Wadau
Mbarikiwe nyote siku ya leo takafifu.
Nina mipango ya ku Export bidhaa kutoka Dar kwenda Nairobi. Bidhaa zenyewe ni Finished Goods.
Naomba mwenye kujua taratibu za kufanya Export na kodi zinazohusika katika mchakato mzima.
Nitashukuru sana kupata miongozo yenu.
Nawaomba Mods kuwacha uzi huu kwenye hili jukwaa pendwa la siasa.
Kufuatia kutangazwa operation mpya ya kuwasaka wahamiaji haramu nchini na Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda wiki hii.
Hofu imetanda kwa wageni wanaofanya kazi na biashara hapa Dar na utekelezwaji wa agizo hilo la Mkuu wa Mkoa...
Dr. Hussein Mwinyi ndio president ajaye baada ya HE John Pombe Magufuli, sio udini lakini baada ya Magufuli anayefuata ni Muislamu. Nyerere, Mwinyi, Mkapa, kikwete, Magufuli, Mwinyi Jr
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi binadamu ni viumbe wa ajabu sana, wagumu kuelewa, wepesi kusahau. Pia ni wepesi kulaumu mambo yanapokwenda ndivyo sivyo lakini wagumu kupongeza pale mambo yanapoenda vizuri.
Leo nataka niwe tofauti na wengine kwa kutambua mafanikio ya uongozi wa sasa wa TFF chini ya Ndugu Wallace Karia...
Hongera Taifa Stars, Hongera Tanzania.
Kuna walikubeza na wataendelea kukubeza lakini leo chini ya Uongozi Wako Tunaenda Egypt June 2019.
Ulivomteua Emmanuel Amunike tulikubenza sana.
Leo unaingia rasmi katika historia ya nchi yetu Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
I admire Rostam Aziz huyu jamaa ana akili kubwa sana. Toka enzi za Mkapa mpaka sasa zama za Magufuli yupo katika medani za juu za siasa za hapa kwetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima kuna jambo nyuma maana kamwandama kinoma, inawezekana akilala anamuota Karia, hakuna kitu kibaya kama kugongewa mke
Sent using Jamii Forums mobile app
Zilikua ni stori za alinicha kutoka kwa mleta mada ambaye ni dhahir shahir ana chuki za wazi na wivu wa kike na Karia pitia posts zake zote utaona.
Sijui aligongewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Who da hell are u?? Eti take it from me...Lipumba ataondoka na kuicha CUF imara hizo fujo zake hazina tija na anajitia aibu mzee wetu...am sure hana peace of mind ndio mana amegeuza ofisi ya chama kuwa nyumba ya kuishi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.