitu vya muhimu? Ili nieleweke,,, kuna issues mbili tatu: 1. Hakuna sehemu ya maana iliyokuwa inaitwa Songwe 2. Kila cha maana chenye jina hilo kilibaki...
  8. pocha2

    Watoto wawili iwe sera mahususi ya uzazi wa mpango kwa Tanzania ya sasa

    Kumbuka pamoja na kuwa Japan ina eneo lote linaingia x3 ya nchi yako, lakini in watu x2 (125M) ya Tanzania (67M), pupulation density ya Japan ni watu 332 kwa kila kilometa mraba, hapa kwenu ni 52. Tafakuri. Msomi huko kwenu kijijini mmezaliwa 16, na mmesoma na kukukua vema ,,, mnakuja mjini...
  9. pocha2

    Utata mwanamke kujinyonga polisi

    RIP Tapeli afisa feki, ulikuwa unachafua taasisi na Maisha yako yalileta vilio kwa wengine. Familia ihangaike kulipa madeni na kufuta kesi.
  10. pocha2

    Hasara ya mashimo ya Mvua Barabarani

    Kama ushawahi poteza tairi, shockup, ball joint, rim, ajali mbaya kutokana na shetani mashimo wa barabarani leta uzoefu wako hapa. Tupe location ili Serikali kupitia TANROADS ikaweke alama sehemu hatari zote.
  11. pocha2

    Tuzidishe kuwaombea masheikh waliowekwa rumande miaka 7 kwa dhulma nchini Tanzania

    Northern Mozambique in cooking Sent using Jamii Forums mobile app
  12. pocha2

    Jiji la Mbeya a.k.a Green City laanza kuchipua upya

    Great ideas Sent using Jamii Forums mobile app
  13. pocha2

    Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

    Kwani huko mtaani (baada ya graduation) mnatofautiana kwenye kudeliver? Are a better choice in your industry ? Au kichwa kikubwa tuu ? Like is a doctor from Udom worse than one from Muhimbili or UDSM ? May be it is a problem of stereotyping, just like racism is. My message is; it doesn’t matter...
  14. pocha2

    Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

    Wapinzani wameanza kuwepo mwaka gani ? Usisahau historia ya msingi
  15. pocha2

    Tuhuma za rushwa ya ngono kwa madaktari bingwa Hospitali ya Rufaa ya kanda Mbeya

    Pole, unawajua wote, [emoji3][emoji3] Sema tuu ni wanoko , nawajua kwa sura na tabia hawapendi ujinga,,,
  16. pocha2

    Marekani: Serikali ya Tanzania iweke wazi chanzo Kifo cha aliyedhaniwa kuwa na Ebola

    Kwani Upo? Ebola siyo mkoba wa kuficha kwapani, ingekuwepo hapo Dar (kwa usafiri huo) mbona nusu yenu mngekuwa mmelazwa au hampo kabisa. Tuache siasa
  17. pocha2

    Hivi huyo jamaa ambaye ni DC Hai ni undercover?

    Ndiyo hao wanavujisha Siri za Mkulu,, waliingizwa Feki kadhaa
  18. pocha2

    Dodoma RC na RPC tokomezeni vibaka

    Litangazwe kama janga la kitaifa
Back
Top Bottom