Search results

  1. junior mbani

    Vipi kama tunavyo dhani sivyo mambo jinsi yalivyo?

    Ni kweli kabisa ila hayo maaagano ya siri hayo kwanamna moja ama nyingine ndio yanachangia kutuweka kwenye ukoloni mambo leo. Yaaani bado tupo chini yao
  2. junior mbani

    Vipi kama tunavyo dhani sivyo mambo jinsi yalivyo?

    Je ni kweli maaana haya ni yale yaliowekwa wazi kwa umma kujua historia ya makubaliano yaliotolewa. Je mwenye upande wa pilo ipo hivyo kweli au kulikua kuna makubaliano zaidi ya hayo maaana hadi leo wewe utakua shahidi Afrika haiwezi kufanya maaamuzi makubwa kama bara bila wajamaaa kuweka baraka...
  3. junior mbani

    Vipi kama tunavyo dhani sivyo mambo jinsi yalivyo?

    Mwenye nacho ataongezewa kuna hiii kitu
  4. junior mbani

    Vipi kama tunavyo dhani sivyo mambo jinsi yalivyo?

    Najaribu kutoa kuatafakari tu maswali yanayozunguka kichwa changu,kwa kuangalia matukio yanayo ikumba dunia.
  5. junior mbani

    Vyombo vya Habari vya Tanzania vinaripoti, havichambui. Tatizo lipo kwenye taaluma au ni kukosa wachambuzi?

    Ili uchambue hizo habari inabidi kwanza usikilize ushauri wa mwanasheria kwanza,kwa maaana endapo uchambuzi wako utaenda tofauti na mawazo ya wakuu unaweza kuwa hatarini kwa kushawishi umma kupandikiza chuki ama kuhamasisha vurugu
  6. junior mbani

    Toa list ya nyimbo zako kali za zamani "best of all times"

    Dear mama ya 2pac inaishi sana aiseee
  7. junior mbani

    Vipi kama tunavyo dhani sivyo mambo jinsi yalivyo?

    Vipi kama tunavyo dhani sivyo mambo jinsi yalivyo?, mimi sina uhakika na lolote najaribu tu kufikiria. Tulipata uhuru bila kumwaga damu, kupitia Raisi wetu wa kwanza Mwalimu Nyerere,Je aliwashinda kwa hoja wazungu na kweli wakakubali kumpa nchi na uhuru!? Kwasababu alikua hana hata kitu cha...
  8. junior mbani

    Toa list ya nyimbo zako kali za zamani "best of all times"

    Mirro by Lil wayne hiii ngoma inaishi sana,ni moja kati ya ngoma za wayne alizo wahi kukaa na kufikiria sana na kuandika
  9. junior mbani

    Toa list ya nyimbo zako kali za zamani "best of all times"

    Hiiii ngoma inaishi sana aiseee
  10. junior mbani

    Kama wanaweza kutengeneza Bombadia wanaweza pia kutengeneza chanjo ya Covid-19

    Amini na kwambia dunia ni kweli haipo kama sisi tunavyo dhani ila kutaka kujua inaendeshwaje tutabaki ku hisi tu kwa kutumia tathmini ya matukio ila uhakika hutaupata kamwe labda vinginevyo ukajiunge na shirika la CIA marekani. Nyuma ta pazia kuna giza sana na mambo ya hatari na ajabu kubwa
  11. junior mbani

    Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

    Mimi siwezi kuzungumza lolote katiks hili kwa maana sina evidence au uhakika wa mambo yoyote yale ila ninachoweza kusema ni; kuna dunia tunayoishi sisi nikimaanisha wananchi wa kawaida na dunia wanayoishi viongozi wa nchi mbali mbali hapa duniani ambayo nauhakika hatujui ikoje.
  12. junior mbani

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Team zinazoongozwa kwa kuchukiwa na wapinzani duniani namba moja kwa sasa ni Man u,zamani ilikua Barcelona
  13. junior mbani

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Yaaaani mtu team yake ikifungwa hauzuniki kama man u ikishinda wanahuzunika sanayani
  14. junior mbani

    Kama wanaweza kutengeneza Bombadia wanaweza pia kutengeneza chanjo ya Covid-19

    Watu wanasema hawazitaki chanjo mbona za polio na zinginezo hawakugoma kuchukua? Na waliozitengeneza ni hao hao!
  15. junior mbani

    Maajabu ya siasa Mimi ccm hata wamuweke Nani hapo juu automatically namuona ni tatizo.

    Una 23 na unaichukia ccm? Mbona mapema sana [emoji23][emoji23][emoji23]
  16. junior mbani

    Maajabu ya siasa Mimi ccm hata wamuweke Nani hapo juu automatically namuona ni tatizo.

    Toa sababu kwanini unaichukia?, Maana walimwengu wanasema huwezi mchukia mtu bila sababu
  17. junior mbani

    Toa list ya nyimbo zako kali za zamani "best of all times"

    Mimi naanza na zangu hapa 1. All night long ya lionel Richie 2. La isla Bonita ya Madonna 3. Nightshift ya the commodores 4. Joe le taxi ya vanessa paradis 5. Save the best for last ya vanessa Williams 6. Can't help falling in love ya ub40 version 7. So into you ya Tamia 8. Helpless when she...
  18. junior mbani

    Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

    Kama aliye tunga stori ya tamthilia ya house of cards alipata lonja ya jinsi siasa zinavyoendeshwa basi uhalisia ni wanasiasa wanatumia sana watu kufanya mambo yao kwa maslahi yao,yaaani hawataki kuchafua mikono yao. Labda ni ishie hapo kwaio hata huyo unayemuhisi ni mwandishi wa account hiyo...
  19. junior mbani

    #COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Atleast hata kipindi kile walikataza mikusanyiko,kuvaa barakoa,kunawa kila mahali,kwenye madaladala level seat hahaha saivi ndo hawasemi kitu wataanzia wapi wakati walisema hamna corona aiseee na wakapaaaamba kuwa wameweza wanaonaa aibuuuu. Huuu sio muda wa kuona aibu hali ishakua mbaya
  20. junior mbani

    TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

    Unajua kutangaza sio kusema tu ipo asee wewe ndo mjinga kweli hujui kwamba hatua za muhimu lazima zifanywe na serikali kama vile kupiga marufuku mikusanyiko,madaladala kuweka utaratibu level seat na mambo mengine
Back
Top Bottom