Search results

  1. kwamwewe

    Mwanamke muigizaji wa filamu za ngono (porn) atalii Iran, akaribishwa kwa mbwembwe

    MRS MIHARO UNAAMBIWA NA BIBLIA USIHARE OVYO
  2. kwamwewe

    Mwanamke muigizaji wa filamu za ngono (porn) atalii Iran, akaribishwa kwa mbwembwe

    Mrs Miharo leo umezidiwa sana, unamwaga tu
  3. kwamwewe

    Julius Nyerere alikuwa mtu sahihi kupewa nchi kwa mazingira ya kipindi kile

    Amepotosha kwa kusoma kitabu ?? ndio mafundisho yenu kanisani hayo ??
  4. kwamwewe

    Julius Nyerere alikuwa mtu sahihi kupewa nchi kwa mazingira ya kipindi kile

    Si kichwa ni vitabu vilivyoandikwa na Padri wa kikatoliki anavyovianika , naona kakupa homa
  5. kwamwewe

    Julius Nyerere alikuwa mtu sahihi kupewa nchi kwa mazingira ya kipindi kile

    Yaani wewe ndio umeweka huo ukweli ??? Vyama vya siasa havikupigwa marukufu na Nyerere ??:p:p:p:p
  6. kwamwewe

    Julius Nyerere alikuwa mtu sahihi kupewa nchi kwa mazingira ya kipindi kile

    Ni vitabu vya kanisa vilivyoandika https://www.youtube.com/watch?v=XmHMwKaLSqM
  7. kwamwewe

    Rais Mwinyi, tengua Amri haramu ya kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime Zanzibar. Inahatarisha Muungano!

    Mbona walianza miaka mingi kuja huku Zanzibar kabla hata utalii haujawa na nguvu huko bara
  8. kwamwewe

    Zanzibar: Wamaasai wapambana na polisi waliotaka kuwapora rungu na sime zao

    Pengine wewe ni mjuzi zaidi , mimi sijafika Kaskazini ya Tanganyika
  9. kwamwewe

    Wanaume kulala chumba kimoja na uwezekano wa kupitiwa na shetani

    katika message yako mwisho umeandika , nakunukuu , "Yesu atusaidie" na ndio nikauliza mbona Yesu mwenyewe anasema Yeye hawezi kufanya kitu kwa uwezo wake ?? Au pengine hukuandika wewe
  10. kwamwewe

    Suala la Bandari TEC hawakupata kama walivyozoea

    Kuliko wewe uliyemjibu ??
  11. kwamwewe

    Wanaume kulala chumba kimoja na uwezekano wa kupitiwa na shetani

    Yesu akusaidie kitu gani na mwenyewe anasema kwenye Yohana 5:30 Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe ...........................................
  12. kwamwewe

    Rais Mwinyi: Baada ya mabomu kulipuka Gongo la Mboto niliwasilisha ujumbe wa kujiuzulu, JK akakataa kujiuzulu kwangu

    Walipouliwa watu kwenye uchaguzi wa 2020 uliomweka yeye madarakani kwa nguvu mbona aliukimbilia uraisi hakujiuzulu Awache unafiki mwizi mmoja
  13. kwamwewe

    Dini zingesambazwa kama ambavyo Atheism inasambaa sidhani kama zingekuwa na wafuasi wengi hivi

    Former Secondary Educator (1986–2020) Why are gays prone to be atheists? Because of the way organized religions have treated them for the past 1,700 years. The worst offenders have been the “Abrahamic” religions .
  14. kwamwewe

    Zanzibar: Wamaasai wapambana na polisi waliotaka kuwapora rungu na sime zao

    Mimi nilibishana naye sana huyu mmasai lakini yeye alishikilia kuwa hao si wamasai ni Wakwavi, Hayo si maneno yangu mimi
  15. kwamwewe

    Suala la Bandari TEC hawakupata kama walivyozoea

    Muungano uliasisiwa kwa hiari , Msikilize mkristo mwenzako anavyokuambia https://www.youtube.com/watch?v=hsNMiqFLPVU https://www.youtube.com/watch?v=kvN0jG_1QJc
  16. kwamwewe

    Zanzibar: Wamaasai wapambana na polisi waliotaka kuwapora rungu na sime zao

    Sijakuaandika kuwa kwa sababu sio wamasai ndio tuwavue utamaduni wao. Mimi hapa rafiki yangu mkubwa ni Mmasai lakini sio hao wanaovaa rubega ni mtu msomi amesoma Ulaya. Na amenihakikishia kuwa Mmasai hazururi ovyo mijini , na ameniambia hao ni WAKWAVI . Sasa tukusikilize wewe unayewajua...
  17. kwamwewe

    Suala la Bandari TEC hawakupata kama walivyozoea

    Ndiyo fikara Za watoto wa mainzi
  18. kwamwewe

    Suala la Bandari TEC hawakupata kama walivyozoea

    Wewe tunakuelewa ulitaka lisifiwe kanisa tu
Back
Top Bottom