Search results

  1. G

    Play your roles as a man uone kama utaomba kuheshimiwa

    Ni kweli kabsa, tena wanaume wasiotimiza wajibu wao ndo huwa wakali kulazmisha waheshimiwe.
  2. G

    Mpenzi wa kiume anahitajika

    ok, jaman nimeshindwa . asanteni lakini kwa kunisupport na kunitia moyo bila kusahau walionipondea. mbarikiwe wote.
  3. G

    Mpenzi wa kiume anahitajika

    Mpenz anapatikana popote, huyohuyo wa mtaani ndo atakuwa jamii forum, kuna mwenye vigezo pia lakin yupo mbali, kwani ni nini maana ya love connect? inakuwaje mtu anatafta mpenz /rafiki af mwingine aanze kumpondea? we should think big sometimes.
  4. G

    Mpenzi wa kiume anahitajika

    Nina miaka 24, nina degree, ni miss miss. Natafuta mpenzi mwenye elimu, mtaarabu, asiwe mnene, awe na mapenzi ya kweli. ni PM tafadhali.
  5. G

    Wanawake wengi hawajui wanaume wanapenda nini

    kwahiyo unashaurije mkuu?
  6. G

    Nifanyaje ili nisipende sana, naomba ushauri

    ninapata wasiwasi na intelligence yako.
  7. G

    Usikose kupitia hapa ujue kama uhusiano wako na mpenzi wako ni sahihi

    Huo utafiti kutoka Havard uliusomaje kama hujui ki inglish?
  8. G

    Mwenge University College of Education

    wengine kwakweli tutachelewa kidogo tunajipanga imekuwa haraka sana
  9. G

    Mwenge University College of Education

    hostel za watu binafsi et zipo? vipi nazo huwa znajaa uspowah?
  10. G

    Uhusiano wa Ndoa na Mafanikio

    hahahaaaaaa...
  11. G

    Mwenge University College of Education

    asante...vipi ukichelewa kuriport kama week moja na nusu hivi unaweza kupata hosteli? ni ndan ya sku ngap za kuriport unaweza kupata hostel kama watoka mbali?
  12. G

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    asante kwa ushauri mkuu....ila mi sjaelewa hapo kwenye nauli...hiyo ni ya kutoka mjini kwenda chuo? je kama umekuja na bas kutoka mwanza ukishuka stand nauli ni sh ngap kufika chuo?
  13. G

    Msaada Utaratibu wa kuapply chuo kingine kwa undegraduate aliye disco

    inachukua muda gani kuactivate? na ukillipa hiyo 25% unafuata utaratbu gani?
  14. G

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    bachelor of science with education wapo college gani hapo UDOM?
Back
Top Bottom