Search results

  1. M

    Msaada kwa wataalamu wa computer

    Windows cannot be installed to the disk. The selected disk has an MBR partition t?ble. On EFI system, Windows can only be installed to GPT disks. Hiyo ndio message ninayoipata w?kati ni Install windows 8.
  2. M

    First year Korogwe TTC hawajapewa mkopo/ruzuku

    Hivyo ndivyo hali ilivyo, vijana wanasoma stashahada ya juu(higher diploma) na mafunzo yote hapa yanaendeshwa kwa mfumo wa chuo kikuu academically yaani pindi linapigwa kisha notes ni gharama ya mwanachuo kununua handout. Ishu inakuja kwamba vijana waliahidiwa kupewa mikopo pamoja na ruzuku na...
  3. M

    Msaada notes za Mechanical Physics

    kama unaweza kunisaidia ambazo zipo kwa mfumo wa pdf.
  4. M

    Zanzibar tunaowaita urojo wamethubutu vipi nyie watanganyika....?

    ZANZIBAR tuanaowaita urojo yaani watu legelege wamethubutu kupiga japo kura ya hapana tena hadharani na tumeona jinsi mwanashria mkuu wa zanzibar alivyoonyesha msimamo wake na kupiga kura ya hapana. vipi sasa Watanganyika ambao mnajiona kwmba nyie ni ngangari vipi mbona kimya, mbona mnaburuzwa...
  5. M

    Kwa wale wataalamu wa css na HTML

    Nimetengeneza DROPDOWN MENU kwenye website yangu kwa kutumia html na css. laikini cha ajabu kila kitu kinaenda sawa ila nikipeleka mouse pale kwenye link ambayo nimeiwekea dropdown menu hakuna kinachotokea(yaani dropdown menu hazijitokezi). Nime-preview kwenye browser mbili tofuati lakini...
  6. M

    Stashahada ya juu ya ualimu Korogwe teachers college

    Kama yupo anayefahamu mambo yatakuwaje...itasomwa kwa mfumo gani au ni uleule wa stashahada za kawaida. Nauliza maana hii ni ya maika mitatu(3) na ada pia imepandishwa mpaka laki 6 kwa mwaka maana nishaona tetesi humu watu wakidai kwamba itasomwa mfumo wa chuo kikuu yaani unajitegemea chakula na...
  7. M

    Nikishadahiliwa chuo naweza kuahirisha mwaka?

    Husika na kichwa cha habari hapo juu mimi ni kijana nimeapply tcu na mambo yanaelekea kuwa fresh ila kimjinimjini nimeotea mbishe ambayo inatarajia kuanza mwezi october ina mkataba wa mwaka mmoja na pesa ni nzuri yaani hadi mwaka uishe sitakosa kama m6 hivi. Nilikuwa nauliza wataalamu wajuzi...
  8. M

    Msaada joining instructions form Korogwe teachers college

    Nimeona maelezo kwamba zinapatikana kwenye website za United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training, The National Council for Technical Education na PMORALG | Prime Minister's Office - Regional Administration and Local Government. Nimetembele huko kote lakini...
  9. M

    Naomba kufahamishwa kuhusu Korogwe Teachers College

    Msaada kwa anaepafahamu au aliyesoma hapo. Yaani nataka kupajua maisha yake. Naweza kwenda na MACBOOK yangu(laptop).
Back
Top Bottom